mapenzi

  1. Mwachiluwi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi kwangu yamenikataa

    Habarin za usiku, Kwangu jaman hali sio shwari hasa upande wa mapenzi. Nilikuwa na mahusihano na dada wakichaga wa Old Moshi kwa muda wa miaka mitatu sasa. Sasa juzi nilimuomba meeting tukutane, akasema ana hamu ya ice cream basi nikamwambia tukutane hapo Azam ya Kariakoo yeye anakaa...
  2. Kipenzi Changu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Limbwata la mapenzi lipo au halipo?

    Binafsi najua limbwata lipo. Mtu akipigwa limbwata anafanya vitu ambavyo watu watamshangaa na yeye unawashangaa kwanini wanamshangaa. Omba sana katika harakati zako za mapenzi usipigwe limbwata. Waambie ndugu na masela wakiona umepigwa kitu wakushtue, ukiwa mbishi wakubebe kinguvu wakupeleke...
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimaye nimeamua kuachana na mpenzi wangu anayependa mapenzi kinyume na maumbile

    Habarini wana JF, Leo nimeamua kushare na nyie jambo linaloniumiza sana sana, mimi ni jinsia Ke. Nilikua na mahusiano na mwanaume niliyempenda lakini amekua akipenda mchezo huo mchafu. Nakumbuka nilikua ninamkatalia ila sijui ni shetani ilifika siku nilimkubalia, nadhani tumefanya sasa ni...
  4. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Mimi hunawa uso wangu kwa mkojo wa alfajiri ili kusafisha, kung'arisha nyota na kuongeza mvuto wa mapenzi

    Swalama ndugu zanguni? Mpaka sasa zoezi la sensa linaendelea huku likisuasua, lakini msikate tamaa muda bado upo wa kurekebisha kasoro zilizopo. Back to the topic, mimi ni mwanaume wa miaka 35, kwa kweli maisha yangu yalijawa kwa muda mrefu mikosi, ufukara, kukataliwa na kutokuwa na kibali...
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kauli mbalimbali za hekima ya mapenzi

  6. RAFA_01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi yako wapi tena? Karudi nchini bila kuniambia kakaa kimya, kanisahau kwa makusudi

    Mwaka mzima namsubiri aje lakin kaingia nchini kimya kimya bila hata kuniambia, kweli! Mwanzon kabisa it was great. We had so much in common...we shared the same taste in everything music, movies, she loves karaokee though she’s bad at singing, she likes art and i love arts, we were the perfect...
  7. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kero ya miguno ya mapenzi kwa mpangaji mwenzangu

    Ndugu nipeni ushauri nina jirani yangu hapa tumepanga nae sasa yeye kila sku analeta demu na huwa anatumia vigra maana wanaanza mapenzi kuanzia saa nne Hadi asubuhi hapumziki na mimi hapa nashindwa kulala Maana kila demu anaeletwa anamegenwa na kulia usku kuacha sasa hii Hali jamaa amenifanya...
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakuna mapenzi au ndoa kwa wenzi wanaoishi mbalimbali

    Habari zenu wakuu. Wahenga walisema "fimbo ya mbali haiui nyoka" wahenga walijaa busara hasa, wakaongeza na asiyekuwepo na lake halipo. Mimi muhenga mwandamizi nasema hivi, hakuna mapenzi ya kweli, yasiyoambatana na usaliti Kwa wenzi wanaoishi mbalimbali....Yani we uko Kigoma, baby wako Yuko...
  9. Tukuza hospitality

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mapenzi ni Janga kubwa kuliko UKIMWI

    Mapenzi ni mahusiano kati ya watu wawili wenye jinsia tofauti (yaani, mwanamke na mwanaume). Kwa mujibu wa chapisho la Blog ya Muungwana ya tarehe 17/01/2018, mapenzi ni ile hali ambayo watu wawili wanaingia katika mahusiano ambayo yanabeba mambo mengi yakiwemo uvumilivu, unyenyekevu, busara...
  10. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Mapenzi haya

    Jamani wanajamvi za masiku nyingi....... Anyway kunayeyote mwenye dawa ya kuondoa tamaa ya mapenzi yaani kupenda? Maana naona ni kuwest time tuu
  11. Kasie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huwa ananiambia ananipenda, ila hanifikii vile nampenda

    Habari za usiku huu... Natumai mna usiku mwanana na tulivu. Nikiwa naikaribisha weekend kutoka huku Nanjilinji nimeshindwa kuzuia hisia za Mahaba....! Huyu babu vile ananitenda, Mola anajua. Anasema na huwa ananiambia ananipenda, ila hanifikii vile nampenda. Basi jioni hii tukaanza semeshana...
  12. Kilenzi _Jr

    JamiiForums Tanzania SoC02 Wivu wa Mapenzi Unatumaliza

    Miezi mitatu iliyopita nilikua nimekaa ofisini nikiwa naendelea na kazi zangu. Mara nikapokea ujumbe kutoka kwa rafiki yangu mmoja tuliesoma wote kuwa rafiki yangu wa karibu kajiua Kwa kujipiga risasi. Ndiyo ni Davis kajiua kisa mapenzi baada ya kugundua mke wake anatoka nje ya ndoa. Davis...
  13. To yeye

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi nayo yana misimu

    Kama ilivyo msimu wa mvua, msimu wa baridi, kiangaz nk: Kupanda mahindi msimu wa kiangaz ni kujitakia😥 Mapenzi nayo vivyo hivyo, msimu wa mapenz motomoto (ndo linaanza sasa), msimu wa mapenz vuguvugu (yaliyopoa), msimu wa mapenz ya kuvumilia a(hapa watu hujilazimisha kuendelea kuwa wapenzi)...
  14. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Wawili wauawa Dodoma kwa Wivu wa Mapenzi

    Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi Dodoma, ACP Martini Otieno, amethibitisha kutokea kwa vifo vya Dominick Kagula aliyekuwa dereva bodaboda na Mwanamke mmoja aliyetambulika kwa jina la Esta baada ya kudaiwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali. Vifo hivyo vinadaiwa kutokea mtaa wa Msangalale...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kwanini Mke / Mchumba wa Mtu akijua unajua Siri zake za Mpango wa Kando atahangaika mpaka ufanye nae Mapenzi?

    GENTAMYCINE nimeshakugumia (kutana nawe kwa bahati mbaya) zaidi ya mara Saba (7) katika Loji na Gesti mbalimbali ukitoka Kubanduliwa na Wanaume tofauti tofauti na nikakuhakikishia kuwa usiwe na wasiwasi nitakutunzia Siri zako hizo lakini bado huamini na unahangaika kwa kila namna Kunitega ili...
  16. Boss la DP World

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimefanya mapenzi na boss wangu, sijatosheka kabisa

    Usiku wa kuamkia leo, mfanyakazi mwenzetu alijitwalia jiko, kama katibu wa kamati ya maandalizi, nilihakikisha natoa ushirikiano kwa wajumbe ili tukio lifane. Kweli bwana tukio lilipendeza, watu walikula na kunywa, watu waliburudika wakasahau shida zao kwa muda. Miongoni mwa walio hudhuria ni...
  17. Carlos The Jackal

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume Masikini anaamini ndio mwenye Mapenzi ya Dhati!

    Kuna Hii Mentality kwenye Jamii, kwamba Mwanaume Masikini ndio mwenye Mapenzi ya Dhati sanaaa, kwamba anapomtongoza mwanamke, Eti wewe Mwanamke unapaswa kumkubalia na kumpenda tu sababu ana Penzi la dhati . Mwanaume Masikini akiachwa utasikia "Sawa umeniachia tu kisa Sina Hela, nitapata tuuu n...
  18. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unaweza vumilia kuishi na mwanamke ndani bila kufanya nae mapenzi?

    I mean ile situation uko na mtu ambaye si ndugu yako, na hamjawahi fanya mapenzi [emoji15][emoji15] Tuseme labda kawatembelea nyumbani kwenu, may be akakukuta hapo nyumbani, akawa hataki hata m-do Au ile mwanamke kapotea alikokuwa anaenda ukaamua kumkaribisha kwako ili kesho asubuhi aondoke...
  19. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Makamu Mkuu wa Shule asimamishwa kazi kwa tuhuma kujihusisha mapenzi na mwanafunzi wa kidato cha 4

    Makamu Mkuu wa Shule ya Sekondari Singida, Manispaa ya Singida, Thomas Ngiracha, amesimamishwa kazi kwa muda usiojulikana kwa tuhuma za kujihusisha kimapenzi na mwanafunzi wa kidato cha nne (jina tunalihifadhi) wa shule hiyo. Mkuu wa Shule hiyo, Joseph Shani na Mkurugenzi wa Shule, Matliga...
  20. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Polisi wasema wivu wa mapenzi chanzo mauaji ya watu 7 wa familia moja Kigoma

    Jeshi la polisi mkoani Kigoma linamshikilia mtuhumiwa wa mauaji ya watu sita (baadaye alifariki Mtoto hivyo idadi ya vifo kufika7) bwana Peter Morris (33) wakati upepelezi ukiendelea. Taarifa za awali zinadai Peter Morris alikuwa akimtuhumu January Mussa (marehemu) kutembea na mke wake...
Back
Top Bottom