Mzuka wana jamvi ..
Hawa jamaa pamoja na kufanyiwa Wema mkubwa kwa kuleta Manabii na wengi lakini wanaongoza kuwakataa ,kupinga Amri zao na kuwaua , mifano halisi ;
1. Yesu : Huyu walimfanyia figisu na kumchoma kwa Warumi na kumfanyia njama za kumuua na walikata neno lake na miujiza yote...
Until then, mimi bado nitaendelea kuwaita hustlers walioweza kuishinda system kufanya shughuli za uchumi bila ya kulipa makato. HONGERA KWAO!
YESU SIO DINI, DINI SIO YESU, YESU NI NJIA.
Bob Marley alizaliwa na mama mweusi na baba mweupe.
Japo alikuwa na ukoo mweupe, Bob Marley alijitambulisha kama Mwafrika Mweusi na alikuwa mtetezi hodari wa Pan-Africanism.
Hili lilidhihirishwa na onesho alilofanya huko Roma- Italy mwaka 1980 na kujaza uwanja kwa idadi kibwa ya watu kufikia...
Ukisoma historia za Dini toka enzi za Mitume na Manabii,Viongozi wote wa Dini walikuwa tofauti na selikari zao za kipindi hicho, sababu ya kuwa na Imani ya Muumba wao, wakazisimamia jamii walizokuwa wanaziongoza na wakakinai ya dunia ,yaani kutokuvithamini vitu vya dunia mali na anasa zake...
Haji Manara pole sana ila kwa Tabia zako ambazo hata Nduguzo wanazichukia nilijua tu hutodumu kamwe na Zaylisa. Halafu naona kila kona Watu wanampongeza Mange Kimambi wakati GENTAMYCINE hapa hapa JamiiForums miezi kadhaa iliyopita na hata juzi kati (Threads zipo JamiiForums) nilisema kuwa Haji...
Wasalaam
Maisha ya Mwanadamu yamejaa tabu, ni lazima upambane, muujiza wa maisha yako upo katika bidii na juhudi katika kuzitatua changamoto zinazokujia
Matatizo yanayokusonga yataisha tuu ama kwa wewe kufa, ama muda utayatatua, ama atayatatua mwingine, ama wewe mwenyewe utayatatua ukizingatia...
Habarini,
Kila kukicha Waafrika wanazidi kuwa wajinga kwa kukumbatia manabii wawili mohamad na yesu ambao kiuhalisia siyo asili yao na hawana vinasaba nao kwani yesu ni mzungu wa kuigiza kwenye kitabu cha kutunga biblia na mohamad ni mwarabu wa kwenye kitabu cha kuigiza quruan ambao woooote hawa...
Nyakati hizi kuna watu wengi wanaoitwa manabii. Nabii ni mtu anayepokea ufunuo au maono kutoka kwa Mungu na kuyatangaza kwa watu. Kwa maneno mengine Nabii ni mtu anayeongea kwa niaba ya Mungu. Je, kila anayejiita Nabii ni nabii wa kweli? Biblia inatufundisha kwamba siku za mwisho, manabii wengi...
HAKUNA NABII NA MTUMISHI WA MUNGU ALIYEJIINGIZA KWENYE SIASA AKASHINDA PASIPO KUWA MPIGANAJI WA VITA. MANABII WENGI WALIOINGIA KWENYE SIASA WALIUAWA KWA SABABU HAWAKUWA WARRIOR
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Hii ni angalizo kwa wale Watumishi wa Mungu, Manabii na mitume wa wakati huu...
Kuna ukame ambao unatishia maisha ya watu na mali zao.
Akina Mwamposa and Co. Ltd wamejinasibu na kufanya miujiza kurekebisha mambo kama magonjwa, bahati kuondoa mikosi , kuleta utajiri etc etc.
Najiuliza, mbona sasa hawafanyi miujiza mvua ikanyesha?
Tunao zaidi ya 400
Madhabahu ilikuwa ni mahali pa kutolea sada za damu katika agano la kale. Siku hizi wahubiri wakristo wakianzisha kanisa wanaita madhabahu eti watu walete pesa hapo. Huu ni wizi na watu wengi wajinga wasioijua hata hiyo biblia ndio wamejazana huko. Utapeli mtupu.
Kwa miaka miaka 2000 tangu Yesu Kristo arudi mbiguni hapakutokea mtu aliejiita chief prophet hadi ilipofika miaka 2010 ghafla kila mtu akaanza kujiita hivyo.
So nimegundua hawa watu are businessmen na hivyo ndivyo wanavyouza bidhaa zao. Kama vile utakavyo ifanyia market bidhaa yako kuwa bora...
Wakuu,
Saivi kumeibuka mtindo (fasheni ) wa Hawa watumishi/manabii nk. Kuenda milimani, nimeshindwa kuelewa Huwa wanaenda kufanya Nini huko??
Na kwa maelezo ( kupitia tv/radio mbalimbali za masuala ya Imani ) wanakaa huko kuanzia wiki Moja mpaka mwezi, Kuna Siri Gani huko milimani??, na ni...
Pesa anayepaswa kusaidiwa ni maskini pekee.
Mtu ana range kali New model unampa pesa ili akuwekee mkono kichwani. Madness
Mtumie pesa mama yako, hakatai pesa kwakuwa ni ndogo, elfu 5, 10, 50, laki , millioni ukimtumia anafurahi na ombi lake la sekunde 30 mbele za Mungu juu yako lina nguvu...
Ikiwa ni Mungu pekee Ndiye agawaye Mamlaka Kwa watu.
Ikiwa ni Mungu pekee ndie anahitaji Mtawala kuyatenda yaliyo mapenzi yake.
Katika Dunia hii ambayo Shetani na Mawakala zake wako kwenye vita Kali dhidi ya Kanisa.
Basi Mtawala yoyote yule ambaye Mkono wake utachangamana na BABELI katika...
Manabii wamekuwa wengi mpaka unajiuliza Mungu gani uyu ambaye anaonyesha manabii wake habari tofauti tofauti.
Mara uyu anakuja na ili. Uyu naye anakuja na ili tofauti na la yule wakwanza God , GOD, GOD, GOD.
Na wakibahatisha jambo fulani tu ndo kwisha habari zenu
Kuna mmoja uko youtube...
Jamaa inaonekana bado hajaridhika kutimuliwa. Sasa anamsema kila mtumishi mwenzake maarufu wa Tanzania japo kwa mafumbo.
Anasema mzee wa ubungo ni tapeli wa kutupwa na ni mtu wa system.
Kuhani Moses wa temboni anadai amewahi kufukia jeneza uwanjani Mbagala akaweka alafa kwenye mkutano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.