Msimamizi wa uchaguzi nafasi ya ubunge viti maalumu Mkoa wa Mbeya, Balozi na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Simon Sirro amewatangaza washindi Suma Fyandomo kuongoza kwa kura 1,152, Maryprisca Mahundi nafasi ya pili kwa kura 1,150 na matokeo mengine kwa ujumla.
Uchaguzi huo ulianza tangu jana Julai...
Ukiingia mtandaoni utaona pages nyingi za nchi jirani zilizoko SADC na EAC haziongelei kwa uzuri hili tangazo la Jafo. Kwa majirani zetu ni ngumu kujua kama walengwa wakuu ni wachina. Watu wengi wameona kama limekaa kibaguzi.
Mimi ninashauri badala ya kuleta matangazo haya yaliyokaa kisiasa ni...
Kwanini huyu kijana machachari amekatwa jina wakati alishinda kura za maoni 2020 kuashiria kukubalika kwake na wananchi na wana CCM.
Kijana huyu ambaye ni mpwa wa Magufuli, Magufuli alimuacha ili apate uzoefu kwenye siasa, sasa uzoefu keshaupata Samia anamkata
Aliyekuwa kada wa CHADEMA na mgombea wa kiti cha ubunge jimbo la Biharamulo katika uchaguzi mkuu uliofanyika Octoba, 2020 na baadae kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM) mnamo tarehe Machi 25, mwaka huu wa 2025 ameteuliwa na kamati kuu kushiriki kinyang'anyiro cha kura ya maoni katika kiti cha...
Nadhani wote tunawakumbuka wale wabunge 19 walioingizwa bungeni kinyemela kwa tiketi ya CHADEMA huku chama kikiwa hakitambui uwakili wao.
Yaliongelewa mengi sana, kesi ikaenda mahakamani, danadana mpaka sasa, wakakingiwa kifua na Spika na mifumo mingine ya maamuzi, kumbe ilikuwa ajenga tu...
CCM HQ;
* Kuanzia kesho CCM itaanza kugawanyika makundi 2
* Tarehe 04 August baada ya kura ya maoni CCM itagawanyika tena kutoka miongoni mwa watakaoteuliwa leo;
* Mpasuko wa mwisho utakuwa baada ya taifa kurudisha jina mpeperusha bendera kwa Uchaguzi mkuu.
Mipasuko hii ni mikubwa na ina...
Kila mwenye maoni ushauri changamoto mapendekezo duku duku suali kuhusu kinachoendelea katika siasa za Tanzania na kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu aje hapa
Ni muhimu kufahamu kwamba Rais Samia Suluhu Hassan hakuingia madarakani kwa kuchaguliwa kupitia uchaguzi mkuu, bali alirithi madaraka baada ya kifo cha Rais John Pombe Magufuli mwaka 2021, ili kumalizia kipindi cha awamu ya tano ya uongozi.
Hadi sasa, bado tupo katika awamu ya tano. Awamu ya...
Wakuu mpo vizuri?
Kuna kauli nyingi zimewahi kutolewa kitambo na wanasiasa katika nyakati mbalimbali ambazo baadhi zimekuwa zikijirudia lakini pia nyingine zimetekelezwa kama walivyoziongea hata kama baadhi au wengi wetu yuliona ni za kipuuzi.
Tutumie uzi huu kutupia kauli hizo, tukiwa na...
Mfanyabiashara Rostam Aziz kwaniaba ya Sekta binafsi nchini Tanzania Alhamisi Julai 17, 2025, amebainisha kuwa Dira ya Taifa ya Maendeleo ya mwaka 2050 ni Dira ya wananchi, akimshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wa Tanzania kwa kusimamia na kuufanya mchakato wa uandaaji wa Dira 2050 kuwa wa...
Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Mipango Dkt. Fred Msemwa ameeleza ufanisi uliotumika wa ukusanyaji wa maoni ya wananchi kuhusu Dira ya Taifa 2050, akieleza kuwa walitumia njia shirikishi kufikia wananchi moja kwa moja. Amesema zaidi ya Watanzania milioni 1 walitoa maoni yao ana kwa ana...
Wakufunzi ndio wanaokesha na mbinu za ufundishaji na ujifunzaji mavyuoni ndiyo wanaojua mbinu gani zitumike ili kuboresha Elimu yetu, ni vema wakatufata pia mashuleni wanatukagua wao kama walimu wa ualimu.
Hivyo basi ni vema hii Kaz ya uthibiti UBORA wa shule iwe chini ya wakufunzi isimamiwe na...
Leo anawatetea waropokaji, ving'ang'anizi na wasusaji wa michakato ya kidemokrasia wa chadema kuhusu reforms ambazo tayari zimeshafanyika.
Vipi kesho ACT, LND, UDP au CHAUMMA nao wakaja na madai ya reforms kadiri ya mapenzi ya vyama vyao au mashinikizo ya mabwenyenye ya magharibi yanayofadhili...
Wapinzani wake walitegemea kumngoa kwenye kutafuta mgombra Rais ndani ya chama . Sasa ameziba kila mwanya wa kumngoa.
Polepole et al wanaona watoke..LILE KUNDI LA BASHRU ALLY LILILOTAKA ASIWE RAIS, HALIJAFURAHI NA FOMU MOJA. ANGLE YAO ILIKUWA KWENYE KURA ZA KUMTAFUTA RAIS! SASA KAWAZIBA!
Mods...
KAKONKO — Upepo wa kisiasa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Kakonko umebadilika kwa kasi, huku jina la Aloyce Kamamba likiibuka kama nembo ya matumaini mapya na mshikamano wa kweli. Kamamba ameonyesha uwezo mkubwa wa kuwaleta wajumbe pamoja, kwa moyo wa kizalendo na dhamira ya dhati...
Kwa heshima na taadhima, naomba kuchukua nafasi hii kuwashauri ndugu zangu watumiaji wenzangu wa mtandao huu mkubwa na huru wa JamiiForums. Tukiwa sehemu ya jukwaa hili lenye mchango mkubwa katika kukuza mijadala ya kijamii, kisiasa, kiuchumi na hata kidemokrasia, hatuna budi kuwa na nidhamu ya...
Pesa ya mwarabu ni ngumu kutoka hasa amapokuwa na wagombea dhaifu anaowaandaa mwenyewe. Kipindi kilichopita tulinemeka wajumbe kwa sababu Dr. Mmasa wa Udom kuwa tishio kwake hasa kwa usomi wake na umaarufu wa baba yake. Japo hatoi pesa inayoweza kushindana na pesa ya Shabiby. Kijana huyu msomi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.