maoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania maoni yangu: chadema angalieni mbali!

    wekezeni kwenye kuijenga chadema imara, msiangalie sana leo bali angalieni miaka 5-10 ijayo, kwa maoni yangu mpaka 2030 tanzagiza itakuwa imevurugwa na kuharibiwa na ccm kiasi kwamba yoyote atakaye kuja atapigiwa kura, hivyo fanyeni kila muwezalo msiharibu chadema kwani 2030 kama mkiwa imara na...
  2. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Maoni Yangu Kuhusu Posti ya Waziri wa Mambo ya Ndani: Warumi 13:1–5 na Maudhui Yake Katika Siasa za Tanzania

    Great Thinkers wa JF, Leo nimeona posti ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi akitumia maandiko ya Warumi 13:1–5 wakati Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alikuwa akikagua gwaride la polisi kufunga vikao vya Bunge. Kwa maoni yangu, hii si tu nukuu ya kidini bali ni ujumbe wa kisiasa uliotumwa kwa...
  3. itakiamo

    JamiiForums Tanzania EP yangu , ENDLESS LOVE , sikiliza Kisha naomba utoe maoni

    Hii ni EP yangu Mimi Itakiamo AKA Dj Tamil nimeifanya kwa Artificial intelligence. Walioimba kwenye hizi nyimbo nitawapa majina ya kufikirika. List ya nyimbo 1. Kila Saa Dj Tamil ft Reygirl 2.Nipende mie Dj Tamil ft CeeMusik 3. Stay with me Dj Tamil ft Robert 4. Wewe ni wangu Dj Tamil ft Suzie...
  4. MUWHWELA

    JamiiForums Tanzania Jibu ni mani, jawabu ni uhalisia. Uchaguzi ni wako

    Niwaslimu ndugu zangu na tuendelee kuuipa akili kazi. Kuna TOFAUTI kati ya jibu na jawabu ,jibu ni maoni ya MTU kwa KADRI ya taarifa alizonazo na JAWABU ni uhalisia wa mambo bila kujali hali au mapokeo ya MTU husika (it's a fact based) Sasa!!! Watu wengi tunatamani majawabu Moyoni lakini...
  5. Tanzanian kid

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu kuhusu eRITA

    Technical UX Feedback kwa Mfumo wa eRITA leo nilikua napitia huu mfumo wa kuhakiki vyeti vya kuzaliwa na vifo lakini kuna baadhi ya vitu nimekutana navyo upande wa UI/UX (user interface na user experience) kwangu mimi kama front end developer nimeona baadhi ya maeneo kama date (both birth and...
  6. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchakato wa kura za maoni za CCM ndiyo uchaguzi wenyewe

    SIjui mchakato huu inafanyika lini ila sisi kama WATANGANYIKA inatubidi tuufatilie kwa makini sana Hakutakuwa na uchaguzi baada ya mchakato huu Bali kutafanyika viini macho vitakavyosimamiwa na tume kwa maelekezo maalumu ya serikali wateule wote wa CCM watateuliwa kuwa wabunge rasmi...
  7. Mateso chakubanga

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu ufanano wa dini ya Kiislamu na Kiyahudi

    Nimekua nikifuatilia dini hizi mbili kubwa katika mambo kadhaa kama yafuatayo Wote huamini maandiko ya mwanzo yasiobadilika .Wote huamuni Mungu ni mmoja wala hana mtoto. Wote hulotaja jina la Mungu kwa ufanano Wayahudi Wanaia Yahwel,Waislamu huita Yallah au Allah .wote hawamuamini Yesu kama...
  8. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Upinzani kabla ya kuanza utekelezaji wa slogan zenu pimeni kwanza Kama zinatekelezeka ili kuokoa matumizi mabaya ya Ruzuku.

    Hivi karibuni kumekuwa na tabia ya viongozi wa Upinzani za kuanzisha program/slogan na kutumia hela nyingi (ruzuku) ili Hali wao wenyewe wakijua akilini mwao hazitekelezeki hii ni ishara ya kuwa na viongozi duni kifkra, imagine bajeti ya uchaguzi imeshatengwa Leo hii Kiongozi wa chama bado...
  9. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Maoni ya wana JF juu ya nembo ya TUNATIKI yafanyiwa kazi na CCM

    Pamoja na tofauti za kimtazamo juu ya siasa za Tanganyika haina maana ya kwamba unapoona upande pinzani kuna jambo unaweza kushauri .. Tafadhali fanya Ushauri huwa ushauri si shuruti.. Mshauriwa ana wajibu wa kuuchukua ama kuuacha This time around nimefurahi kuona ccm wakichukua ushauri wetu...
  10. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu kuhusu Suluhisho la Msongamano wa Magari Jijini Dar es Salaam

    Nimeona jitihada zinazofanywa na wadau katika siku za hivi karibuni kutafuta suluhisho la tatizo sugu la msongamano wa magari jijini Dar es Salaam, ikiwemo hatua ya kufunga kamera za ufuatiliaji barabarani. Hata hivyo, kwa mtazamo wangu, matumizi ya kamera hayawezi kuondoa tatizo la foleni kwa...
  11. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Maoni Yangu Juu ya Polisi Tanzania

    Zamani Polisi waliajiriwa wenye elimu ndogo kwa sababu ya uhaba wa wasomi. Nashauri Serikali itenge bajeti ya kuwaendeleza maaskari waliopo kazini angalau wawe na Diploma mbalimbali zinazohusiana na majukumu yao ili iwe rahisi kufanya kazi kwa logic na siyo kwa inferiority complex na nguvu...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Nimepokea maoni yenu, Lakini naomba nikatae. Mtakuwa mnahatarisha sana Maisha yangu

    Najua baadhi yenu bado mpo ambao mnapenda muongozwe na mtu mwenye akili na uwezo mkubwa. Binafsi huwa najitahidi sana kuficha kuwa nina akili na uwezo wa kifedha. Sipendi kabisa watu wajue. But kuna wachache huwa wananishtukia. Naishi tu maisha ya kawaida sana na najitahidi kujichanganya nikiwa...
  13. Setfree

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutoa maoni kwa Viongozi wakuu wa nchi bila kuwavunjia heshima

    Katika jamii ya leo ambapo uhuru wa kuongea umekuzwa sana, watu wengi badala ya kutoa maoni, wanajikuta wakitoa matusi kwa wakuu wa nchi au viongozi wa kisiasa. Matokeo yake maoni yao hayapewi kipaumbele kwa sababu ya ukosefu wa lugha ya staha. Hebu leo tujifunze jinsi tunavyoweza kusema ukweli...
  14. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Wote tusome hapa halafu tutoe maoni kuhusu Madai na msimamo wa CHADEMA na wananchi wote

    NO REFORM NO ELECTION MADAI NA MSIMAMO WA CHADEMA NA WANANCHI WOTE 1. TUME HURU ISIYO CHINI YA RAIS/IKULU: Tume ya sasa sio huru ipo chini ya Mwenyekiti wa CCM ambaye pia ni Mgombea Urais. Hii haikubaliki popote 2. MAKAMISHNA WA TUME WAPATIKANE KWA UWAZI: Kwasasa wanateuliwa na...
  15. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania Likizo time, kwa wazazi tu. Ushauri na maoni

    Hii ni kwa wazazi Tu na walezi, kataa ndoa piteni pembeni. Hapa naomba tupeane ushauri jinsi ya kulea watoto wetu. Kama Una maoni au ushauri ambao unaona inafaa kwa wazazi wenzako pls share hapa Mimi, cha Kwanza nianze kwa Hili Kuna hii changamoto inawakumba watoto wengi. Inatokea watoto...
  16. second chance

    JamiiForums Tanzania Nipe maoni yako mdau, natokaje hapo na hawa NIDA

    Habari za wakati huku wanajamvi wa jamii forum. Natumai mu wazima wa AFYA teletele. Napenda kutumia fursa hii kuwasilisha dukuduku langu kuhusu masuala ya USAJILI wa huduma mbalimbali katika kizazi hiki. Tunaishukuru serikali imeleta USAJILI kupitia NIDA na kupitia NIDA, watu wafanye USAJILI wa...
  17. errymars

    JamiiForums Tanzania Nilifungua Website ya Kimataifa Mwezi wa Kwanza nikapokea Maoni mengi sana

    Sasa imefikia hatua hii, Naombeni maoni yenu 🙏 https://fntaz.com/
  18. magnifico

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Nyatike, Kenya: “Freedom of Speech” iko Kenya pekee, ukivuka mipaka mambo yako tofauti

    "Mimi kama Mbunge wa Nyatike, tunapakana na Tanzania na Uganda. Nyatike ipo kwa kona ya Kenya kabisa, mahali ukivuka unaingia Tanzania na ukienda kidogo unaingia Uganda. Kitu ambacho hawa watu wetu walikuwa hawajaelewa vizuri, hii mambo ya freedom of speech kwa East Afrika nzima, ipo Kenya peke...
  19. KIXI

    JamiiForums Tanzania Tazama hii video: Mtoto anampiga mama kisa analazimishwa kusoma — Maoni yenu ni yapi?"

    Huyu mtoto angekunjwa hapo na mama yake watetezi wangeingilia kati kuwa mama anatesa mtoto Enzi zetu unapigwa na mwiko unakuvunjikia unataka kukimbia unakoswa koswa na sahani ya udongo na akikushika anapiga hata mbanio wa sufuria ya ugali unashika adabu chapu
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maoni ya wananchi, Post ya TBC instagram na Facebook ikihoji 'Una sifa ya kupiga kura?' waapa bila mabadiliko hawapigi kura

    Wakuu Wazee wa mioto kutoka Instagram na Facebook wameruka na post ya TBC iliyouliza Je, una sifa za kupiga kura? Na hizi ndiyo comments zao Na hawa ni wadau wa Facebook wanataka uchaguzi huru na haki
Back
Top Bottom