maoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. milele amina

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan: Maoni na Mpendekezo kuhusu Mfumo wa Tanzania Mining Cadastre Portal

    Utangulizi Ninajisikia huzuni kila wakati ninapofikiria jinsi mabadiliko yanayofanywa katika mfumo, muundo, na ufanyaji kazi wa Tanzania Mining Cadastre Portal yanavyowakilisha changamoto kubwa kwa wachimbaji wadogo. Inasikitisha kuona kwamba mabadiliko haya yanafanyika bila kuwashirikisha...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Makada wa CCM wajitupa chini watoa shutuma kwa wanaokata majina katika kura za maoni Arusha

    Baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Mtaa wa Longdon kata ya Sokoni One Jijini Arusha, wamedai kuwa hawatashiriki uchaguzi wa kumchagua mwenyekiti wa eneo hilo kutokana na aliyeongoza kupata kura za maoni 189 jina lake limekatwa na aliyepata kura 36 jina kurejeshwa kama...
  3. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Kura za maoni CCM,mgombea aambulia kura moja,ana mke na watoto waliopiga kura kijijini kwake

    Huko Babati kuna mgombea wa nafasi ya mwenyekiti wa kijiji,ameambulia kura moja kijijini kwake. Cha ajabu ana mke na watoto kadhaa hapo kijijini Kaibiwa kura? Familia imemtosa? Mimi na wewe hatujui Soma Pia: Dar: Vurugu wakati wa kupiga kura maoni kata ya Yombo Vituka
  4. M

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Leo kwenye uchaguzi wa kura za maoni, usanii Mtupu

    Wana Jf, wazima? Leo katika pita pita zangu, nilikuwa Kigamboni. Unaambiwa usanii sio tu kwenye uandikishwaji kwenye daftari. Nimeongea na watu kadhaa pale Kigamboni, Kata ya Vijibweni wanasema Diwani wa Kata hiyo, Zakalia Mkundi siku ya jana alikuwa anafanya kazi ya ugawaji wa Kadi na...
  5. Mzee wa Code

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Dodoma: CCM wapiga kura za maoni kuchagua Wagombea, CHADEMA watoa fomu kimyakimya, ACT na wengine mmh

    Baada ya zoezi la uandikishaji kukamilika na waziri wa Tamisemi kutangaza kuwa walijitokeza kujianidkisha katika taftari la kupiga kura la wakazi, na Dodoma ikitajiwa kuwa na idadi kubwa ya waliojiandikisha ambapo kwa mujibu wa waziri wa Tamisemi Mohamed Mchengelwa amesema kuwa Dodoma...
  6. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Nimestaafu Rasmi Kujihusisha , Kushabikia, Kutoa Maoni, Kuhusu Siasa kwa Maudhui ya Tanzania

    Ndugu wana jukwaa naomba kipekee niwaombe radhi wote na nitoe taarifa yangu ya kustaafi kujihusisha na ujumbe au maudhui ya aina yoyote yanayohusu Siasa za Tanzania. Na sababu ya msingi ni kwamba bado jamii ya watanzania, Serikali na viongozi wake, vyama vyote vya siasa watu jawajakomaa...
  7. third eye chakra

    JamiiForums Tanzania Tahadhari! Tafakari yaleo inaweza kugusa hisia zako hivyo kua mstaarabu wakati unatoa maoni yako au pita kimya kimya.

    WAISLAM WANASEMA UKRISTO NI DINI YA UONGO. WAKRISTO NA WAO WANASEMA UISLAM NI DINI YA UONGO. WAKRISTO NA WAISLAM WOTE WANASEMA DINI YA KIYAHUDI NI YA UONGO. NA WAYAHUDI WANASEMA DINI ZOTE 2 HAPO JUU NI UONGO. NA MIMI NIMEAMUA KUKUBALIANA NAO WOTE KUA NI WAONGO👈
  8. T

    JamiiForums Tanzania Maoni: Kwenye suala la utaalamu Uzalendo weka pembeni

    Timu ya Taifa Leo imepokea kipigo. Hii timu tatizo kubwa ni benchi la ufundi. Hao wenye dhamana ya kuajiri benchi la ufundi inawezekana nao hawana huo utaalamu wa kuajiri. Huwa wanaweweseka Sana wakati wa kuajiri makocha kwani huwa wanasikiliza Sana kelele kutoka Kwa watu ambao wengi Wao...
  9. ichumu lya

    JamiiForums Tanzania Sitashiriki chaguzi za serkali za mitaa wala serikali kuu mpaka KATIBA mpya yenye maoni yetu itakapothaminiwa.

    Tunataka Katiba Mpya,hatutaki uchafuzi tena kinachofanyika ni kiini macho. Waziri Mchengerwa hastahili kusimamia uchaguzi kutokana na kuwa mwanafamilia wa Rais ambaye ni mwenyekiti wa chama kinachowania serkali za mitaa na serkali kuu.
  10. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania Maoni Juu ya Juhudi za Serikali katika Matukio ya kupotea kwa Watoto

    Tukio la kupotea kwa mtoto Joel Johannes Mariki linaibua maswali kuhusu uwezo wa serikali kushughulikia matukio ya dharura kama haya. Pamoja na jitihada zilizofanyika, ni wazi kuwa kulikuwa na changamoto katika utafutaji, hasa kutokana na ukosefu wa matumizi ya teknolojia za kisasa na rasilimali...
  11. funaku

    JamiiForums Tanzania Nini maoni yako juu ya uwepo wa mavazi au viatu visivyo na jinsia Tanzania?

    Inawezekana nimezeeka sana au nimepitwa na wakati. Je ni yapi maoni yako juu ya uwepo wa mavazi au viatu visivyo na jinsia yaani akivaa mwanaume ni sawa na akivaa mwanamke ni sawa.
  12. Break Time

    JamiiForums Tanzania Ushauri na maoni yenu juu ya huu mchoro.

    Habari wana bodi! Tazama huu mchoro kisha uniambie umeona mapungufu gani na nini kipunguzwe au nini kiongezwe ili kuleta kitu kizuri zaidi. Eneo: 40m x 20m = 800sqm Ninatanguliza shukrani.
  13. mathsjery

    JamiiForums Tanzania Inatumia node is na mongo db, au Laravel na mysql, au vyote kwenye app zako za flutter au react native, toa maoni Yako.

    Ipi ni tekinolojia nzuri kwako kulingana na factor hizi 1. perfomance 2. Hosting cost 3. Maintenance Moderator edit tile inatumia node Jana mongo db...
  14. The25824

    JamiiForums Tanzania Ijue tiba ya ugonjwa wa kusikiliza kila maoni ya mtu

    Kwenye maisha kila mtu ana haki ua kutoa maoni yake kwa vile anavofikiria. Bahati mbaya wengi tumeshindwa kufikia ndoto zetu au kuamua mambo yetu kwa kuishia kusoma comments za watu humu ambao bila kutafakari tumeishia kufanya maamuzi ya juu kwa juu. Ni wangapi wameacha kuanza biashara kwa...
  15. feyzal

    JamiiForums Tanzania Hii Nchi Wajinga wengi. Haya ndiyo maoni ya Dira ya Maendeleo 2050

    Kwakweli serikali ndo maana inabweteka haipati presha maana wananchi wengi ni vihiyo. Hebu angalia maoni haya ya wananchi.😁😁😁😁
  16. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Hivi Samia hasomi japo maoni ya watu?

    Nje ya kurasa za CCM na IKULU hakika unapoanzishwa mjadala umhusuyo Samia watu wanaponda tena waziwazi na hawaogopi siku hizi! Mfano ipo mada ya Samia kuitaka CRDB iharakishe ujenzi wa uwanja kule Kizimkazi wachangiaji wametema nyongo hatari! Hasomi maoni ya watu?!
  17. B

    JamiiForums Tanzania Serikali boresheni mfumo wa kidigitali kupokea maoni ya watu kuhusu masuala mbalimbali yanayoihusu nchi yao

    Ni jambo lisilopingika kwamba watu wote wenye maono kuhusu wapi tuipeleke Tanzania hawawezi kupewa dhamana ya uongozi au ufanya maamuzi.Hii ni kwa sababu nafasi za uteuzi au uwakilishi ni chache na wananchi tupo wengi. Binafsi nimeitafuta muda mrefu fursa ya kuwa mwakilishi wa wananchi au...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Hivi radiology na nursing bora ipi?

    Habari zenu natumai mko salama Hivi radiology na nursing bora ipi ukizingatia uwezekano wa ajira? Naombeni maoni wakubwa🙏🙏
  19. Yoda

    JamiiForums Tanzania Watoto hawaimbi nyimbo za Sunday school na Kaswida tena, mdau alalama akitoa maoni dira ya taifa 2050

    Mchakato wa kukusanyika maoni ya dira ya taifa ya maendeleo 2050 ukiendelea umekutana na maoni ya mmoja wa raia akilalamika maadili ya Mtanzania yakizidi kupotea hasa kwa watoto, raia huyu amelalama watoto kuacha kuimba nyimbo za Sunday school na kaswida badala yake wanaimba "vibuno", "honey"...
  20. MUCOS

    JamiiForums Tanzania Maoni binafsi: Namna/Jinsi wanawake wanavyosababisha wanaume wengi kuchepuka katika ndoa

    Wasalaam, Wana JF wote. Leo nina mada kidogo kuhusu suala la uchepukaji kwa wanaume hususani walioko katika ndoa kunakosababishwa na wanawake wenyewe. Nikiwa miongoni mwa wanaume walioko katika ndoa nimeonelea ni vema nikatoa maoni yangu kuhusu suala la wanaume wengi kuchepuka kwenye ndoa...
Back
Top Bottom