Napenda sana kufuatilia habari za kiroho hususani misimbo ya kinabii "prophetic codes". Kuna mengi tumejifunza kuwa ni magumu ila kupitia misimbo mambo huwa bayana.
Bila kuzungusha sana maelezo kilichofanyika usiku wa tarehe 8/12/2023 kwa jina "usiku wa maajabu" ni tukio la kuondoa mazoea na...
1: Uwe msiri na usiwe unapatikana kirahisi wakati wote au kuwa adimu( do not be too available).
Huwezi kumkuta nabii wa uongo anatembeatembea hovyo au anapatikana kirahisi. Watu wanatafuta kitu adimu sio kinachopatikana kila mahali.
2: Usijibujibu tuhuma. Usiongee au kujitetea unaposhambuliwa...
Mimi kama muhaya, nshomile kutoka Uhayani Republic, imenibidi niingie chimbo kuleta maelezo kamili juu ya hii vita ya Israel na palestina ambayo kuna watu wanadhani Gaza inapigwa kwa bahati mbaya. Ukisoma maandiko ya agano la Kale (Old Testament) katika biblia na vitabu vya kiyahudi Torah na...
Kwema Wakuu!
Nikishasikia kiongozi wa kisiasa hataki viongozi wa dini wakemee Maovu hasa ya haohao watawala na kuingiza neno isichanganywe dini na Siasa, hapo napatwa na harufu ya uovu.
Hakuna haja ya uwepo wa dini ikiwa manabii, mitume, maaskofu, wachungaji na wote wanaohudumu kwenye...
Baraza Kuu la Mitume na Manabii Tanzania limekanusha kuhusika na barua ambayo imesambaa mtandaoni ikieleza kinachodaiwa kuwa ni tamko la baraza hilo kuhusu sakata linaloendelea la Mkataba wa Bandari.
Akieleza katika video aliyoiposti kupitia ukurasa wake wa Twitter, Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya...
Sasa tuseme yatosha. Watetezi wa rasilimali zetu wanabambikiwa kesi za uhaini, ili kuhalalisha mauzo haramu ya nchi yetu kwa Mabedui.
Wananchi hùuu ndio wakati muafaka wa kulitetea taifa letu, wageni wanataka kutufanya sisi watumwa kwenye shamba letu wenyewe tulilorithishwa na mababu zetu...
Siku hizi imekuwa biashara kubwa ya kuleta utajiri mtu from nowhere kuibuka na kujiita mtume au nabii. Wako wapi watumishi wa kweli wasiodai pesa kwa visingizio vya zaka na sadaka?
Pia unawezeza kusoma link hii niliyokutana nayo leo mtandaoni...
Kumekuwa na kundi kubwa sana la manabii waliopo katika nchi yetu ya Tanzania. Na imekuwa ngumu sana kutambua watu hawa kama ni manabii wa kweli au la,!
Sijajua kwa watu wenye imani kubwa, hili naliongea mimi mwenye imani ndogo; inapotokea mtu(nabii) anakwambia kitu ambacho kina uhusiano direct...
Kuna nchi moja Africa ya Mashariki watu wanajisifu kuwa na akili nyingi na wanajua Kingereza vizuri na ni wazee wa kuchapa kazi sana.
Sasa imekuaje mkaingia king kirahisi na kukubali kuuliwa kirahisi na manabii fake?
Tangu nijunge JF the home of Great thinkers wenye fikra pana .
Niseme tu tunahitaji mikakati kuondoa dhana kuwa umasikini Ni laana .ili watu wasiende kutafta upako kwa manabii fake na kuroga .
Mimi nataka niseme kuwa umasikini tumerithi Kama watu wengine wanavyorithi utajiri
Wazazi Fahamu...
Hili swali nalikalibisha tu,kwa watu wenye uelewe wa mambo ya Dini.
Huyu ni nabii na mtume wa Mwenyezi Mungu, ambaye anakubaliki na Dini zote, kuanzia Uyahudi, Ukristo mpaka Uisilamu, na hawa wote ibada zao zimetofautiana.
Je, niwapi wanaomfata?
Hii post haina lengo la kumdhihaki mkristo yeyote atakaeisoma, wala kujaribu kulinganisha imani zozote.
Ningependa kujua kutoka kwa yeyote anayefahamu mwanzo wa haya makanisa maarufu ya mitume au manabii watenda miujiza. Labda unajua, ama ulikuwepo kipindi hicho.
Mitume na Manabii wa Mwenyezi Mungu walikuwa Dini gani?
Kuanzia Adamu,Nuhu,Ibrahimu,Musa na Yesu,na wengine wengi
Sikalibishi matusi ni kwa ajili ya kuelimishana tu,kama unajiona huna hoja baki kama msikilizaji
Amani iwe nanyi,
Kazi ya Mungu siku zote ina upinzani mkali. Tumeona Yesu OG, mitume na manabii walivyo uwawa, teswa na kudhihakiwa. Soma maandiko kwa urahisi wa rejea.
Huko jirani, wadau wanataka kumjambisha yule yesu wa mchongo, wanataka kumsulubisha kwa kadiri ya maandiko wakitarajia...
Nabii mfalme Zumaridi anatakiwa kukumbushwa kuandika biblia ama ufunuo wake kama wlaivyofanya manabii wa zamani.
Dini hizi tunazoziona sasa zilianza kama ilivyo kwa Zumaridi lakini miaka kadhaa mbele sasa ni jamii kubwa ya waumini wakiamini kilichoandikwa na manabii kama Zumaridi wa huko nyuma...
Mambo mengi ya kukemea…
Naanza na kumpongeza KAGAME
1. Ufungui Dini Hovyo hovyo nchini kwake kwa Mgongo wa uhuru wa kuabudu lazima tuwaratibu hawa watu!
2. Kakataza Azana za Asubuhi ni Kelele anasema mwamba kupiga Kelele mijini imepitwa na wakati, mnapigia watu Kelele mitaani, akawasihi...
Hebu fikilia m hungaji kama mwamposa anwaambiaga waumini kwamba kunywa pombe ni dhambi na Wala wasiguse kabisa waumini lakini yeye ana hoteli ya kitalii mahala flani (sipataji) na mle ndani anauza pombe, whisk, konyagi, K-Vant, Vodka, Pushkin, nk na wataleja ni wengi sana.
Sasa mbona tunauziana...
17 February 2023
Rais wa baraza la manabii na mitume Tanzania Dr. Joackim Peter Kimanza ... shalom waTanzania tupo mbele yenu katika uamsho wa kuwafikia watanzania mpaka ngazi za Vijiji.. kuweza kufikia hilo mimi kama rais wa baraza ninawateua wafuatao ...
Toka maktaba :
Nashindwa kuelewa kwanini TRA wanashindwa kuiga kwa Ruto wa Kenya na kuongeza mapato kutoka katika wimbi hili la mitume na manabii walioanzisha biashara ya Maji, chumvi, vitambaa nk wakiviita vya upako na kupata fedha nyingi sana kama biashara isiyo kodi wala cost of production. Msome Rais Ruto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.