Ulijifunza nini kupitia penzi lililopita?

Restless Hustler

JF-Expert Member
Apr 9, 2017
4,738
17,952
Habari za muda huu, mapenzi hufunza hususani baada ya kuisha.

1. Binafsi nimejifunza kutokurudiana na X ni jambo muhimu sana kwenye ulimwengu wa mapenzi. Akishakuwa X, ni X milele, hakuna tena nafasi ya kurudisha mapenzi. Nitamsamehe makosa yake lakini sitoruhusu kurudiana.

Yeye ni yule yule na hata mkirudiana hatokuwa malaika, ila atakuja na mawazo maovu zaidi ya kukumaliza. Pepo amtokapo mtu, siku akimrudia huja na mapepo maovu zaidi yake.

2. Kuwa na huruma kwa mwanamke ni jambo haramu kwenye ulimwengu wa mapenzi. Hawa viumbe ukiwahurumia wanakuona hamnazo. Unapaswa kutokumhurumia. Akiomba hela leo, hata kama unazo hapo mfukoni usimpe, mpe wiki ijayo.

Akiomba laki mpe elfu 60, kama hataki aandamane. Hawana shukrani wala kumbukumbu ya mema waliyotendewa, hivyo hawastahili kuhurumiwa. Sauti nyororo isikufanye utapeliwe.

Hata kitandani unapompiga miti mkunje kwa nguvu zote hata ukimvunja ni sawa tu, akilalamika anaumia shikilia hapo hapo. Ukimhurumia, kesho utasikia akikuambia huwezi kumkaza vizuri.

3. Shobo na wanawake wengi: Nikikutana na mrembo njiani hata kama anang'aa kama nyanya, kama sikupanga kuongea naye siku hiyo hata salamu yangu hapati! Kwenye usafiri wa umma anayepaswa kumsalimia mwenzake ni aliyemkuta. Mrembo akiingia asiponisalimia siwezi kumsalimia eti kwa sababu ni mrembo.

Yote kwa yote, kosa kubwa kuliko yote nililoapa kutolifanya tena ni kurudiana na X.

Ulijifunza nini kupitia mapenzi/penzi lililopita?
 
Kiukweli umeongea point ex ni yuleyule watu watambue hilo. Ex habadiliki zaidi ukimludia ndo anakuumiza na kitu kingine ambacho nikikubwa kuliko kile cha mwanzo. Na anaweza kufanyia kitu kibaya hadi ukajiuliza huyu ni binadamu au nimnyama mana hatokua ata na cbembe ya huruma.
 
Kiukweli umeongea point ex ni yuleyule watu watambue hilo. Ex habadiliki zaidi ukimludia ndo anakuumiza na kitu kingine ambacho nikikubwa kuliko kile cha mwanzo ,,Na anaweza kufanyia kitu kibaya hadi ukajiuliza huyu ni binadamu au nimnyama mana hatokua ata na cbembe ya huruma
Ndiyo maana yake. Ogopa Sana neno "naomba turudiane" 🧢
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom