mapinduzi

  1. Kindeena

    JamiiForums Tanzania Watu wawili wanasadikiwa kufariki katika Mji Mkuu wa Guinea-Bissau katika jaribio la kimapinduzi

    Kuna tetesi za jeshi kumshikilia Rais na Waziri Mkuu wa Guinea-Bisau katika Mji Mkuu Bissau. NB: Ni hivi karibuni jeshi liliipindua serikali ya nchi jirani ya Guinea-Conacry na sasa Guinea-Bissau wanajaribu. === Watu wawili wanasadikiwa kufariki katika Mji Mkuu wa Guinea-Bissau katika jaribio...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso: Mawaziri waonywa kutoondoka Mji Mkuu

    Kundi la Wanajeshi lililomtoa madarakani Rais Roch Kabore limewaonya waliokuwa Mawaziri kutoondoka Mji Mkuu wa Nchi hiyo au kukwamisha mazungumzo kuhusu namna ya kurejesha Utawala wa Kidemokrasia. Wanajeshi walimpindua Rais Kabore wakimlaumu kushindwa kudhibiti hali ya usalama ambayo imeendelea...
  3. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Paul-Henri Sandaogo Damiba: Kanali wa jeshi aliyeongoza mapinduzi Burkina Faso

    Paul-Henri Sandaogo Damiba: Kanali wa jeshi aliyeongoza mapinduzi Burkina Faso CHANZO CHA PICHA, ANADOLU AGENCY: Wanajeshi walioongoza mapinduzi Burkina Faso Paul-Henri Sandaogo Damiba ndio kiongozi wa vuguvugu la Patriotic Movement for Safeguarding and Restoration (MPSR). Siku ya Jumatatu...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso: Serikali yakanusha uwepo wa jaribio la mapinduzi

    Burkina Faso: Milio mikubwa ya bunduki yarindima kwenye kambi kadhaa za jeshi Burkina Faso Ouagadougou Unruhen Milio mizito ya bunduki ilisikika kwenye kambi ya jeshi katika mji mkuu wa Burkina Faso, Ouagadougou mapema leo asubuhi. Huduma za mtandao wa simu zimepungua kasi kuanzia Jumapili...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ingekuwaje kama Marekani angeshindwa kwenye vita ya mapinduzi (uhuru) dhidi ya Uingereza?

    Wadau wana kimataifa ningepata kupata mawzo yenu, je kama marekani ya leo ingeshindwa kwenye vita ya ukombozi dhidi ya taifa mama Uingereza, je hili taifa namba moja kwa uchumi na jeshi duniani lingekuwepo? Na kwa wale wote walioanzisha hili vuguvugu la ukombozi kingewatokea nini?
  6. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo ya kidato cha nne basi chama cha mapinduzi kinahitaji pongezi

    Nawasalimu kwa jina la Chama pendwa CCM. Leo uzi utakuwa mfupi wa kukipa pongezi Chama Cha Mapinduzi kwa kuzidi kutimiza malengo ya ilani yake uachaguzi ya mwaka 2020. Jana tumeona matokeo ya kidato cha nne 2021 yakionyesha kupanda kwa ufaulu kulinganisha na matokeo ya miaka iliyopita. Pamoja...
  7. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kombe la mapinduzi kwanini penati waliyopewa simba kwa Azam haikuwa sawa?

    Dhamira ya mchezaji sakho kwa kipa wa Azam haikuwa Safi. Kama kigonya asingejilinda kwa mguu wake huenda Leo hii angekuwa Yuko mortuary. Speed ya sakho kuelekea kwa kipa ilikuwa kubwa sana hata pale alipoona kipa ameshaudaka mpira. Alidhamiria kwenda kugongana na kipa hata kama mpira uko...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, Simba SC isingechukua 'Ubingwa' huu wa '2022 Mapinduzi Cup' Yanga SC Kesho ingefanya 'Press Conference' yake?

    Poleni mno Yanga SC na najua huu Ubingwa wa Simba SC Mapinduzi Cup hii ya 2022 Umewaumiza sana tu. Na najua pia kuwa Kesho mmeitisha Mkutano Wenu na Waandishi wa Habari kwa Mkakati wa Kipropaganda zaidi. Hakuna asiyejua kuwa tokea mmetolewa Mapinduzi Cup huko Yanga SC hakulaliki na Mashabiki...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Waandaaji wa 2022 Mapinduzi Cup Takwimu hii muhimu wameisahau? Tafadhali upesi sana waiweke ibakie Kumbukumbu kwa Vizazi vijavyo

    Mchezaji Bora Mechi ya Fainali Mapinduzi Cup - Henock Inonga (Simba SC) Kipa Bora wa Mashindano ya 2022 Mapinduzi Cup - Aishi Manula (Simba SC) Mfungaji Bora Mashindano ya Mapinduzi Cup - Meddie Kagere (Simba SC) Mchezaji Bora ( MVP ) wa Mashindano ya Mapinduzi Cup - Pape Ousmane Sakho (Simba...
  10. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Historia ya Mapinduzi inahitaji hekima na tahadhari kuieleza

    Historia ya mapinduzi si historia nyepesi:
  11. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kama Rais Samia ndiye mkuu wa dola la Tanzania kwanini Rais wa Zanzibar amekuwa wa kwanza kutoka uwanjani baada ya sherehe za Mapinduzi kuisha?

    Inafahamika kuwa kwa itifaki mkuu wa dola la Tanzania ndie huwa anakuwa wa mwisho kuingia na wa kwanza kutoka kwenye sherehe za kitaifa kama Mapinduzi ya Zanzibar au uhuru. Sasa leo Mbona rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi amekuwa wa kwanza kuondoka uwanjani? Kwa nini isiwe rais wa JMT ambae ni...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Burkina Faso washikiliwa kwa madai ya njama ya mapinduzi

    Mamlaka nchini Burkina Faso imetangaza kukamatwa kwa wanajeshi wanane wanaotuhumiwa kupanga njama ya mapinduzi. Miongoni mwa waliokamatwa ni Kanali Mohamed Emmanuel Zoungrana - kamanda maarufu wa zamani wa jeshi ambaye ameripotiwa kuikosoa serikali. Wizara ya haki Jumanne ilisema uchunguzi...
  13. kalipeni

    JamiiForums Tanzania Hii ni aibu kwa waandaaji sherehe za maazimisho miaka 58 Mapinduzi Zanzibar

    Kitendo cha viongozi waliokaa jukwaa kuu kujikinga jua kwa kutumia magazeti na vitabu hasa eneo walilokaa Mzee Jakaya Kikwete, Karume na Waziri Mkuu Majaliwa si kitendo cha heshima na kiungwana kabisa. Wazee wanapigwa jua hadi unawaonea huruma.
  14. African Believer

    JamiiForums Tanzania Miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar na Kitendawili cha John Okello

    Leo January 12, 2022 ni sikukuu ya kitaifa ijulikanayo kama Mapinduzi ya Zanzinar ikiwa ni miaka 58 toka mapinduzi hayo yafanyike January 12, 1964 ili kuuondoa utawala wa Kisultan uliokuwa chini ya waarabu kutoka Oman. Ikiwa imepita miongo mitano toka mapinduzi hayo yafanyike bado kumekuwa ni...
  15. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Yanga imefungwa goli 11 Mapinduzi Cup

    Mabingwa wa kihistoria wanaondoka Mapinduzi Cup wakiwa wamekula kichapo cha goli 11 saaafi kabisa. Katika hatua ya awali walikula goli 2 dhidi ya KMKM na jana nusu fainali wakiwa full mkoko walikula goli 9 toka kwa Azam FC Ikumbukwe kuwa Play Station yenyewe mpaka sasa haiyafungwa goli hata...
  16. Ziroseventytwo

    JamiiForums Tanzania Yanga yavuliwa ubingwa wa Kombe la mapinduzi

    Habari ndio hiyo....😁😁🤣🤣🤣😅😅😁😁😁😆😆😆
  17. Mario Kempes

    JamiiForums Tanzania Simba Vs Namungo| Nusu Fainali Mapinduzi Cup 2022| Zanzibar

    Leo majira ya saa mbili na robo usiku kutakuwa na mtanange wa kukata na shoka kati ya Simba Vs Namungo katika nusu fainali ya pili ya Mapinduzi Cup. Tujumuike wote hapa muda ukifika
  18. B

    JamiiForums Tanzania Genge ndani ya CCM lililotaka mapinduzi baridi ndani ya CCM kuelekea 2025 laanza kushughulikiwa

    Hawa ndiyo wanasadikiwa kuwa ni wana CCM waliotaka kuachana na utamaduni wao wa 'miaka 10' aachiwe mwanaCCM aliyepo Ikulu aendelee 2025. Vigogo wazito kama Spika Job Ndugai, waziri mzalendo namba 2 Prof. Palamagamba Kabudi, mchapa kazi asiyechoka William Lukuvi, mawaziri na wabunge kadhaa wenye...
  19. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kombe la mapinduzi linathibitisha namna Simba na Yanga zinavyobebwa na waamuzi wa Bara.

    Ile haki bin haki inayofanywa na waamuzi wa Zanzibar kwenye kombe la mapinduzi ndio inayokosekaana kwenye ligi ya Bara. Kama refa angetoka Bara Yanga na Simba zingepata matokeo mazuri sana dhidi ya timu ndogo za Zanzibar kwenye mashindano ya mapinduzi. Mungu awalaani waamuzi na watu wote...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Shiboub amekuja tu Kutalii Mapinduzi Cup ila Simba SC hatuna mpango wa Kumsajili..Kasema Boss Try Again

    Ningewashangaa sana Simba SC kama kweli wangemsajili Shiboub kwani ameshaishiwa Uwezo na wapo Wachezaji wa Kumzidi Kikosini kwa sasa. "Hii Michuano ya Mapinduzi Cup ni kama tu Bonanza na kwa Uhusiano wetu mzuri na Shiboub alituomba tu Simba SC aje Kutalii na Kuwasalimia Wachezaji wenzake...
Back
Top Bottom