The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.
Makamanda wananipiga chenga hawataki kulipa madeni yangu wanasema hawajapata mshahara mpaka Jana jioni wqkati watumishi wengine tiyari wamenipa changu.
Mbona hii hali si kawaida au wameamua kunitapeli?
Nimeona kuna video inarekodi kijana amechanjiwa kinga huku mtaalam akiijaribu, ni aina ya kinga kwa huko Kongo lakini hata Kwa mikoa jirani hasa Kigoma wapo wataalam.
kuna huyu mpuuzi yupo na simu anarekodi sasa video imevuja mitandaoni, alichofanya ni ujinga uliopitiliza, hata wazungu...
Microsoft 365 Copilot inachanganya nguvu ya mifumo mikubwa ya lugha (LLM), yaani large language models na data zako kwenye Microsoft Graph na programu za Microsoft 365 ili kugeuza maneno yako kuwa zana yenye nguvu zaidi ya uzalishaji duniani.
"Leo hii ni hatua kubwa inayofuata katika mabadiliko...
Wanasema kupanga ni Kama kuichungulia kesho yako,
Nami Kama mwana harakati katika utafitaji nikajiwazia kuwa Kuna baadhi ya vitu au watu ni chanzo Cha kutuchelewesha au kuwa Kama vizingiti katika safari ya mafanikio.
Je, ni Mambo, vitu, au watu gani unahisi wanakuzuia au kukuchelewesha...
Wanasema kupanga ni Kama kuichungulia kesho yako. Nami Kama mwana harakati katika utafutaji nikajiwazia mengi leo.
Ni chakula au vitu gani huwezi kuacha kula hata kama ukiwa bilionea?
你好
TSAI ING-WEN
1. Je, unafahamu Rais wa Jamhuri ya China Tsai ing-wen kuwa hana mme ?
Ndio, Tsa Ing-wen ndie Rais wa kwanza wa kike wa ROC. ambaye pia haja olewa na hana mme kama patner katika maisha yake.
Hili ni jambo la kushangaza pia kuvutia kuhusu Rais huyu kwa kuwa haija zoeleka kwa...
Wakuu, nilirequest mtonyo wangu uko NSSF ten days ago ambapo nilisubmit all recquirments.
Jana nimeangalia kwa account nimeandikiwa paid lakin nikaenda bank sijaona mtonyo, kwakua leo ni jumapili nmefail kuwafata ofisini hivyo naomba mwenye uelewa na haya mambo anieleweshe nini tatizo hapo...
Binadamu kila ahsubuhi huwaza jinsi ya kuifanya future yake kuwa poa
Hujua kuna mambo ya lazima kabisa yatamtokea mf. njaa, kuumwa au kuokota mchumba barabarani n.k
Hujiandaa kwa kutembea na kinga, kuwa na bima na pesa ya kula
Lakini kifo kipo mbele yetu na tunajua ni lazima kije kwanini...
Moja kati ya sekta nyeti katika taifa ni ile tunaita "think tank".
Sijajua kwa taifa letu watu hawa wanatoka angle ipi,ni aidha ni watu wa sili sana ama wanatoka mbele ya vyombo tunavyoviona ama vile vinavyojihusisha na mambo ya intelijensia!.
Sipo hapa kujadili wanatoka wapi!, nipo hapa...
NATAMANI KIKOSI KAZI KILICHOUNDWA NA WAZIRI MKUU,TRA na SERIKALI WANGEWEZA KUTATUA TATIZO LA PENATI KWA KUTO KUFANYA FILING ZA P.A.YE,SDL,VAT, MAKADIRIO, NA RITANI ZA MWAKA KWA KAMPUNI/BIASHARA ZENYE MTAJI CHINI YA BILIONI MOJA
Awali ya yote, mimi ni mdau na mfanyabiashara ndogondogo wa sector...
Sukuma gang ni itikadi liyoasisiwa na Magufuli inayoamini katika ukatili unaohusisha matusi, utekaji, uporaji, mauaji na uonevu.
Kwahiyo itikadi hii isihusishwe na kabila la Wasukuma. Mfano, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, ndugu Sabaya yeye ni Sukuma gang lakini siyo Msukuma. Wengine ni...
Natumaini wazima
Naomba niwashirikishe hili jambo linanisumbua sana
Miaka ya nyuma nilikuwa kwenye mahusiano na kijana mmoja tulikuwa tunapendana sana,nilikuwa Niko chuo nae alikuwa anafnya kazi kwenye private sector tulivumiliana baadae nikamaliza nae akapata kazi serikalini tukaanza kuweka...
Siku hizi kila muda ni maadili! maadili! lakini wengine hawajui kuwa wanapiga kelele tu zisizo na tija. hebu hizo juhudi za kujenga maadili mema changanyieni na hizi
1.Azam achieni ile chaneli ya ZBC2 iruke watu waangalie bure hata bila kulipia. kama nakosea mtanirekebisha lakini nijuavyo ile...
Siko hapa kubishana na mtu. Na kama wewe ni moja kati ya wale wasioamini Matendo Makuu ya Bwana Mungu, Mungu wa Israeli basi pita kimya kimya tu.
Sitaki kusema mengi ila huu uzi tutaurejea miaka michache ijayo.
Kwamba walio wazima na wenye nyenzo zote anaondoka harafu watu waliokuwa wanyonge...
Wanaume mnaweza kujifunza kutoka kwetu wanawake.
Tuna mengi ya kuwashirikisha mjifunze kutoka kwetu wanawake, kwa leo nitawapa mambo matano tu...
1. Wape kipaumbele watu wako
Wanaume wengi ni wabinafsi kwa asili na ni wachoyo wenye roho mbaya.
Bali wanawake wengi huweka maslahi ya familia...
Hakuna wakati mzuri wa kujifunza na kujua mengi ya maana kama wakati huu tunapoishi. Mambo mengi yapo vidoleni mwetu una Google tu unayapata.
Lakini la kushangaza vijana wengi wanazidi kuwa wajinga na mandeluche.
Kuna vijana wanaonekana wajanja mdomoni lakini ukiwauliza Dodoma ipo Zanzibar ama...
Jamii,ni jumla ya watu wote wanaoishi katika mazingira Fulani ya kijiografia ambao wanaweza kufanana au kutofautiana katika nyanja za kiuchumi, kisiasa, kiutamaduni, na kiteknolojia.
Kujenga maana yake kutengeneza kitu ambacho kina faida na kutumika kipindi fulani Cha maisha mfano nyumba. Kwa...
Hello wakuu,
Katika maisha huwa kuna mambo mengi, sisi kama binadamu huwa tunapitia, na baadhi ya haya mapito, yanaweza kukuvuruga kabisa kiakili kupelekea kufanya au kujaribu kufanya mambo ambayo hata hukuwahi kudhania.
Moja ya mambo haya ni "Being So Desperate To Earn Money"
Nimecheck...