mapinduzi

  1. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa serikali ya Benin: Tumedhibiti mapinduzi kila kitu kipo sawa. Jeshi la kawaida linarudisha udhibiti

    Kila kitu kiko sawa’: Msemaji wa Serikali Bado hakuna habari rasmi kuhusu mahali alipo Rais wa Benin Talon, lakini Wilfried Houngbedji, msemaji wa serikali ya Benin, ameiambia AP kwamba “kila kitu kiko sawa.” Houngbedji hakutoa maelezo zaidi, kulingana na shirika la habari la AFP...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi Benin: CNN, BBC, ALJAZERA sijawasikia wakitanyaza habari hizi

    Ina maana this is not great news? Mapinduzi Benin: CNN, BBC, ALJAZERA sijawasikia wakitanyaza habari hizi
  3. Mende mdudu

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Benin watangaza mapinduzi ya kijeshi nchini humo

    Kikundi cha wanajeshi kilionekana kwenye televisheni ya taifa ya Benin kikitangaza kuvunjwa kwa serikali katika kile kinachoonekana kuwa mapinduzi nchini humo, iliyopo Afrika Magharibi. Mapinduzi hayo yametangazwa leo siku ya Jumapili kumng’oa madarakani Rais Patrice Talon, ambaye ameiongoza...
  4. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi huzaa mapinduzi sio Demokrasia

    Historia hujirudia. Katika Muhubiri 1:9 twasoma; "Yaliyokuwako ndiyo yatakayokuwako; na yaliyotendeka ndiyo yatakayotendeka; wala jambo jipya hakuna chini ya jua" Katika mapambano ya kujenga nchi, mataifa mbalimbali yamepitia njia mbalimbali ikiwemo kufanya mapinduzi ya kijeshi mara nyingi pale...
  5. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ukimsikiliza Kagame vizuri kuhusu Mapinduzi Afrika, ni kama alikuwa anaongea na JWTZ

    Kila mtu anashangaaa. Wachambuzi wa Afrika wanashangaa. Wachambuzi wa Dunia wanashangaa. Inakuwaje Jeshi linakuwa kimya wakati mtu mmoja anaua maelfu ya Wananchi? Anafanya hayo huku akijilimbikizia mali yeye na familia yake. Mbaya zaidi anateka, kuwapoteza na kuwafungulia mashtaka ya uongo...
  6. Superbug

    JamiiForums Tanzania Kwaheri ccm kwaheri Chama Cha Mapinduzi

    Ukweli usemwe ccm imefikia mwisho. 1977-2025. Huwezi kushindana na wakati.
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Video: Rais Samia ashauriwa Kujifunza historia ya Mapinduzi ya Zanzibar

    Wazanzibar walifanya mapinduzi ya mwaka 1964 kwa sababu walinyimwa haki ya kuunda serikali yao. Baadhi ya wananchi wanazungumzia hatua za kisiasa za sasa chini ya Samia Suluhu, wakidai kuwa tume ya uchaguzi aliyounda imetoa matokeo yasiyo ya kweli, huku jeshi likitumika vibaya na kutumia mitutu...
  8. President of China

    JamiiForums Tanzania Watu wote wenyeakili wanajua; Mipango yao ime fail, CCM inazidi kuwa imara, Kidumu Chama cha Mapinduzi (Jipangeni tena for 25 years)

    Watu wanaotumia mihemko wataendelea kupiga kelele. Lakini ukweli ni kwamba mipango yao waliyoisuka kwa miaka mingi imezimwa kama mshumaa. Wao wanapanga CCM inapanga. CCM imevuka vikwazo vingi mno, imepita kwenye milima na kwenye mabonde mazito. Imepenya majaribio mengi. Walitumia maafisa...
  9. B

    JamiiForums Tanzania PLO Lumumba AONYA MAPINDUZI Tanzania

    15 November 2025 https://m.youtube.com/watch?v=taaPPz2Df0Y Prof. PLO Lumumba achambua kuhusu washauri wahuni, machawa wanaosema Mama usisikilize kelele za vijana GenZ, vijana hao GenZ ni genge lisilojielewa, wababaishaji, hawajui wanadai nini, watapoa tu, 912 hawatatokea katika maandamano...
  10. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: Yaliyofanyika si maandamano ni uharibifu, jaribio la mapinduzi ni tafsiri ya UGAIDI

    Wakuu nimekutana na andiko hili... Ni nani aliwapa ujasiri wa kuchoma mali za watu wasio na hatia?Ni nani aliwapa moyo mgumu kiasi cha kufunga barabara ambazo hata mgonjwa aliyehangaika na pumzi yake ya mwisho alipitia? 🚑 Mamilioni ya jasho ya mtu mmoja yaligeuzwa majivu ndani ya dakika...
  11. President of China

    JamiiForums Tanzania Chama cha Mapinduzi (CCM) ni kati ya vyama 10 vikubwa duniani - Fahari ya Tanzania na Afrika; Je, mnalijua hili?

    UTANGULIZI Je, unajua kwamba Chama cha Mapinduzi (CCM) ni miongoni mwa vyama vya kisiasa vikubwa duniani? Wengi hawajui, lakini Chama cha Mapinduzi (CCM) chama tawala cha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni miongoni mwa vyama vikubwa zaidi duniani kwa idadi ya wanachama. Hii ni heshima kubwa...
  12. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 ZEC yamtangaza Dk Hussein Mwinyi kuwa Rais wa Zanzaibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ya Zanzibar

    30 October 2025 | Unguja, Zanzibar Dr. Hussein Ali Mwinyi azoa kura 448,892 uchaguzi wa 2025 Huku mpinzani wake mkuu Othman Masoud Othman almaarufu OMO wa ACT Wazalendo akipata kura 139,399 ZEC imemtangaza Dk Hussein Mwinyi kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Braza la Mapinduzi ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nyimbo zinazo zinazungumzia kila shida tunayopitia kuanzia utekaji, ukandamizaji wa sauti

    Ni wakati wa kujifunza maneno na kitunga nyimbo leo nitawaletea maneno yenye nguvu kutoka kwa wenzetu waliopitia magumu na kuvunja ukimya na minyororo yao. Hizi nyimbo zinazungumzia kila shida tunayopitia kuanzia utekaji, ukandamizaji wa sauti mbadala hadi ubovu wa serikali
  14. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mimi nataka mabadiliko Tanzania ila siungi mkono maandamano au mapinduzi ya kijeshi

    Miezi ya hivi karibuni kuna mtanzania anaishi marekani anaitwa mange kimambi na ameitisha maandamano na mpaka sahivi anayapigia debe kwa njia mbalimbali kupitia mtandao wa instagram Wako watakaopiga kura Wako wanaosupport maandamano Wako wanaopinga Wako ambao hawajajua wako upande upi...
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Tujitahidi kuboresha biashara ya kitimoto, tunahitaji mapinduzi ya upikaji kitimoto katika nchi

    Hapa nilipo kitimoto inayopatikana ni ya kukaanga iliyo kavu au rosti tu, ya kuchoma inapatikana kwa nadra sana, na hivyo ndivyo hali ilivyo sehemu kubwa ya nchi. Kwa hakika tunahitaji ubunifu zaidi katika mapishi ya kitimoto katika hii nchi, karibia kila mahali wanapouza kitimoto mapishi ni...
  16. Penguinelli Cactussini

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ni kweli kwamba Tar 29-10 watu watatoka kweli?

    Maandamano aliyoitishaga Mange Kimambi yalileta badiliko lolote wakati ule? Je, kipindi hiki NDIO tuseme chuki dhidi ya serikali iko kwenye peak kuliko miaka yote TANGU uhuru? Gen Z wa wakati huu ni bora na wanataka mabadiliko tofauti na miaka ya nyuma? Enyi watu wazima ambao mliona...
  17. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Nyerere: Msiogope mapinduzi mijitu inayoogopa mapinduzi ni minyonyaji

    Ifahamu historia ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, aliyeiongoza Tanganyika kupata uhuru mwaka 1961, kupitia chama cha Tanganyika African National Union (TANU) alipigania uhuru kutoka kwa Uingereza na baadae kuunganisha Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964 ikazaliwa Tanzania … Nyerere alifanikiwa...
  18. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli watu wameuchukia utawala wa rais Samia kiasi cha kuombea mapinduzi?

    Watu wengi wanaamini kuwa yule ni Kapteni wa JWTZ. Alichokisema kwa ujumla ndio malalamiko ya watu kila siku mitaani. Ufisadi, famiilia za wanaCCM wachache kuiba na kutafuna mali za umma. Je, ni kweli watanzania wanahitaji mapinduzi ya kijeshi?
  19. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya Kijeshi kwenye baadhi ya nchi yaliyowahi kupata Ushirikiano wa Wananchi

    Hapo chini ni Mapinduzi ya Kijeshi( Coup d'etat) yaliyowahi kufanyika kwenye nchi mbalimbali na kupata baraka na support za wananchi kutokana na UFISADI na DHULMA dhidi ya wananchi Afrika 1. Mali (2020, 2021) – Wananchi walipinga ufisadi na ukosefu wa usalama, wizi wa mali za Umma...
  20. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania haiwezekani kutokea machafuko wala mapinduzi ya kijeshi

    Afrika imekuwa ikishuhudia misururu ya mapinduzi ya kijeshi tangu enzi za Vita Baridi hadi karne ya 21. Nchi nyingi zilikumbwa na hali hii kutokana na migawanyiko ya kisiasa, kikabila na kiuchumi. Ghana ilipitia mapinduzi yake ya kwanza mwaka 1966, Nigeria ikashuhudia mapinduzi mara kwa mara...
Back
Top Bottom