manzese

  1. Crigler Najjar

    Wakati wa Temeke hulazimika kupanda magari mawili ili kufika Mabibo Kigogo ama Manzese

    Wanaohusika na kuanzisha root za daladala watufikirie , maana nauli imepanda na tunalazimika kulipa nauli mbili kwa safari fupi kabisa.
  2. The Assassin

    Goba ni uswazi iliyochangamka ni Manzese ama Tandale ya miaka 30 ijayo

    Wikiendi iliyopita, Jumamosi na Jumapili nilipata wasaa wa kutembea Goba kwa sehemu kubwa kwa sababu nilikua na ndugu yangu ambae katoka huko mkoani anataka kiwanja na kujenga Dar. Ndugu yangu kafika hapa tayari alishachagua eneo analolitaka kua ni Goba, basi tukatafta madalali na kuanza...
  3. stan john

    Tiptop bar manzese Ina vibe sana

    Tiptop bar wameikalabati sasa imekua nzuri inapendeza Sana ,Jana nilikua tiptop mine enyoy Sana usiku wa malaika band kila jumanne Wadau mnaionaje tiptop sasa baada ya kuikalabati
  4. stan john

    Naomba kujuzwa Lodge au Hotel ambayo naweza kulala maeneo ya Manzese

    Naomba kuuliza naweza kupata hotel au lodge nzuri na yenye usalama maeneo ya manzese isiyosidi 25k , nataka kukaa siku tano bajet yangu ni hiyo. Natokea Mbeya nakuja kuleta ndizi mabibo sokoni.
  5. MtanzaniaMakini

    Plot4Sale Eneo linauzwa Manzese Argentina

    Habari ndugu kuna Eneo linauzwa Manzese Argentina. Eneo linatazamana na barabara kuu ya Morogoro road jirani kabisa na kituo cha Mwendokasi cha Argentina Eneo linafaa ujenzi wa hotel, shell au kuweka kitega uchumi chochote Bei 400ml maongezi yapo kwa maelezo zaidi What's up number +255628891673...
  6. Mpwayungu Village

    Nipo hapa Manzese Kwa Mkwere napiga vyombo, wadau njooni basi tuliunge

    Oya wahuni tusogee mitaa hii tupige Vitu vya baridi mpaka majogoo, njooni tu join wadau wa jamiiforum tujuane zaidi Fika manzese kituo kinaitwa manzese darajani uliza bar ya mkwere, panaitwa Kwa mkwere nipo humu hata kama huna pesa we njoo nitanunua mabapa matatu ya KVANT
  7. Zee la madawa

    Nimetunukiwa tunda na mtoto wa kizungu guest za Manzese

    Umewahi kumla mzungu? au wewe unahangaika na hayo akina mwajuma ndala ndefu au akina cheusiku wa ubongo riverside? Pole sasa nikuambie mie mwenzio nimemla mzungu jana kwenye guest za manzese sema yeye huyo mzungu hataki mambo mengi sana japo ni mfanyakazi mmoja wa shirika moja la kimataifa na...
  8. J

    Manzese kujengwe Daraja lingine la waenda kwa miguu

    Hakuna kitu kinakera kama foleni ya Manzese! Yaani unakaa foleni ili kupisha watu wavuke kwa mamia!!? Mambo ya kizamani sana haya. Tunacheleweshana tu katika maendeleo. Mamlaka husika waliangalie hili. Tunaonekana wote ni wajinga kwa kukosa weledi wa kutatua changamoto iliyowazi kabisa.
  9. L

    Mwenye habari kamili kuhusu tukio la 'The Battle of Manzese' atuelezee

    Wakuu Habari zenu? Nimeona mahali jamaa akizungumzia kuhusu hili tukio lililopewa jina la Battle of Manzese. Alidai kwamba kuna wasomi walitaka kuliamsha balaa, ambalo lilitokana na kuwatetea wananchi masikini. Lakini badala yake wananchi wakakimbia, wakawaachia msala wasomi wa vyuo vikuu...
  10. sinza pazuri

    TRA yafanya uonevu mkubwa, yapora milioni 700 kwenye akaunti binafsi za Diamond Platnumz

    Ama kwa hakika uonevu na unyama huu uliofanyika na taasisi kubwa ya serikali yani TRA sio wa kufumbiwa macho. Imepora sh million 700 kwenye akaunti binafsi za msanii Diamond Platnumz. Hii imefanya Diamond aamue kulalamika baada ya uonevu huu kuzidi. Haya mambo ndio yanafanya watu waichukie...
  11. Kusini pride

    Nipo hapa uwanja wa fisi manzese natafuta mke

    Mwadila Wakuu nipo hapa uwanja wa fisi hapa manzese kutokea jana usiku saa nne kamili mpaka mida hii nikitafuta mke wa kumuoa hawa machangudoa. Kuna mdau wangu mmoja aliwahi niambia eti machangaduo ukiwaoa wanatulia kwenye ndoa sana kwasababu yeye ameoa changudoa tena amemtoa pale mwananyamala...
  12. T

    Nchi yetu ina uhuru, uhuru wa wachache: Mazungumzo na wavujajasho wa Manzese na Jangwani

    https://twitter.com/share?text=‘Nchi yetu ina uhuru, uhuru wa wachache’: Mazungumzo na wavujajasho wa Manzese na Jangwani&url=https://udadisi.com/nchi-yetu-ina-uhuru-uhuru-wa-wachache-mazungumzo-na-wavujajasho-wa-manzese-na-jangwani/ “Nchi yetu hii sisi ina uhuru. Sasa mbona ina uhuru wa watu...
  13. JF Member

    Pesa na Vifaa vyaibwa Manzese

    Rafiki yangu anaefanya biashara ya wakala wa pesa mtandao yaani Mobile Banking. Mpesa, TigoPesa, Airtel Money n.k, amenipigia simu asubuhi hii na kunijulisha kuwa, Wameibiwa usiku wa kuamkia leo. Maduka matatu yaliopo eneo moja yote yamefunguliwa na kuibiwa kila kitu. Eneo lenyewe liko Manzese...
  14. C

    House4Sale Nyumba inauzwa Manzese Tiptop

    Nyumba inauzwa (lakini ni muhimu zaidi ukiwa unanunua kama kiwanja ukubwa wa eneo 20 kwa 25 sqr 450. Umbali kutoka manzese tiptop stand ni km 1. Kwa unayeijua Manzese hii sehemu ni potential kibiashara gari linafika mpaka sehemu husika ni kuna barabara ya mtaaa hata nyumba ya makazi .Bei ya hiyo...
  15. Gily Gru

    Panya Road achomwa moto Manzese

    Habari za Jioni, Kuna jambo la kusikitisha sana ambalo limenifanya niwaze sana mda huu. Jioni hii saa moja kuna kijana ambaye ni panya road amechomwa moto barabara ya kutokea sweet corner kuelekea Manzese darajani (karibu na machine za kusaga). Kijana huyo ambaye alimpora mtu kwa kutumia silaha...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    Leo Taikon yupo kwenye sherehe za makambi, Mtaa wa Manzese, Karibuni.

    Sabato Njema! Leo ninayofuraha kubwa kusherehekea Sikukuu za Makambi Kwa mwaka huu 2022 katika mtaa wa Manzese. Maandalizi yaliyofanyika ni makubwa Mno. Mwitikio wa watu hi mkubwa Sana, Nina wasiwasi eneo linaweza kuwa dogo Kama ongezeko la watu litaendelea hivi! Kwaya kubwa zinazoimba vizuri...
  17. K

    Manzese kwanini haiendelei?

    Wakuu, Manzese ni moja kati ya kata za kitambo sana, 1975 tayari ilikuwa ni kata kamili yenye miundombinu inayoekeweka, ndio eneo la kwanza Tanzania kuwa na Daraja la wavuka Kwa miguu ambalo liligeuka kuwa kivutio enzi zile, Kwa miaka mingi manzese imekuwa kitovu cha biashara, burudani Na soko...
  18. GENTAMYCINE

    Nabi wa Afrika ni bora na mahiri 'Kiufundi' kuliko Pablo wa Ulaya na Real Madrid ya Manzese

    Nisiwe Mnafiki namkubali zaidi Kocha wa Yanga SC Nabi kuliko Kocha wangu wa Simba SC Pablo. Tuvumiliane tu kwa huu Ukweli wangu.
  19. M

    Naomba kuelekezwa lodge ambayo naweza kulala maeneo ya Manzese

    Naomba husika na mada apo juu naomba mwenye uzoefu anipe jina la lodge nzuri maeneo ayo isizidi 25 jamani sina hela bajeti yangu ndogo natokea pemba naitaji kukaa apo kwa siku 4 ila ninaemfata yupo na chumba kimoja tu. Naimani mutanisaidia
  20. Mr Dudumizi

    Kati ya Tandale na Manzese ni wapi unapoweza kuchagua kuishi?

    Mmeshindaje ndugu zangu. Ikitokea ukaambiwa uchague sehemu moja ya kuishi kati ya Tandale na Manzese ni wapi utapokuwa tayari kwenda kuishi? Na kwanini? Pia ningependa mtu au watu waeleze utofauti wa sehem hizo mbili ki miundo mbinu, kimazingira, kibiashara na pia sehem inayoongoza kwa kuwa na...
Back
Top Bottom