mama yangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bwajilo

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri: Nataka kumzuia mama yangu asiolewe tena baada ya baba kufariki

    Habari ndugu zangu. Naombeni ushauri wenu juu ya mada tajwa. Mzee wetu amefariki miezi 8 iliyopita baada ya maisha yake yote kuwa katika ndoa na mama yetu. Mama Sasa ana umri wa miaka 68. Kwa kipindi chote tangu sisi watoto wake tuanze kujitegemea tumekuwa tukijitahidi kuwawekea mazingira...
  2. EL ELYON

    JamiiForums Tanzania Sina mapenzi na mama yangu

    Wakuu habari.. Mmebarikiwà sana na Mungu wa Mbinguni hakuna laana. Aisee Mimi Nina wadogo zangu wawili Mimi nikiwa mtoto wa Kwanza tena wa kiume mdogo wangu wa pili ni wa kike na wa mwisho ni wa kiume. Cha ajabu toka nikiwa mdogo hata sijaanza chekechea nilikuwa naishi na shangazi yangu ndiye...
  3. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mama yangu alinikataza kusomea Udaktari

    Katika mambo ambayo huwa siyasahau ni hili. Mama yangu ndugu zake kadhaa wamesomea udaktari. Na hata jina alilonipatia mimi nila baba yake ambaye mpaka sasa ni daktari. Lakini pia mara mimi baada ya kuzaliwa na kupatiwa jina hilo la huyo baba yake, nilianza kuitwa jina la utani Dokta, Dokta...
  4. NDORANGA

    JamiiForums Tanzania Nimemjengea mama yangu nyumba nikiwa bado nipo kwenye 20's

    Wasalaam. Habarini Wana JF, Kwanza kabisa niseme nawashukuru wanajamii-forum wote kwa ujumla hasa hili jukwaa letu pendwa la biashara, uchumi na ujasiriamali, kwani tumekua tukipeana mbinu za kibiashara ambazo zinaweza kutusaidia kujikwamua kiuchumi kwa namna moja au nyingine. Mbarikiwe...
Back
Top Bottom