mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mambo 7 yanayowaumiza wanaume kwenye mahusiano

    Kupitia safu yetu ya mahusiano, leo nimekuletea makala maalum hasa kwa wanawake kutokana na malalamiko ya wanawake wengi kuwapoteza waume zao. Kilio chao kikubwa ni kukimbiwa na wanaume au kuachwa. Leo anakuwa na mwanaume huyu, baada ya muda mfupi kunatokea chokochoko, mwanaume anatimka zake...
  2. JamiiForums Tanzania Mambo kumi (10) ya ali kamwe katika derby ya Simba na Yanga

    Anaandika @alikamwe Mambo 10 nilioyaona Simba vs Yanga 1: DAR ES SALAAM is GREEN & YELLOW 🟢🟡. WENYE NCHI NI WANANCHI🙌 Pointi 3 za HESHIMA. Pointi 3 za KIBABE. Yanga wanaweza kukosa Ubingwa, Lakini angalau wameweka alama isiyofutika kwenye moyo wa Rais, Mama Samia..👏 2: WHAT A MATCH! Yanga...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Tuzikatae lugha zisozokuwa na staha kwenye mambo ya msingi

    Kama Taifa tuna mambo ya msingi sana mbele yetu kutumia muda wetu kurushiana matusi. Bila ya kujali itikadi zetu tuyakatae yote yanayodhalilisha utu wa mtu, bila ya kujali mlengwa au mlenga kwa cheo, mhusika au chama. Mambo kama haya: Kauli kama: 1. "Tulizo Mat*ko wewe!" 2. "U baji na M@vi...
  4. JamiiForums Tanzania Mila za ajabu: Nimebaki na mshangao baada ya kusoma kisa hiki

    Mimi sio muhubiri au anayeshadadia habari za Haki za wanawake (Ufeminist) Ila katika pita pita zangu nimeshasoma visa vingi sana ambayo walifanyiwa wanawake kwa lengo la kumfurahisha mwanaume ila matokeo yake ikawa ni mateso tu na kutweza utu wao. Ni visa vya ajabu na vya kupingwa kabisa...
  5. JamiiForums Tanzania Mambo gani yanatakiwa ili watu, kikundi nk, kiwe ba ushirikiano mzuri/wenye ufanisi?

    Habari wandugu. Naomba kuuliza ni vitu gani au sifa gani zinatakiwa kuwepo ili watu muweze kushirikiana vizuri? Inaweza kuwa ushirikiano ndani ya kikundi, mtu mmoja na mwingine , kikundi na kikundi nk. Inaonekana ushirikiano huleta mafanikio kirahisi na hata kiasili, binadamu ni social animal...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje: Wawekezaji na Wafanyabiashara sasa wanarudi, foleni Wizarani ni kubwa

    Namsikiliza mama Waziri hapa anasema kuwa hali ilikuwa mbaya ila Wawekezaji wanarudi kwa kasi, foleni za Wafanyabiashara kutoka nje zimekuwa kubwa, na baadhi ya mabalozi wakiri kurahisishiwa kazi na mtindo wa Samia alioanza nao kwani kabla kujitetea kulikuwa ni kwingi mno. SOURCE TBC 1 SIKU...
  7. JamiiForums Tanzania Mambo tisa ya kushangaza kuuhusu Mwezi na Marekani ilipotaka kuulipua

    Umbo la mwezi hubadilika na hata rangi yake, lakini tangu jadi binadamu amekuwa akivutiwa na maumbile yake. Kuna Mwezi Mpevu, Mwezi Mwandamo, Hilali na hata wakati mwezi hupatwa na jua. Hapa ni mambo tisa ya kushangaza kuuhusu Mwezi. 1. Mwezi si tufe Mwezi una umbo la yai. Ukiuangalia kile...
  8. JamiiForums Tanzania Anachoongea Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania-Mulamula

    Huyu Waziri anaongea live now Channel Ten, yaani anachoongea sikutegemea kuongelewa na Waziri anaongea kama BAVICHA purely. Anaponda sana awamu iliyopita sijui ilikua inakwepa mataifa mengine sijui ilikua na matatizo na EU mpaka Mabunge yao yakawa yanaongeleka. Yaani full kumponda marehemu...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini wanaoteuliwa kuelimisha mambo ya kodi sio TRA wala hawana elimu hiyo?

    Swali la kipima joto la leo Ipi haja ya kuwepo kwa TRA kama wanaoteuliwa kuelimisha mambo ya kodi sio TRA wala hawana elimu hiyo. Je, kuna haja ya kuendelea kusomesha watanzania shahada za mambo ya kodi (Taxation)? Je, fedha za kuwalipa hao wanaoelimisha zinatoka kwenye mfuko upi? Je, kwanini...
  10. JamiiForums Tanzania Mambo magumu sana

    Ishu haziendi kabisa ajira hakuna biashara nayo, ni ngumu kote mapenzi ndo kabisa bila ya kuwa na pesa hupati kitu siamini Kama mpaka house girl wa jirani amenikataa. Hali sio nzuri kabisa mbinguni nako kumekuwa kugumu kwenda kununua nguo mpya nako inakuwa ni vigumu yaani kifupi me hata sielewi...
  11. JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia kwenye kununua boda boda used

    Mimi ni kijana ambaye niko jiji Dar es Salaam katika harakati za kutafuta pesa nmefikiria kununua boda boda ili niweze kujiongezea kipato lakini kutokana na boda boda mpya kuwa gharama sana nmefikiria kununua boda boda used ambayo gharama yake inaweza anzia kwenye 800k had 1.2M Nilikuwa nauliza...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, anza na mambo haya kwa vijana. Tutakushukuru

    Na; Hamis Abeid Baruani 0769808725 Mama kwanza pole na hongera kwa majukumu ya kulitumikia Taifa letu tukufu la Tanzania, kama kijana wako wa Tanzania nina maoni yangu kadhaa ningependa kukupatia kuhusu kutusaidia sisi vijana wako, mengi mazuri yalisemwa na uliyasema pale Mwanza naomba nami...
  13. JamiiForums Tanzania Ndani ya siku 100 za Uongozi wake, Rais Samia amefanya mambo makubwa

    NDANI YA SIKU 100, RAIS SAMIA AMEFANYA MAMBO MAKUBWA Wanaandika Ndugu Twahir Abasi Kiobya na Denis Shanyangi Kama kuna jambo lolote linalonipa amani na Faraja kwenye nafsi yangu katika siku 100 zilizopita, basi ni kuona kuwa tuna rais wa aina ya Mama Samia Suluhu Hassan. 1. Ndani ya siku 100...
  14. JamiiForums Tanzania Utekelezaji wa mambo haya uliishia wapi?

    Hivi nani aliibua mchakato wa vazi la taifa? Uliishia wapi? AU yule aliyeshauri vitambulisho vya NIDA, vina tija gani kwa sasa? KUNA waziri alisema tiketi zipatikane kwa njia ya mtandao sijui aliishia wapi USAFI kila mwezi je? Mchungaji Mtikila aliwahi sema nchi hii haiwezi kuendelea sababu...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania itabidi tufikirie ku adopt mfumo wa Technocracy ili mambo yaende.

    Huwa napenda kukaa chini na kuangalia namna wenzetu duniani wanafanya nini, ambacho na sisi tunaweza kuiga kwa manufaa ya taifa letu. Kuanzia February mwaka huu, nchi ya Italia imekuwa ikiongozwa na waziri mkuu mpya, anayeitwa Mario Draghi. Kwa kifupi, huyu ni nguli wa uchumi wa bara la ulaya...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ndugu waziri wa Utalii, boresheni utalii kwa kufanya mambo yafuatayo

    Ndugu Waziri, Takwimu zinaonyesha kuwa katika mambo yanayochangia pato kubwa la nchi yetu ni utalii. Kwa hiyo hii ni sekta inayopaswa kuchukuliwa serious sana na kuwekeza kwa nguvu zote ili pato la nchi liweze kuongezeka. Kwa hiyo ndugu Waziri huu ni muda muafaka wa ubunifu na kuja na vyanzo...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Rais Samia; Urais wa nchi ni mambo makubwa

    Habari wana JF, Binafsi nafurahia uongozi wako Mh Rais Samia, lakini napenda kutoa mtazamo tofauti ili kuboresha kwa kuwa bado una muda. Rais wangu, asikudanganye mtu, Uongozi wa Nchi ni mambo makubwa, ni juu ya hatma ya kesho, sio leo tu, ni juu ya leo na vizazi vijavyo. Nchi hii bado ni...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini mambo ya kiibilisi hufanikiwa fasta kuliko ya Mungu?

    Ukitaka utajiri wa kichawi au kifreemasoni ni kugusa tu, cha msingi uwe tayari kutimiza masharti. Ukitaka utajiri wa KiMungu hata ufanyeje lazima usugue benchi vya kutosha. Hata Ibrahim mwenyewe utajiri wake alitoka nao kwao akiwa mpagani. Matajiri wakubwa wa kikristo ni wachungaji ambao hizo...
  19. JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Tuliyajua, Hatukuyajua lakini hilo zaidi ya tatizo

    TULIYAJUA, HATUKUYAJUA, HILI NI ZAIDI YA TATIZO. Kesi iko mahakamani, sitaki kusema yaliyomo ya kesi hiyo. Najipa haki ya kusema jambo zima kwa ujumla wake. Siku Rais Samia alipochukua ofisi nilipendekeza Mwongozo wa Kuongoza Kipindi cha Mpito wa awamu mbili, yaani kutoka ya 5 kwenda ya 6...
  20. JamiiForums Tanzania Je, mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa sio jambo la muungano? Nini kinaendelea Zanzibar?

    Wanasema mzaha mzaha hutumbua usaha, kwa mujibu wa katiba yetu, mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa ni jambo la muungano, hii ni pamoja na misaada pamoja na mikopo kutoka nje ya nchi. (Katiba ya JMT ibara ya 4 nyongeza ya kwanza) Lakini tangu awamu ya sita ya rais wetu Samia Suluhu ishike...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…