mapinduzi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwa maslahi ya amani, serikali isikilize kilio cha haki kwa raia wake. watu wakichoka kukemea mitandaoni kitachofuata ni vikundi vya "TIT FOR TAT"

    Tunakoelekea sasa tunaweza kuja kushuhudia Tanzania ambayo hatujawahi kuvidhania kabisa.
  2. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Mtambo wa CathLab waleta mapinduzi ya tiba ya kiharusi nchini

    Kwa muda mrefu, tiba ya kiharusi hapa nchini ilikuwa changamoto kubwa kutokana na ukosefu wa teknolojia ya kisasa ya kuchunguza na kutibu mishipa ya damu ya ubongo kwa haraka na kwa ufasaha. Hali hiyo ilisababisha wagonjwa wengi kupoteza maisha au kubaki na ulemavu wa kudumu. Ujio wa mtambo wa...
  3. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania FT | Azam FC 0-0 Yanga SC (Pen 4-5) | Mapinduzi Cup | Gombani Stadium | Fainali | 13.01.2026

    Fainali ya Michuano ya NMB Mapinduzi Cup 2026, kupigwa katika Uwanja Mpya wa Gombani Kisiwani Pemba, Mechi kali kati ya Azam FC dhidi ya Yanga SC Kikosi kazi dhidi ya Azam FC #MapinduziCup2026Final Mpira umeanza Dakika ya 10 Yanga SC wanafanya mashambulizi Dakika ya 15 Dube anakosa nafasi...
  4. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Heri ya Miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar

  5. President of China

    JamiiForums Tanzania The 19 Goals and Objectives of Chama Cha Mapinduzi (CCM)

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) is Tanzania’s ruling political party, founded on the principles of nationalism, unity, social justice, and democratic governance. Its goals and objectives reflect the historical struggles of Tanzania and its vision for a just, prosperous, and united nation. The...
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Simba Sc Vs Muembe Makumbi| Mapinduzi Cup 2026|New Amaan Complex Stadium| 8:15 Usiku

    Klabu ya Simba SC itashuka dimbani katika Uwanja wa New Amaan Complex Stadium katika mchezo wa Mapinduzi Cup 2026 dhidi ya Muembe Makumbi ya (Zanzibar) majira ya saa 8:15 usiku. Hii itakuwa mchezo wa kwanza wa Simba chini ya kocha wake mpya, Steven Barker.
  7. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi ni kunyakua madaraka kinyume cha sheria sio tu ya jeshi kuiba uchaguzi ni mapinduzi ya utawala wa nchi

    Mapinduzi ni kunyakua madaraka kinyume cha sheria sio tu ya jeshi kuiba uchaguzi ni mapinduzi ya utawala wa nchi. Wizi wa uchaguzi ni mapinduzi pia, sio tu jeshi lipundue na kushika madaraka jeshi linaweza kusupport mwanasiasa kufanya mapinduzi na kumpa madaraka kinyume cha sheria hata kwa...
  8. BIG BROTHER ALEX

    JamiiForums Tanzania Kombe la mapinduzi Zanzibar ni jeuri, dharau au kutojielewa kwa waandaaji?

    Waliitisha press, wakasema kombe la mapinduzi kuanzia Sasa ni la kimataifa, wakimanisha zitakazo shindana ni nchi na nchi, sio klabu za kawaida. Tukasema sawa, akaitwa Burkina Faso, Uganda, Kenya, Burundi japo wengine walilikataa wakajitoa, haya likafanyika, Zanzibar heroes sijui ni nchi ya...
  9. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusha viongozi wa Vyombo vya Dola: Utekaji unaoendelea baada ya kiini macho cha uchaguzi siyo afya kwa jamii, mnachochea moto

    Mimi najiuliza hivi ni kweli IGP wambura hana washauli wazuri wakumshauli namna bora ya utendaji kazi wa jeshi la polisi katika kutekeleza majukumu yake zaidi ya haya mambo yanayoendele ya utekaji baada ya kiini macho cha uchaguzi yaliyofanyika october29. ? Hawa viongozi hawajui kama kuendelea...
  10. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Majaribio ya kikundi kidogo kuteka nchi yetu yame fail vibaya raia wamepiga kwenye mshono sasa hivi wanalala na viatu wanaogopa mapinduzi

    Majaribio ya kikundi kidogo kuteka nchi yetu yame fail vibaya raia wamepiga kwenye mshono sasa hivi wanalala na viatu wanaogopa mapinduzi. Wanaogopa kuwajibishwa kwa mauwaji waliyo yafanya wizi wa haki za wananchi na utekaji hadi maiti mahospital. Tumesha shinda tukutane D25
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kaka wa Polepole sio mwanajeshi wa nchi hii ila hiyo nchi ikitaka kuwachukua siku moja ni mifano tosha kwenye mapinduzi

    Huyu kaka yake Polepole sio mwanajeshi wa nchi hii ndio maana serikali ya CCM mafwere iwezi kuzungumza chochote wala kujibu. Wakijibu ni kama wanamgusa mwewe na malikia marehemu. kwa sasa wabaki wakishindana na sisi wananchi kututeka na kufanya vyovyote,ila mpo mbioni kutekwa na nyie na kufutika.
  12. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ukisikia habari ya Kambona, ukimuangalia Warioba, ukiona walivyofanyiwa na Chama cha Mapinduzi na Serikali zake utaelewa kwanini Tanzania ni masikini

    Mkwamo wa Tanzania tangu kuanzishwa kwake umetokana na sababu kuu mbili. 1. Kuwapa kipaumbele zaidi wajinga na ujinga kuliko akili na wenye akili. 2. Rushwa na Ubinafsi. Kuhusu kuwapa kipaumbele wajinga na ujinga kuliko akili na wenye akili. Kabla ya kifo chake. Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu...
  13. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi ni suala dogo kuliko mauwaji na utekaji unaofanywa na anayeuwa na kuteka amestahili mapinduzi ni haki yake hatutokuwa kitu kimoja

    Mapinduzi ni suala dogo kuliko mauwaji na utekaji unaofanywa na anayeuwa na kuteka amestahili mapinduzi ni haki yake hatutokuwa kitu kimoja. Na amestahili kwasababu ni mpumbavu na anahatarisha maisha ya kila mmoja wetu ni mwehu mapinduzi yatakuwa mwokozi wa uhai wa watanzania dhidi ya wapumbavu...
  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi yakifeli kinachofuata ni nini?

    Huku kwetu mitaani wafanya vurugu waliandika ujumbe wao kwenye kuta na mawe maneno 'Samia must go'. Ndiyo nikajua ahaaaaaa kumbe hizi vurugu ndiyo namna yenyewe ya kupindua. Nilipoona maandaishi yale nikajua kuwa lazima watakufa watu wengi kama madhumuni ndiyo hayo. Lakini naona serikali bado...
  15. Fbn

    JamiiForums Tanzania Bila kufanyika mapinduzi tusijidanganye kwamba CCM watatukabizi nchi.

    CCM Jina Chama Cha Mapinduzi. Kama ujaelewa Maana ya Mapinduzi basi kutoka madarakani ni ngumu.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nani anawatumia Gen z kutaka kuangusha dola? Au ndio Mapinduzi kama ya Cuba?

    Rais Samia alisema akiwa anawahutubia wazee wa Dar. Kuwa tar 29 oktoba kuna watu walipanga kuangusha dola. Ndio maana nguvu kubwa ikatumika kuua watu wasio na hatia. Nani anataka kuchukua kiti cha urais kupitia Gen z? Je , haya yanayonukia sio mapinduzi kama ya Cuba ili kuondo mafisadi...
  17. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania Chama cha Mapinduzi, mnaogopa MAPINDUZI? Mnatuonaje watanzania?

    Nilitarajia chama hiki cha MAPINDUZI kutokuwa na mashaka na Mapinduzi kwani ndiyo asili ya chama hiki. Inakuwaje panic mode imekuwa activated kwa kiwango kikubwa namna hii? Mna povu sana kwa sasa, what went wrong with this “revolutionary” party?
  18. Penguinelli Cactussini

    JamiiForums Tanzania Kwanini kuna siku ya uhuru wa Tanzania bara na hakuna siku ya Mapinduzi ya Tanzania visiwani?

    Umemsikia Mwigulu? kwanini tunasherehekea sikukuu ya uhuru wa Tanzania bara ilhali hakuna kusherehekea siku ya Mapinduzi ya Tanzania visiwani? Kwanini title ya ‘siku ya uhuru wa Tanzania bara’ ila wao hawatumii title ya siku ya Mapinduzi ya Tanzania visiwani ila wanatumia Mapinduzi ya Zanzibar?
  19. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Simbachawene: Yanayopangwa D9 si maandamano ni mapinduzi, vyombo vyetu vya usalama vitayadhibiti

    Waziri wa Mambo ya ndani, George Simbachawene amesema maandamano ambayo yamepangwa kufanyika kesho siyo maandamano bali ni Mapinduzi. Akizungumza na Waandishi wa Habari leo kwenye ofisi za Wizara za mambo ya ndani,Simbachawene amesema maandamano hayo siyo halali na hayana kibali chochote...
  20. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Yericko Nyerere: Vijana washauriwe kuepuka miito ya kupanga mapinduzi

    Yericko Nyerere unasema Samia hajavunja Katiba Je, katiba inamuelekeza kuuwa raia wake?, Je, Katiba inamuelekeza kukaa kimya juu ya utekaji? Je, hiyo Katiba inasemaje kuhusu haki ya Maandamano kwa wananchi? Tulia kijana tunaujua unaupiga mwingi upate angalau ka uteuzi kutoka kwa Samia...
Back
Top Bottom