Mpenzi wangu ananisumbua kila wakati. Nifanyaje?

Mr Chromium

JF-Expert Member
Aug 20, 2020
2,088
2,705
Tumeanza kudate miezi mitatu imepta!! Mwanzo ilikua kawaida tunatafutana kwa siku mara moja jion au mara mbili kwa siku

Sasa bana kuanzia mwez 6 tabu ndipo ilipoanza
  • Akipga simu hataki kumaliza maongezi
  • Hata ukimwambia umechoka hakuelewi
  • kila muda sim ,text ukipitaa lisaa utakuta miscall 7 msg 12 yaan unaeza jua NYUMBA INAUNGUA
  • Ukimwambia tuongee baadae jion au usiku niko kazini bas itapta nusu saa anaanza kupga sim na matex
  • Aisee yaan nakasirikaaaa mapenzi ya hivi sijawai kutana nayo na siyataki kwakweli
KUNA MUDA NADHAN LABDA UTOTO NIMUACHE! lakini ni mtu mzma

Ebu wenye experience ya relationship n kawaida au nmekutana na kimeo
 
Mwanzo alikuwa kwenye kipind cha mpito, yupo na mtu wake wa zaman huku kakukubalia wew.

So sasa hivi kashaachana na mtu wake rasmi, kaamishia majeshi kwako kwa nguvu zote. Mpokee kwa mikono miwili, hayo ni mapunguvu madogo tu.

SUKAH
 
Back
Top Bottom