Simba haina Golikipa: Itafungwa hata na Manzese United!

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
17,307
Reaction score
26,818
Magolikipa wa Simba Hussein Abel, Kasali, Yakuob Lakren mgonnjwa na hatorudi karibuni , so hawa wote si level ya Simba .

Ally Salum aliondoka, alilazimika maana hakupata namba.

Simba itaendelea "kuchikichiwa" au "kutiwa kidude" mpaka watakaposajili magolikipa .
 
Wakati ligi inakaribia kuisha msimu uliopita kila mtu hata asiyejua mpira alikuwa anajuwa wazi kuwa Simba kuachana na matatizo mengine madogo madogo Simba ilikuwa na matatizo makubwa mawili golikipa na mshambuliaji wakati. Aliyefanya usajili pale Simba hakuwatendea haki kabisa wanasimba kwani haya matatizo mawili hayakutibiwa kabisa
 
Najaladia hii comment, yani hakuna kitu Simba amefanya, Yanga anajitangazia ubingwa katikati ya msimu hu.
Simba imetawaliwa na waswahilina wanaowaza pilao na nyama, hawafikiri klabu ya biashara bali uchawa na ujinga mtupu.
 
Simba walitakiwa kumsajili Golikipa kama Stanley Nwabali,,,Namba 6 mwenye uwezo( Mfano Salim Adams),, namba 8 Jabaar sawa,,, namba 9 mwenye uzoefu mfano Nkengi Thadeus, na Mshambuliaji wa ndani mmoja,,, aliyemsajili Keltso ni mjinga maana hakukuwa na uhitaji wake,,, Bakari Msimu ni bora kuliko Keltso achilia mbali Mpanzu na Oura
 
Simba ni Timu yangu ila imejaa wajinga wengi ,haiwezekani Maema akasaini mkataba mamelod afu ndo arudi aje Kwa mkopo ( hii ilikuwa nafasi ya kumsajili mchezaji mwenye uwezo na umri mdogo kwenye eneo la namba 6),, na Usajili wa mtu kama Doumbia umefanywa na MTU mjinga kabisa na kama haya ni mapendekezo ya kocha basi huyo kocha ni hopeless kabisa
 
Wakati ligi inakaribia kuisha msimu uliopita kila mtu hata asiyejua mpira alikuwa anajuwa wazi kuwa Simba kuachana na matatizo mengine madogo madogo Simba ilikuwa na matatizo makubwa mawili golikipa na mshambuliaji wakati. Aliyefanya usajili pale Simba hakuwatendea haki kabisa wanasimba kwani haya matatizo mawili hayakutibiwa kabisa
Makipa hawa wa kuipeleka Simba 1/2 fainali ya CAF?
Kufika 1/2 kwa squad ya Keltso na Doumbia ni utapeli
 
Magolikipa wa Simba Hussein Abel, Kasali, Yakuob Lakren mgonnjwa na hatorudi karibuni , so hawa wote si level ya Simba .

Ally Salum aliondoka, alilazimika maana hakupata namba.

Simba itaendelea "kuchikichiwa" au "kutiwa kidude" mpaka watakaposajili magolikipa .
Nimechoka simba kama ccm sasa nipo mwenyewe
 
Simba ni Timu yangu ila imejaa wajinga wengi ,haiwezekani Maema akasaini mkataba mamelod afu ndo arudi aje Kwa mkopo ( hii ilikuwa nafasi ya kumsajili mchezaji mwenye uwezo na umri mdogo kwenye eneo la namba 6),, na Usajili wa mtu kama Doumbia umefanywa na MTU mjinga kabisa na kama haya ni mapendekezo ya kocha basi huyo kocha ni hopeless kabisa
Aliyemsajili Dumbia ni yule bwana mwenye ofisi zake pale "moroko skwea"
 
Kweli Simba hawako serious kwenye goal keeping position.

Bado hawajapata mbadala wa Kamara.
 
Walioharibu usajili Simba ni Mo na Magori baada ya kuona Jayruty kasifiwa usajili wa dirisha dogo.
Timu ilikuwa inahitaji marekebisho madogo kipa, kiungo mzuiaji, beki wa pembeni na mshambuliaji wakati lakini wao ushambuliaji wa kwanza winga, Maema wamemrudisha kwa mkopo wa pesa nyingi wakati wangepata mchezaji mzuri kwa bei ndogo kama kocha anapenda wachezaji wa nchi yake arudi kwao.
 
Back
Top Bottom