manzese

  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Leo Taikon yupo kwenye sherehe za makambi, Mtaa wa Manzese, Karibuni.

    Sabato Njema! Leo ninayofuraha kubwa kusherehekea Sikukuu za Makambi Kwa mwaka huu 2022 katika mtaa wa Manzese. Maandalizi yaliyofanyika ni makubwa Mno. Mwitikio wa watu hi mkubwa Sana, Nina wasiwasi eneo linaweza kuwa dogo Kama ongezeko la watu litaendelea hivi! Kwaya kubwa zinazoimba vizuri...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Manzese kwanini haiendelei?

    Wakuu, Manzese ni moja kati ya kata za kitambo sana, 1975 tayari ilikuwa ni kata kamili yenye miundombinu inayoekeweka, ndio eneo la kwanza Tanzania kuwa na Daraja la wavuka Kwa miguu ambalo liligeuka kuwa kivutio enzi zile, Kwa miaka mingi manzese imekuwa kitovu cha biashara, burudani Na soko...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nabi wa Afrika ni bora na mahiri 'Kiufundi' kuliko Pablo wa Ulaya na Real Madrid ya Manzese

    Nisiwe Mnafiki namkubali zaidi Kocha wa Yanga SC Nabi kuliko Kocha wangu wa Simba SC Pablo. Tuvumiliane tu kwa huu Ukweli wangu.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa lodge ambayo naweza kulala maeneo ya Manzese

    Naomba husika na mada apo juu naomba mwenye uzoefu anipe jina la lodge nzuri maeneo ayo isizidi 25 jamani sina hela bajeti yangu ndogo natokea pemba naitaji kukaa apo kwa siku 4 ila ninaemfata yupo na chumba kimoja tu. Naimani mutanisaidia
  5. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Kati ya Tandale na Manzese ni wapi unapoweza kuchagua kuishi?

    Mmeshindaje ndugu zangu. Ikitokea ukaambiwa uchague sehemu moja ya kuishi kati ya Tandale na Manzese ni wapi utapokuwa tayari kwenda kuishi? Na kwanini? Pia ningependa mtu au watu waeleze utofauti wa sehem hizo mbili ki miundo mbinu, kimazingira, kibiashara na pia sehem inayoongoza kwa kuwa na...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mizeituni Bar ya Manzese yateketea kwa moto

    Hivi ndivyo ilivyokuwa ambapo haijulikani chanzo cha mlipuko huo
  7. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Kigoma yaipiku Dar na madaraja yake ya waenda kwa miguu ya Manzese na Buguruni, yajenga kivuko chini ya Barabara

    Kwenye ubunifu wa kujenga barabara ya kuvuka waenda kwa miguu kutoka upande mmoja kwenda mwingine Kigoma imeipiku Dar es salaam mbali mno Mainjinia wa barabara Dar es salaam nendeni Kigoma mkajifunze huko ona Kivuko cha waenda kwa miguu kigoma kilivyokaa vizuri mtu unahamasika kuvuka lile la...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: Tundu Lissu aingia soko la mitumba Manzese kutafuta Cadet na Jeans za mitumba

    Lissu ameamua kuutumia vizuri muda wa likizo ya lazima ya Tume kutafuta mahitaji yake ya muhimu.
  9. ommytk

    JamiiForums Tanzania Tunaopiga picha darajani Manzese

    Wadau kuna jambo mimi linanishangaza pale tunapoenda kupiga picha pale darajani Manzese tunaonekana washamba na watu kutucheka mbona mkienda nje mnapiga picha kama hizi
  10. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, nini kifanyike kuboresha mipango miji ya Manzese? Napendekeza walipwe fidia na watimuliwe wote

    Napendekeza nyumba zote za Manzese zifanyiwe tathmini na wamiliki wake walipwe fidia ili kupisha uboreshaji wa mandhari ya jiji, ile takataka inayoitwa Manzese haivumiliki, no way!
  11. Kaka Pekee

    JamiiForums Tanzania Kondomu kujaa na kuziba mitaroni!

    Nimepita baadhi ya Vichochoro hapa Mitaa ya Manzese Mitaro Inaonekana Imeshiba hadi kurudisha Chenji huku asilimia kubwa ya Unavyoweza kuviona pembezoni au ndani ya Maji hayo vikielea ni Mipira ya Kiume (Kondomu). Hii ikanikumbusha siku niliyomuona mtoto mmoja akipuliza Kondomu kama...
  12. Boflo

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa UDSM ajinyonga Manzese!

    By Elisha Magolanga A first-year University of Dar es Salaam (UDSM) student has committed suicide by hanging himself with his shirt in a guest house in the city. Kinondoni Regional Police Commander Charles Kenyela told The Citizen yesterday that Joseph Lugemalila, 21, killed himself at...
Back
Top Bottom