manabii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Biblia manabii wa uongo bado hawajatokea, hawa niwatafuta maisha tu

    Kwa utafiti wangu wa maandiko, manabii wa uongo bado hawajaanza kuja. Hawa tunaowatuhumu ni watafuta maisha, wanasaikolojia, waganga na wachawi wa kawaida tu. Biblia imetabiri watafanya Ishara hadi kushusha moto. Hapa bado sijaona nabii yoyote akifanya ishara yoyote ya ajabu. Vyote ni vya...
  2. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mitume na Manabii wa kileo ni viumbe waliojaa ghiliba, uroho ubinafsi na uchoyo uliopitiliza

    Kama kuna watu whuni, wanyama katili na wenye rohombaya sana basi hawa ndugu wanaongoza. Wao wanachojua ni mashindano yq kukusanya pesa tuu na kuzitumia kwenye mambo binafsi ya kifahari na kufuru ya pesa. Wanashindana kuvaa mavazi ya bei ghali Wanashindana kumiliki magari ya kifahari na ya...
  3. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Niliwahi sema humu na narudia tena, Makonda ni aina ya watu ambao sio wa kuwaachia MIC, kuna siku ya siku

    Makonda ni aina ya watu ambao wakisha pewa Mic kuonfea kabla hajaanza kuongea watu huanza kuinamisha vichwa chini na kuwaza sijui ataharibu ay. Makonda sio wa kumuachia MIC jukwaani yaani hajui aongee nini anatatizimo sawa na yule Makamo wa Raisi wa akenya alio ondolewa Madarakani Gachagua, na...
  4. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki mnaokimbilia kwa haya makanisa ya kinabii, njooni hapa turudishane njia kuu

    Ndugu zangu, majirani zangu, wana parokia wenzangu, na wanajumuiya wenzangu, ni wazi kuwa tunapitia changamoto nyingi zinazoweza kutufanya tuishi kwa kutetereka kiimani. Vishawishi vya dunia ya sasa vinatufanya kupoteza dira, huku tukishawishiwa kuamini kwamba suluhisho la changamoto zetu lipo...
  5. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Point ya huyu jamaa kuhusu dini na manabii wa uongo inafikirisha sana

    Mwamba na hoja asikilizwe.
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Yawezekana hizi Tozo Umiza za Kuwaona hawa Manabii Matapeli waliopo Tanzania ndizo zinawafanya Watu waendelee kwenda na kuwaamini Waganga wa Kienyeji

    Haiingii Akilini unaenda kupata Tiba ya Kiroho kwa Mtumishi wa Mungu halafu Yeye badala ya Kukuonea Huruma kama alivyokuwa Yesu Kristo anaanza Kukuambia kuwa ili Akuombee na Upone tatizo lako ulilonalo Kwanza utoe Shilingi Laki Tano au Milioni Mbili. Kwanini GENTAMYCINE nisiendelee kwenda kwa...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema anaweza akawa mmoja wa manabii wakubwa kwa sasa ndani ya Taifa

    Lema huenda akaingia katika moja ya vitabu vya kumbukumbu kutokana na michango yake yenye kuwa na ukamilifu mkubwa baada ya kutabiri. Alitabiri vifo vya wakubwa na vikatokea Ametabiri watu kufungwa na kweli wakafungwa. Siku za karibuni amesema wanaotaka kumuua wamuue ila hato kimbia taifa...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya kupokea zawadi kutoka Kwa manabii na mtu kupotea kimaisha

    Tumeshuhudia anguko la goodluck gozbert baada ya kupokea zawadi kutoka Kwa nabii mkuu ..tutarajie Nini baada ya dada yetu mpendwa shusho kupokea million kumi kutoka Kwa nabii mkuu pamoja na dada yetu huyo kusemekana kuishi kinyumba Kwa muda na mtume maarufu wa kuuza mafuta ya upako... Jamani...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya kupokea zawadi kutoka Kwa manabii na kupoteza kimaisha?

    Tumeshuhudia anguko la goodluck gozbert baada ya kupokea zawadi kutoka Kwa nabii mkuu...je tutarajie Nini kutokea baada ya dada yetu mpendwa shusho kupokea million kumi Kwa nabii mkuu pamojaa na kusemekana kuishi kinyumba na mtume maarufu wa kuuza mafuta ya upako Ila spiritual life is real ...
  10. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania MTAZAMO: Nini tofauti ya vifaa vya upako vya manabii (maji, mafuta, chumvi) na vifaa vya baraka vya kanisa Katoliki (maji, misalaba, rosali, picha)?

    Nimejaribu kuwaza na kutafakari haya yanayoendelea sasa katika madhehebu ya kisasa ya kikristo (makanisa ya manabii?) ya kugawa au kuuza visaidizi vya kiimani kama maji, mafuta, chumvi, vitambaa ili waumini wao wabarikiwe na yale yanayoendelea kwenye dhehebu kongwe zaidi la kikristo (kanisa...
  11. kwisha

    JamiiForums Tanzania Hivi manabii wazamani na mitume wa zamani walikuwa waarabu au wayahudi?

    Kuna kitu nashindwaga kuelewa kuhusu manabii na mitume wote wazamani Ukisikiliza ndugu zetu waislam wanasemaga manabii wengi walikuwa waarabu Mfano ni video fulani ambayo niliona kwenye YouTube Chanel ya kislam inasema manabii wengi walikuwa waarabu Kutokana na video hiyo ni ivi Adam ( sir...
  12. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Manabii wetu Mungu awabariki, wanatabiri mambo ambayo hayatokei

    Nabii mmoja yule alikuwa anasema Dar itasombwa na bahari. Ninekaa mikoani muda mrefu sana naogopa kuja Dar. Kumbe yule Nabii hajaona kitu chochote anasema,"Bwana kanionesha hivi usiku wa jana." Kila siku manabii wanasema,"Mama Samia, jitayarishe kurudi Kizimkazi. Bwana amesema hataki uendelee...
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mpira bongo ni kama imani za dini za manabii wa kisasa, hakuna kitu tofauti utawaambia watu wakakuelewa.

    Kwa jinsi mashabiki wa mpira hapa bongo walivyojitolea maisha, akili, hisia, muda na rasilimali zao katika mpira kwa hakika tunaweza kusema mpira ni zaidi ya dini. Watu wanalala na kuamka wakizungumza mpira, wanashinda wakizungumza mpira. Jana mchana kwenye East Africa radio kuna kundi la wana...
  14. Ileje

    JamiiForums Tanzania Waganga wa tiba asili warusha vijembe kwa wachungaji na manabii

    Waganga wa tiba asili wakiongea na viongozi wa serikali leo mjini Sumbawanga wamesema kuwa wachungaji na manabii wa makanisa mengi ni matapeli. Katika mkutano ulliowakutanisha viongozi wa serikali wa wilaya ya Sumbawanga wamesema chumvi na maji wanayowauzia waumini wao haina upako wo wote. Pia...
  15. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Vitu vya kukusaidia kuwatambua Manabii na watumishi feki na kuwakimbia

    Jamii Ina stress kubwa za kiuchumi, kimalezi, kimahusiano na za hisia za kurogwa. Wafanyamazingaombwe, waganga na matapeli jasiri wameiona hii fursa na kujitengenezea vilinge vya kujitajirisha kupita watu waliopoteza matumaini. Hivi ni vitu vichache vya kuzingatia kabla hujaamua kuwa mteja wa...
  16. ngara23

    JamiiForums Tanzania Nikiwa Dar Waislamu na wasomi wengi huniagiza silaha zake za kiroho kama maji na mafuta ya upako

    Hawa manabii waliozuka na kujaa kama nzige wanajipatia waumini wa kuwapa utajiri. Hao wasomi, waislamu na wanasiasa wanawapinga ovyo mtandaoni lakini pembeni utakuta wananunua maji, chumvi, mchanga na mafuta ya upako. Hapa mtandaoni jamii forums sijawahi kuona mtu akisema wazi kama ni mfuasi wa...
  17. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Manabii na mitume wa leo kwanini hamuandiki biblia ya agano la leo

    Habari wakuu, Hapa bongo tuna manabii na mitume wa kutosha tena ni wengi kuliko hata wale wa israel wa kule kwa Netanyau kama vile Matayo, samwel, petro, yuda, timo na warumi. Hapa tunao manabii machachari akina Mwamposa, Malisa, Kapora, Mzee wa upako, Titto na wengineo wengi. Hawa wateule...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Naomba orodha ya majina ya Mitume na Manabii ambao waliuawa na Mayahudi kama inavyoekezwa kwenye maandiko

    Wadau hamjamboni nyote? Ndugu zangu pamoja na madai kuwa mayahudi wamekuwa wakiua Mitume mara kwa mara, bado Qur'ani tukufu haijataja majina ya mitume hao. Je ni manabii gani hao ambao Wayahudi wanadaiwa kuwaua? Je nini madhumuni ya mashambulizi haya ya mara kwa mara dhidi ya Wayahudi...
  19. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Sikieni nyinyi manabii na mitume wauongo, nendeni mkatoe wagonjwa ma-wodini waingie road, tutawaamini

    Kwa hasira kuu, bila salamu Hawa manabii na mitume wauongo wanasumbua sana raia wetu wasio na akili za kutosha, wanawadanganya kwa vitu visivyo na kichwa wala miguu Ieleweke kwamba: 1. Wagonjwa wako mahospitalini hao wa mitaani siyo wagonjwa ni watu wazima. 2. Pia hela zina njia zake, una...
  20. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Siungi mkono haya mambo yanayomfanya na Manabii, Waziri wa mambo ya ndani chukua hatua.

    WAKUU Tusifanye masikhara huu mchezo unaofanyika pale Kawe na kule Kimara Temboni, haufai na hauna ustawi kwa afya ya Taifa letu. Na huwa ni nashangaa sana @Wizara Mambo ya ndani, wanalea na kutetea huu ujuha kwenye Taifa linalohitaji jitihada za ziada kujikwamua ili Wananchi wake waweze...
Back
Top Bottom