Into the Badlands: Mapinduzi ya Martial Arts!

Into the Badlands: Mapinduzi ya Martial Arts!

bless on

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2026
Posts
876
Reaction score
2,118
Kama umechoka na movie za risasi zisizo na msingi au drama za kupoteza muda, tuliza akili yako halafu tafuta hii show. Into the Badlands ni moja kati ya series zilizofanya mapinduzi makubwa ya uchezaji wa sanaa za mapigano (Martial Arts) kwenye historia ya TV!

Nenda kajionee shoo za kibabe, hii kama una angaliaga ujinga wa kihindi, hii huiwezi kamwe.

Ukiwa unatazama hakikisha hakuna mtoto pembeni wa kukusumbua, make ataishia kula konzi zito😂😂😂
 
Attachments

  • FB_IMG_1788429225310.jpg
    FB_IMG_1788429225310.jpg
    120.8 KB · Views: 5
Dah mnanionea sana, halafu sijui kwanini kwenye movies wakiwaweka hao hua siwazingatii kabisa tena wakianza kulambana lambana napeleka mbele, why!? they are so fake
Utakuwa unaogopa watakuamshia mzuka wa hiyo mambo.
Au
Deep down your heart haupendi yale mambo. Guilty conscience.
Nafsi inakuambia hii kitu haikubaliki ktk jamii inayo kuzunguka lakini moyo wako unapenda pia.
Utanisamehe kama nitakuwa nimekukwaza kwa mtazamo huu.
Live your life the way you want it ......
 
Hapana hujanikwaza nilishazoea kukutana na mitazamo kama yako ila hukunielewa, kiufupi hua sipendi kuona watu wakizagamuana kwenye movies napenda kuangalia stories na kuielewa na sio watu wakiwa wanasex lazima nipeleke mbele kwanini? wanachofanya ni fake siwezi kupata mzuka wowote.
 
Nimekupata sasa.
 
hii ndiyo shida yao movie nyingi hazina mwendelezo hata SILO n.k.

Ndio shida hapo, nilifuatilia sana hii movie na kioindi hicho nilikuwa na muda mwingi, 2017/2018. Nilikuwa naenda kwa mdosi mmoja ananipa vipande, badae akasema wameacha kutoa. Ilikuwa season kama ya nne hivi.
 
Ile system ya ma baron na ma clippers ilitengenezwa kwa akili sana.
 
Mimi ambaye kutwa huangalia tu Ertugrul Bey nitaweza kweli kuchukua uamuzi huo?!

Sijui ngoja tuone.
Mwambie jamaa asimfananishe kabisa mwamba Ertugrul na series yoyote ile,hapa tunazungumzia maisha halisi na historia kubwa iliyowekwa na waturuki duniani,ikiwemo kuitawala dunia for more than 600yrs, we huogopi!!!!
 
Ujumbe ameupata sasa, na atakuwa ameelewa.
 
Back
Top Bottom