maoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu, Simba ataifunga Stellenbosch

    Kwa Maoni yangu,Sababu zitazoifanya Simba imfunge Stellenbosch jumapili huko Zanzibar ni hizi hapa. Kwa miaka mingi Simba imekua ikiishia robo fainali kimataifa sio Kwa sababu ya kua uwezo wao uliishia pale,hapana,Bali Simba walionekana kuridhika na hatua ya robo fainali na kutokua na...
  2. JamiiForums Tanzania Uliza chochote kuhusu mkoa wa Kagera, nitajibu kila swali

    Leo nitajibu swali lolote kuhusu mkoa wa Kagera, kama vile kuhusu: Uchumi Wakazi na Makazi Historia Makabila Fursa za Uchumi Hali ya hewa Mahusiano n.k Nitajibu kila swali leo Mkoa wa Kagera una wilaya 8 ambazo ni: Bukoba manispaa Karagwe Ngara Biharamlo Muleba Kyerwa Misenyi Bukoba vijijini
  3. G

    JamiiForums Tanzania Nina omba Msaada nina laki tisa nifanye Biashara gani? Mimi sio mwenyeji wa Tanga ila ningependa kufanya Biashara katika mkoa wa Tanga. Nipeni maoni

    Nina mtaji wa laki tisa nipo Tanga naomba mnisaidie Msaada wa mawazo nini nifanye ili kujipatia kipato na kukuza mtaji wangu.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Naomba maoni yako: Mtindo gani wa maisha hapa ni hatari zaidi kwa changamoto ya uzito?

    SWALI: Je! Ni mtindo upi wa maisha (lifestyle) kati ya iliyoorodheshwa hapa chini ambao ni HATARI ZAIDI kwa changamoto ya Uzito Usio wa Kawaida (Under Weight, Over Weight or Obesity); lakini ukishughulikiwa ipasavyo na kwa usahihi unaweza kuleta suluhu kwa mitindo mingine ya maisha iliyosalia...
  5. JamiiForums Tanzania Maoni yangu kuhusu waraka wa G55 ya CHADEMA

    Nimeshangazwa kuwa andiko lenyewe kumbe lilikusudiwa liwe ni kwa ajili ya Katibu Mkuu wa CHADEMA, lakini limekuwa ni nyaraka kwa umma (Public document) Kwa mujibu wa andiko lenyewe, ni kwamba kundi la watu 55 liliandika barua hiyo kwenda kwa Katibu baada ya kuingia hofu kwamba maoni yao...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mimi ninaunga hoja ya G55 kuhusu no Reform no Election

    Ni kweli No Reform No Election inatakiwa kutekelezwa na Mamlaka LAKINI siyo kwa mwaka huu wa Uchaguzi. CHADEMA ijipange baada ya uchaguzi wa mwaka huu kwa No Reform No Election mpaka mabadiliko yapatikane kuaanzia Katiba hadi Tume Huru ya Uchaguzi. Uchaguzi wa mwaka huu kama inavyoonekana...
  7. JamiiForums Tanzania Maoni yenu SUV chini ya mil 35 budget

    Wadau habari zenu japo sijaja muda mrefu humu leo naomba mshuke hapo Maoni ya SuV isiyozi mil 35 ya kuishi nayo Mtanzania wa kipato Cha kati. Nipo Japan kwasasa ila Narudi Nyumbani si muda mrefu nataka nizunguke mtaani nivute Chuma yakutua nayo Om hapo na bado sina maamuzi nitulie na Ipi. Karibuni
  8. E

    JamiiForums Tanzania Naomba maoni kuhusu utendaji wa simu ya M Horse S24

    Habari wadau wote wa jamii forum, naomba kufahamu kuhusu utendaji kazi wa simu ya M Horse S24 katika mtandao na katika kufanya kazi ukifungua app zaidi ya tatu kwa wakati mmoja na maoni mengine.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Summary ya Matukio na Maoni Yangu Kuhusu Derby ya Kariakoo

    Hii ni summary ya matukio yaliyojitokeza kuhusu Derby ya Kariakoo na Maoni yangu. Nagusia mambo muhimu tu, sitaorodhesha maoni sijui ya wachambuzi maana wengi wapo na bias: Inatangazwa tarehe ya Derby ya Kariakoo kama itachezwa tarehe 8 March Maandalizi yamepamba moto huku kila pande...
  10. JamiiForums Tanzania KUNA MAONI GANI KUHUSU WANAFUNZI WA VETA KUPEWA MKOPO

    Mimi kwa mtazamo wangu wanafunzi wa VETA wapewe fedha za kujikimu na Ada pia . Wewe je?
  11. JamiiForums Tanzania Ni kweli watu wa Dar wanaongoza kwa roho mbaya na fitina kuliko mikoa mingine Tanzania?

    Jana niliongea na rafiki yangu akasema Zanzibar kupo poa sana, vitu bei rahisi na watu huko wana roho safi kuliko wa hapa Dar es salaam. Sasa tuambizane, je ni kweli Dar kuna fitina sana kuliko kwingine Tanzania? Toa maoni yako humu Pia soma Kufanyia mtu roho mbaya huumiza hata wasiokuwa na...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mrisho Mashaka Gambo atachaguliwa na wanachama wa CCM kwenye kura za maoni na sio madiwani wapiga dili

    Mimi nafuatilia sana Siasa za Jimbo la Arusha Mjini, Jana nimemsikiliza sana diwani mmoja akimuomba radhi Mkuu wa Mkoa wa Arusha akijifanya analilia kama mtoto wa kike aliyenyimwa Kodi ya pango na bwana wake akidai kuwa Gambo amekuwa mtu wa mizozo na migogoro na madiwani wenzake. Eti amemuomba...
  13. JamiiForums Tanzania Okay...! Vijana wenzangu chini ya miaka 40 kuna kamjadala hapa. Tukutane utupe maoni yako!!

    Ungependa kuishi mpaka miaka 40 tu lakini uwe na MAISHA YA KIFAHARI, au mpaka miaka 80 lakini uishi MAISHA YA KAWAIDA?" ~ Tudondoke hapo chini.
  14. JamiiForums Tanzania Marekani na Urusi watakutana Saudi Arabia. Ukraine na Ulaya hazijaalikwa na hazitaulizwa maoni yao

    Wanakaumbi. 🇺🇲🇷🇺 Marekani na Urusi zitaanza mazungumzo nchini Saudi Arabia ili kumaliza vita nchini Ukraine. Ukraine na Ulaya hazijaalikwa na hazitaulizwa maoni yao kwa sababu hakuna kinachowategemea. Wamefanya kazi yao kama "wajinga wa maana", na sasa wanaweza tu kutazama na kukaa kimya...
  15. JamiiForums Tanzania Maoni ya mahakama kabla ya hukumu

    Naomba kuuliza wataalamu wa Sheria,maoni yanayo tolewa mahakamani kuelekea kutolewa hukumu yenyewe ndio yanatoa hukumu itakavyo kuwa?Asante
  16. JamiiForums Tanzania Huu Mkutano wa SADC Samia alitoa maoni gani tufahamishwe watanzania

    Natamani sana kusikia ambacho alizungumza samia katika huu mkutano wa Sadc. Tusikie nasi rais wetu alitoa mchango gani au alishauri nini. Haya mambo ndo unatamani angekuwepo Nyerere au Mkapa. Hawa wangeweza kuzungumza kwa kujiamini sana bila kumung'unya mung'unya maneno na kwa strong faces...
  17. JamiiForums Tanzania Uzi wa kutoa Maoni Juu ya Taasisi Zilizoshindwa kusimamia Misingi ya kuundwa kwake hivo unatamani zifutwe.

    Habari wana bodi. Kutokana na Anachoendelea kukifanya Trump huko USA, Nimepata tafakuri ya hapa kwetu Tz. Tuko na baadhi ya taasisi zilizo shindwa kabisa wazi wazi kutekeleza matakwa ya kuanzishwa kwake hivyo ni sawa na hakuna. Uzi huu ni wa kupendekeza hizo taasisi, Na kupendekeza zifutwe au...
  18. JamiiForums Tanzania TRA: Tumepokea maoni kuhusu changamoto za Mfumo wa TANCIS, yanafanyiwa kazi

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kutoa maoni kuwa Tovuti mpya ya mfumo wa TANCIS unasumbua tangu ulipozinduliwa Januari 20, 2025, maoni hayo yamepokelewa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). TRA ilizinduwa mfumo huo na kueleza una maboresho na utakaosaidia kurahisisha uondoshaji wa Hivi...
  19. JamiiForums Tanzania Maono ya my uncle mzee John Alcohol Pardlocks

    Leo nawaletea kisa hiki cha mjomba angu aliyewahi kuwa kiongozi wa ukoo katika koo moja ya Wanganyitaka waliopatikana NGANYITAKA. Haikuwa rahisi yeye kuwa kiongozi katika katika koo hiyo ila mkanganyiko ulijtokeza baina ya wazee wa ukoo ndipo kama bahati tu akapata nafasi hiyo! Ikapelekea wana...
  20. JamiiForums Tanzania Ni yapi maoni yakokuhusu game ijayo ya Simba na Yanga?

    Simba ataendelea kuwa mteja? Kocha mpya wa Yanga naye ataiona Simba?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…