mapinduzi

  1. JamiiForums Tanzania Hayati Mkapa: Makosa yangu yalisababisha mafisadi kujenga ngome ndani ya Chama cha Mapinduzi

    Hayati Benjamin Mkapa Katika kitabu chake "My Life, My Purpose" (2019) Ameeleza maeneo aliyofeli kama kiongozi 1. Kufeli Kukubwa Kuliko kote: Ubinafsishaji (Privatization) Anasema "Nilifanya Haraka Sana" "Tuliamini soko huria litatatua kila kitu. Tuliuza viwanda 400 kwa bei ya hasara...
  2. JamiiForums Tanzania SI KWELI Rasmi Freeman Mbowe ametimkia zake Chama cha mapinduzi (CCM)

    Kupitia mitandao ya kijamii, kumekuwepo taarifa inayodai kuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe, amejiunga rasmi Chama Cha Mapinduzi (CCM). Chapisho hilo linadai: “Rasmi Freeman Mbowe ametimkia Chama Cha Mapinduzi (CCM).” Chapisho lina ujumbe ufuatao:Kwa muda mrefu...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mtego wa Misaada ya Afya na Mapinduzi ya Kulinda Data: Ndani ya Uamuzi wa Ghana Kuisikitisha Marekani na Mtihani wa Kiutawala wa Tanzania

    Habari Kuu: Ghana Yaupiga Chini Mkataba wa Dola Milioni 109 Serikali ya Ghana, chini ya Rais John Dramani Mahama, ilikataa rasmi mkataba wa afya wa miaka mitano wenye thamani ya dola milioni 109 (zaidi ya bilioni 300 za Kitanzania) uliopendekezwa na serikali ya Marekani. Uamuzi huo...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa nini nchi kupata maendeleo makubwa bila mapinduzi ni vigumu sana ?

    Duniani nchi zilizopata maendeleo makubwa bila mapinduzi ni chache sana, hazizidi tano ambazo ni Canada, Australia, New Zealand na Singapore. Nchi karibia zote zenye maendeleo makubwa ya kutamanisha zilizipitia aina fulani ya mapinduzi. Hata Zanzibar kwa sasa inapiga hatua kubwa sana za maendeleo.
  5. JamiiForums Tanzania Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefanya mabadiliko ya kiutendaji katika ngazi ya Makatibu wa CCM wa mikoa.

  6. JamiiForums Tanzania Chacha, ni kweli tunajua Serikali na Vyombo vyake ni Mali ya chama Cha mapinduzi lakini kututamkia hadharani ni dharau kubwa kwa watanzania

    Hivi kwa matamshi haya tutegemee Kuna siku CCM itatoka madarakani? Je tutegemee Tundu Lissu atatendewa Haki? Je tutegemee watanzania kupata mabadiliko ya katiba? Huko CCM mkiwa mnachagua viongozi muangalie na watu wa kuwateua sasa imagine Huyu hajui hata mipaka ya Serikali na Vyombo vyake...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali yaitaka Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi (NBAA) kubuni Mitaala kuendana na AI

    Serikali imeitaka Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) kuharakisha maboresho ya mitaala na mafunzo ya uhasibu ili kuendana na kasi ya maendeleo ya teknolojia, hususan matumizi ya akili unde (AI), kwa kuwa baadhi ya kazi zinazofanywa na wahasibu hivi sasa zinaweza kubadilika au...
  8. JamiiForums Tanzania Mfumo wa e-Ardhi Mtwara wafanya mapinduzi makubwa: Masijala za ardhi zenye majarida sasa zahamia kidijiti

    MTWARA Mkoa wa Mtwara umeanza kushuhudia mabadiliko makubwa katika usimamizi na uhifadhi wa taarifa za ardhi kupitia Mfumo wa e-Ardhi, ambapo masijala za ardhi zilizokuwa zikihifadhiwa kwa kutumia majarida sasa taarifa hizo zinaendelea kuhamishiwa katika mfumo wa kidijiti. Hatua hiyo ni sehemu...
  9. JamiiForums Tanzania Wapi kwenye katiba imeainisha mapinduzi mazuri na yale mabaya? CCM ina uhalali gani wa kutamba na mapinduzi yake?

    Kama tunakubaliana kuwa kupanga au kutekeleza mapinduzi ya kisiasa ni uhaini na ni kosa kubwa katika nchi, hatuwezi kusema mapinduzi fulani ya kisiasa ni halali na mengine ni haramu. Vilevile, hatuwezi kusema kundi fulani la watu lina haki ya kufanya mapinduzi na wengine hawana haki hiyo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania SAMIA NA MAPINDUZI YA BANDARI ZA TANZANIA

    SAMIA NA MAPINDUZI YA BANDARI ZA TANZANIA Kuna uwekezaji ambao unaonekana kwenye majengo, magati, reli na mitambo. Lakini kuna uwekezaji mwingine ambao thamani yake kubwa haionekani mara moja kwa macho, ni uwekezaji unaobadilisha namna nchi inavyounganishwa na biashara ya kikanda, namna mizigo...
  11. JamiiForums Tanzania MAPINDUZI YA KIDIJITI: Kilimanjaro Yawa Miongoni mwa Mikoa Inayotoa Huduma za Ardhi Kupitia e-Ardhi

    MOSHI, KILIMANJARO Mkoa wa Kilimanjaro umejiunga na mikoa mingine inayotoa huduma za ardhi kwa wananchi kwa njia ya kidijiti kupitia mfumo wa e-Ardhi ambao unarahisisha na kuharakisha huduma za sekta ya ardhi nchini. Akizungumza wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wataalamu wa sekta hiyo...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania Nzuri Tuionayo sasa, ni matokeo ya uongozi bora kutoka Chama cha Mapinduzi

    Ukikaa chini ukatafakari historia ya Tanzania, ni vigumu kuizungumza bila kuitaja CCM. Chama hiki kina historia ndefu sana katika safari ya taifa letu. Tangu kuanzishwa kwake mwaka 1977, CCM imekuwa sehemu ya uongozi na shughuli mbalimbali za kisiasa na kijamii nchini. Kwa miaka yote hiyo...
  13. JamiiForums Tanzania Mbunge ashauri Chama Cha Mapinduzi kumpitisha Dkt Samia kama mgombea wa uraisi 2030

    Mbunge ashauri Chama cha Mapinduzi kumpitisha Dkt Samia, raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kama mgombea wa uraisi 2030 https://www.facebook.com/share/v/1Bo5jn5G75/
  14. JamiiForums Tanzania Into the Badlands: Mapinduzi ya Martial Arts!

    Kama umechoka na movie za risasi zisizo na msingi au drama za kupoteza muda, tuliza akili yako halafu tafuta hii show. Into the Badlands ni moja kati ya series zilizofanya mapinduzi makubwa ya uchezaji wa sanaa za mapigano (Martial Arts) kwenye historia ya TV! Nenda kajionee shoo za kibabe, hii...
  15. JamiiForums Tanzania Tunawakumbuka: Mapinduzi ya Zanzibar Kipindi Cha Kwanza

    https://youtu.be/_p4-XBxMbBc?si=GhBz__6hPQu9Dj3s
  16. JamiiForums Tanzania Ushindi wa LISSU 22/1/2025 kua Mwenyekiti CDM, mpaka sasa umetuletea Mapinduzi Chanya Kisiasa, Tumuombee sana !Udalali wa Mbowe Ulituchelewesha

    Jaribu kuwaza Mbowe ndo angekua Mwenyekiti 2025. Chadema wangepewa Wabunge 20 , alafu business as usual!!. Mbowe Mafanikio yake sio kua Kua Kiongozi, Mafanikio yake yalijengwa kwenye Kumiliki Mali, Kua na Connections na Serikali !!. Lissu kauthibitishia UMMA wa Watanzania kua, Yeye anawapenda...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ili Mapinduzi ya umma ya fanikiwe, Defections ya viongozi wa juu lazima ifanyike, la Nchimbi ni hatua nzuri

    Suala la kuachia ngazi kwa Nchimbi ni hatua muhimu katika mapinduzi ya Umma. Serikali huanguka pale maafisa ndani ya dola, chama tawala na Jeshi huachia ngazi na kuwaunga mkono wananchi. Tutarajie viongozi majasiri wa Tanganyika kutoka hadharani na kumuunga mkono Nchimbi na Watanganyika.
  18. JamiiForums Tanzania Hivi hii Yanga itakua ni project ya chama cha mapinduzi ama?

    Kwa sajili hizi ambazo ziko nje ya uwezo wa kiuchumi wa timu husika.. Kutakuwa na namna chama cha CCM wanatumia yanga kama distraction kwa taifa ili mambo yao yaende smooth na vuguvugu la kisiasa liweze kudisolve kiaina. Haikawahi kutokea club hapa Tanzania ikafannya kufuru ya namna hii kwa...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mapinduzi yalishafanyika, sasa mapinduzi ni ya maendeleo

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akihutubia Wananchi wa Kizimkazi, Zanzibar leo Agosti 13, 2026, wakati akizindua rasmi Mradi wa Maji wa Kizimkazi, amesisitiza wananchi kulinda amani ili kuwepo maendeleo. "Na vile vile nisisitize kwamba uwepo wa miradi hii tumeweza...
  20. JamiiForums Tanzania CCM hawawezi toka kwa demokrasia wanajua maumivu na wizi waliousababisha

    Kichwa cha uzi kinatoshea niende kwenye why! Kwa sababu Ccm hawawez toka kwa demokrasia wanajua maumivu na wizi waliousababisha na wanaoufanya kwa watanzania so sio rahisi hawa jamaa kuachia kirahisi sio kabisa. Na demokrasia haiwez waangusha hawa jamaa. Na kama ni demokrasia, ashinde...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…