mapema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Xxxtentacion nyota iliyozimika mapema 🕊️

    Zikiwa zimepita siku 6 tangu tukumbuke kumbukumbu ya kuzaliwa ya rapper XXXTENTACION (Jahseh Dwayne Onfroy), aliyezaliwa tarehe 23 Januari 1998 nchini Marekani. Alijulikana kwa muziki wake uliogusa hisia za vijana wengi duniani, akichanganya Hip-Hop, Rock na R&B. Nyimbo zake zilizungumzia...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwa maslahi ya amani, serikali isikilize kilio cha haki kwa raia wake. watu wakichoka kukemea mitandaoni kitachofuata ni vikundi vya "TIT FOR TAT"

    Tunakoelekea sasa tunaweza kuja kushuhudia Tanzania ambayo hatujawahi kuvidhania kabisa.
  3. JamiiForums Tanzania Tungekuwa na oil reserve kubwa Samia angeshanyakuliwa mapema sana na US kwa Ukatili.

    GT Angalia hii list..haki tungekuwa na oil reserve kubwa Samia ageshanyakuliwa mapema sana na US kwa mauaji yale makubwa. Pote penye oil reserve kubwa US kapiga hacheki na kima
  4. JamiiForums Tanzania DOKEZO Huu ukatili ni zaidi ya Unyama, Polisi chunguzeni mapema

    Leo asubuhi nimekutana na video mbili zinazosambaa sana mitandaoni ambazo kwa kweli zinahuzunisha na kusikitisha. Video hizo zinaonyesha vijana wawili wakipigwa vibaya kwenye miguu yao kwa kutumia mpini, hali inayoonekana kuwa ni mateso ya kikatili yasiyo na utu. Kwa sasa, haijulikani tukio...
  5. JamiiForums Tanzania Swali la kizushi: Je, kuna uhusiano gani kati ya madaraka ya Urais na kuzeeka mapema?

    Wanajamvi heri ya mwaka mpya 2026. Baada ya kunywa Balimi zangu kadhaa, nimejiuliza, hivi URAISI una nini hasa kuwafanya watu (Maraisi) wawahi kuzeeka kwa kasi ya kutisha? Je, ni majukumu mazito ya kuelemea mtu kiasi gani kumfanya mtu (Raisi) azeeke kwa haraka? . Uraisi una siri gani mpaka mtu...
  6. JamiiForums Tanzania Lissu kuondolewa uenyekiti ilitabiriwa mapema sana.

    https://x.com/barakawamb/status/2007413291476238344?s=20
  7. JamiiForums Tanzania Oct 29 shughuli zote zilisimama mapema sana asubui, internet ilizimwa asubui, usafiri haukuwepo asubui tume ilipata wapi rais, wabunge na madiwani ?

    Oct 29 shughuli zote zilisimama mapema sana asubui, internet ilizimwa asubui, usafiri haukuwepo asubui tume ilipata wapi rais, wabunge na madiwani ? Moja ya hoja kuu kuwa hakukuwa na uchaguzo kabisa oct 29, ni kwamba internet ilizimwa, usafiri haukuwepo kabisa hakuna shughuli yoyote mpaka mida...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Renew leseni yako Mapema

    Ndugu Mjasiriamali, Hakikisha una Renew leseni yako ya biashara Mapema. Kama leseni yako huisha December.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Wahi TRA Mapema

    Ndugu Mjasiriamali, Unapomaliza Kusajili Kampuni hakikisha unawahi sana kwenda TRA. Unapochelewa TRA wanaanza kukuhesabia fines. Lakini ukiwahi unaweza Anza ku file zero Taxes.
  10. JamiiForums Tanzania Hali ilivyo Mbagala mapema leo, shughuli zarejea

    https://youtu.be/-ZUtT726xT0
  11. JamiiForums Tanzania CDF toa tamko bado mapema

    Hadi muda huu bwana Mkunda yupo kimya. Anasubiri ngoma itoe GG, (mambo yavurugike) ndo aje na matamko uchwara😉
  12. JamiiForums Tanzania Huyu CEO wa simba hana uwezo wowote, naomba ajiondoe mapema before too late

    Habari za jioni wanasimba, naomba niingie moja kwa moja kwenye hoja. Huyu bi dada zubeda shakuru tangu ameingia simba kuna lolote positive ameleta?? mbona timu inazidi kuzama?. nafikiri ajiondoe kabla hajatolewa kwa nguvu kwenye hiyo nafasi, amepelea hana uwezo, hajiwezi. simba inahitaji...
  13. JamiiForums Tanzania Wenye akili tulishamjua mapema. Hajali chochote kuhusu Tanganyika na Watanganyika. Lolote baya linalotupata kwake ni furaha kuu

    Ukiangalia anavyofisadi mali za Watanganyika utaelewa tu huyu hajali chochote kuhusu Watanganyika. Yupo kujitajilisha yeye, familia yake na genge lake kwa mgongo wa fedha na rasilimali za Tanganyika. Ukiangalia namna alivyoteua Wazanzibari kushika sehemu nyeti za Tanganyika ikiwemo Wizara...
  14. JamiiForums Tanzania onyo: Huwenda maandamano ya #D9 yasiwe ya kibubu kutokana na visasi, huku shughuli kufungwa mapema kuliko inavyozaniwa kabla ya #D9

    Niwe muwazi na niongelee uhalisia kuna watu wengi wali uwawa October 29 wengine wakiwa ndani kwahiyo hatuwezi kutegemea maandamano haya ya #D9 yawe ya kibubu bubu na mabango tu. Pia shughuli za nchi zinaweza kusimama kabla ya hiyo tarehe #D9 kufika.
  15. JamiiForums Tanzania PostGE2025 9D hatufiki, mambo yatakwisha mapema tu

    Hayo mambo ya Kuandamana Kwa mabango na wahuni wanakuja na machine za moto kuuwa Watanganyika, hilo halipo na wazalendo hawataliruhusu Hakuna haja ya kusubiria 9D Muda wa Maneno imekwisha Sasa ni vitendo
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kama Chuo Kikuu Huria (Open University) kilitengenezwa kwa ajili ya Wanasiasa pekee, mngetuambia mapema

    Kwa miaka yangu mitatu niliyokuwa hapa chuoni nimeona Walimu wetu wakionyesha dharau na kutosimamia majukumu yao sawasawa na kwa wakati. Miaka yote kumekuwa na tatizo la kuchelewa kwa matokeo, unaweza kuwekewa matokeo wiki mbili baada ya Graduation na ukakosa nafasi ya ku-graduate mwaka husika...
  17. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Onyesha sumu yako mapema watu wakujue wewe ni nani

    Ni msemo niliuona mahali kwamba onyesha sumu yako mapema nyoka asingekuwa na sumu watu tungemgeuza kamba! Kilicho tokea wakati wa kutangazwa mawaziri na manaibu wao alionyesha sumu yake mapema kabisa ili tujue yeye ni nani na kwamba si muoga wa maneno ya watu matamko na mijadala yao...
  18. JamiiForums Tanzania Tetesi: Inasemekana wachezaji hawa Yanga wameanza kushindikana mapema, uvivu

    I salute you kinsmen Wakuu za chini ya kapeti ni kuwa kuna baadhi ha wachezaji wa team yetu wamekuwa hawatoi ushirikiano kwa asilimia mia na kuwa wavivu wakubwa kazini kwao. Ndio maana hatushangai sana kuwa hawapangwi kabisa 1️⃣Balla mussa Conte 2️⃣Lassine kouma Hawa jamaa inasemekana...
  19. JamiiForums Tanzania Tumeona watu wakirudisha mitungi ya wizi nyumbani, wakuiba nguo za watu madukani, wakichoma vituo vya mafuta, tunaomba hukumu zitolewe mapema wafungwe

    Unajisikiaje unapotumia mitungi ya gesi ya wizi kupitia maandamano? Unajisikiaje kuchoma duka/Sheria za watu? Unajisikiaje unapochoma gari la mbao limekukosea Nini? Unajisikiaje kubomoa miundombinu ya mwendokasi ambayo unatumia mwenyewe? Unajisikiaje kuvunja ATM ili kuiba hela za sisi ambao...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa alichosema Mange Kimambi kama ni kweli, basi JWTZ walipaswa waseme mapema zaidi

    Ipo video amepost dada wa Taifa imenifanya kuleta uzi huu kwani nimewaza mengi bila majibu. Mange anasema yaani kuna vikosi vinamilki bunduki bila risasi! Kikosi kingine kinamilki risasi lakini hakina bunduki! Dada wa Taifa anasema kuna vikosi vina milki vifaru lakini hizina munitions Na walio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…