mapenzi

  1. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Tuwaalike JF hawa Watu wenye Changamoto za Mapenzi kabla Hawajaua au Kujiua

    Waje wapate ushauri nasaha na pia wajue kuwa ukikosa huyu unaweza pata mwingine. Si lazima ulazimishe kuwa na huyo. Wajue pia wanaweza kula issue nyingine kimasikhara. Waonane na wataalamu humu kama akina GuDume , Zero Brain yule jamaa wa kula tunda kimasikhara , @malisaGj na wengineo. Hata...
  2. L

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mapenzi ndoa mpaka kifo

    Idadi ya vifo, majeruhi na athari hasi mbalimbali zitokanazo na mahusiano mapenzi na ndoa imekuwa ikiongezeka siku hadi siku. Vyombo vya habari vimekuwa vikiripoti idadi kubwa ya athari hasi zitokanazo na mapenzi ndoa pamoja na mahusiano. Utasikia huyu kamuua mkewe kisa wivu wa wapenzi, au...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mwalimu aua mke na watoto wawili, naye ajiua kwa kunywa sumu

    Kitongoji cha kibumbe, kata ya Kiwira wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya mke, mume na watoto wawili wakutwa wamefariki ndani ya nyumba na miili yao ikiwa imeharibika. Mdogo wa marehemu (mke) kutoka Mbeya Mjini alisema zaidi ya wiki moja alikosa mawasiliano na familia hiyo ambao wote ni walimu, hivyo...
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza HIV+

    Natafuta mwanaume mwenye hiv +, mwenye uelewa na afya yake na anatumia ARV. Aliyeserious tafadhali mengine tutajuana PM.
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kama upo chini ya miaka 40 usitumie pesa kuyapata mapenzi ya wanawake

    KAMA UPO CHINI YA MIAKA 40 USITUMIE PESA KUYAPATA MAPENZI YA WANAWAKE Anaandika, Robert Heriel Andiko hili ni Kwa utambuzi vijana, kuwafanya wajiamini na kujielewa. Wakati wanawake wakihamishana Kupenda wanaume wenye pesa na kuwabagua wanaume wachanga ambao wapo kwenye umri wa utafutaji...
  6. karv

    JamiiForums Tanzania Kuwa makini kumchangua mtu wa kuwa na mahusiano naye

    Habari zenu mabibi na mabwana natumaini mpo wazima wa afya na maendelea poa naajukumu yenu Leo ningependa kuja na haya kwako kijana ambaye unampango wa kuoa siku zijazo basi ni vyema ukazingatia haya. Mwanaume Umetangulizwa Kuumbwa na Kupata Uhai Kabla ya Mwanamke ,,,Ili Upatikane Ubavu Wako...
  7. Ali Nassor Px

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu alijiua kisa mapenzi

    Mara nyingi sana huwa nikisikiliza nyimbo ya BUSHOKE na JULIANA KANYOMOZI " usiende mbali ". Huwa anamkumbuka rafiki yangu JAMES mapenzi tu ndo kilikuwa chanzo cha kifo chake. Jamani tunatakiwa tujue maisha mafupi sana haya lakini kuna mtu anaweza akayafanya yakawa maisha mafupi zaidi kwako Au...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mwanaume hawezi kukupenda kama anavyompenda mke wake, never ever!

    Anaandika Robert Heriel. Haijalishi atakuambia nini, haijalishi atakupa nini. Mwanaume hawezi kukupenda Kama anavyompenda mkewe. Hilo wala sio siri, wanaume wote duniani tupo hivyo. Asije akakudanganya mtu kuwa ati anakupenda kuliko mkewe huo ni uongo na amekuona hamnazo kichwa maji. Ndio...
  9. Alubati

    JamiiForums Tanzania Nimeumaliza mwendo kwenye haya mapenzi

    Kati ya kosa kubwa ambalo Mungu alifanya ni kuutoa ubavu wetu wa kushoto kuwaumba hawa viumbe. Wanawake ni watu wabaya sana! Nimepigwa tukio ambalo hata siamini kama wife anaweza kufanya, nashindwa kuandika, mikono inatetemeka. Natamani nimzimishe kwa kumbana koo na meno kama simba anavyoua...
  10. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Maketa: Tendo la ndoa kinyume cha maumbile ni chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika

    Afisa Ustawi wa Jamii wa Jiji la Dar es Salaam, Joyce Maketa, amesema kwamba miongoni mwa mambo yanayovuruga ndoa hadi kupelekea wanandoa kuachana inasababishwa na wanaume kuomba mahusiano kinyume na maumbile. Kauli hiyo ameitoa hii leo Septemba 6, 2022, jijini Dar es Salaam, kwenye kipindi cha...
  11. Curtis De Mi Amor

    JamiiForums Tanzania Mapenzi jamani mapenzi, huu mchezo utaniua bure!

    Unayempenda hakupendi! Unampa hela bado hakupendi. Leo yupo kwangu kesho kwako. Hivi babu zetu waliweza survive vipi? Unahudumia nayeye anamhudumia mwingine. Unamjaza mimba ukimuuzi anasema siyo yako. Yaani ilimradi tuu yakutese wee, uteseke haswa. Ukisema ukae single basi lazima kuna kimtu...
  12. Mr Kachila

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mapenzi kuiendesha Dunia

    Mapenzi; unaposikia neno mapenzi moja kwa moja unapata tafsiri yake binafsi katika ufahamu wako. Wengi huelezea maana yake kutokana na mtazamo aliopo nao, mfano; matazamo wa kidini, kimazingira yanayomzunguka na hata kimahusiano. Binafsi neno mapenzi, kwa kawaida hubeba hisia za ndani...
  13. DungaMawe

    JamiiForums Tanzania Hakuna wanawake watamu na wanaojua mapenzi kama sugar mumy

    Katika umri wangu sikuwahi kuwa na mahusiano na mwanamke aliye nizidi umri. Mpaka mwaka huu nilipo pata mwanamke wa miaka 39, hakika naenjoy mana wapo tofauti na vi slayqueen. 1. Kwanza wanajua mapenzi na wasafi wa kiwango cha SGR, unakula tunda lile lenye viwango vya ubora toka  TBS yani ile...
  14. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Mapenzi kwangu yamenikataa

    Habarin za usiku, Kwangu jaman hali sio shwari hasa upande wa mapenzi. Nilikuwa na mahusihano na dada wakichaga wa Old Moshi kwa muda wa miaka mitatu sasa. Sasa juzi nilimuomba meeting tukutane, akasema ana hamu ya ice cream basi nikamwambia tukutane hapo Azam ya Kariakoo yeye anakaa...
  15. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Limbwata la mapenzi lipo au halipo?

    Binafsi najua limbwata lipo. Mtu akipigwa limbwata anafanya vitu ambavyo watu watamshangaa na yeye unawashangaa kwanini wanamshangaa. Omba sana katika harakati zako za mapenzi usipigwe limbwata. Waambie ndugu na masela wakiona umepigwa kitu wakushtue, ukiwa mbishi wakubebe kinguvu wakupeleke...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimeamua kuachana na mpenzi wangu anayependa mapenzi kinyume na maumbile

    Habarini wana JF, Leo nimeamua kushare na nyie jambo linaloniumiza sana sana, mimi ni jinsia Ke. Nilikua na mahusiano na mwanaume niliyempenda lakini amekua akipenda mchezo huo mchafu. Nakumbuka nilikua ninamkatalia ila sijui ni shetani ilifika siku nilimkubalia, nadhani tumefanya sasa ni...
  17. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Mimi hunawa uso wangu kwa mkojo wa alfajiri ili kusafisha, kung'arisha nyota na kuongeza mvuto wa mapenzi

    Swalama ndugu zanguni? Mpaka sasa zoezi la sensa linaendelea huku likisuasua, lakini msikate tamaa muda bado upo wa kurekebisha kasoro zilizopo. Back to the topic, mimi ni mwanaume wa miaka 35, kwa kweli maisha yangu yalijawa kwa muda mrefu mikosi, ufukara, kukataliwa na kutokuwa na kibali...
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kauli mbalimbali za hekima ya mapenzi

  19. RAFA_01

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yako wapi tena? Karudi nchini bila kuniambia kakaa kimya, kanisahau kwa makusudi

    Mwaka mzima namsubiri aje lakin kaingia nchini kimya kimya bila hata kuniambia, kweli! Mwanzon kabisa it was great. We had so much in common...we shared the same taste in everything music, movies, she loves karaokee though she’s bad at singing, she likes art and i love arts, we were the perfect...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Kero ya miguno ya mapenzi kwa mpangaji mwenzangu

    Ndugu nipeni ushauri nina jirani yangu hapa tumepanga nae sasa yeye kila sku analeta demu na huwa anatumia vigra maana wanaanza mapenzi kuanzia saa nne Hadi asubuhi hapumziki na mimi hapa nashindwa kulala Maana kila demu anaeletwa anamegenwa na kulia usku kuacha sasa hii Hali jamaa amenifanya...
Back
Top Bottom