Haya mambo mambo gani na mimi niyajue nikonde?

Haya mambo mambo gani na mimi niyajue nikonde?

Best home tutor

Senior Member
Joined
May 8, 2026
Posts
194
Reaction score
268
"Haya mambo ya nchi hii ukiyajua unaweza kufa kwa presha ndo maana mimi nakonda kila siku, kwasababu unawaangalia unasema hawa ni banadamu wa kawaida au wamelogwa alafu unakuta kamtu kanakonyonywa na wachache wenye nchi anashangilia mimi ni CCM unashangilia hapa ili matajiri wachache wafaidike "

John heche 🗣🗣🗣

Ila hii ni kweli mimi tangia niyajue afya yangu ya akili haiko sawa 🥺
 
Back
Top Bottom