malezi

Malezi School is a private educational institution based in Nairobi, Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. Dr leader

    JamiiForums Tanzania Huruma si malezi. Na mapenzi yasiyo na tija, ni sumu ya polepole

    Huruma Si Malezi Kumpenda mtoto haimaanishi kumuachia kila kitu au kumuogopa akilia. Kuna wazazi huamini kuwa kila kosa la mtoto litapita likisahaulika kwa kumbembeleza, kumkingia kifua au kumtetea mbele ya watu. Lakini ukweli mchungu ni huu: mapenzi yasiyo na mipaka hayajengi, yanaharibu...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Padre Silvio, Mwalimu wa Malezi Seminary: Kanisa Lina Wajibu Wa Kuionya Na Kuishauri Serikali. Serikali Haina Mamlaka Kuwanyamazisha Viongozi wa Dini.

    Anaandika Padre Silvio Mnyifuna,Mwl na mlezi wa Mafinga seminari KADIRI YA SHERIA ZA KANISA KATOLIKI KIONGOZI WA DINI ANA HAKI NA WAJIBU UPI KUHUSIANA NA SERIKALI YA NCHI KATIKA KUSHAURI NA KUONYA ? . Sheria za Kanisa Katoliki (yaani Codex Iuris Canonici – CIC) zinatoa mwongozo mahususi kuhusu...
  3. Damaso

    JamiiForums Tanzania Video ya binti akivuta sigara

    Katika siku kadhaa kumekuwa na video ikimuonesha binti mdogo mwenye miaka inayokadiriwa kuwa kati ya 12 mpaka 14 akifika duka moja na kuwasha sigara kisha kuivuta. Ni video fupi ambayo imesambaa kwa kasi sana, Facebook, Tiktok na hapa X (Twitter). Kwa baadhi ya watu inaweza kuwa ni video...
  4. Knock life

    JamiiForums Tanzania Huruma sio malezi , safarii hii hakuna kuwahurumia Ccm kauli ni moja nchi nzima hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi

    Huruma sio malezi , safarii hii hakuna kuwahurumia Ccm kauli ni moja nchi nzima hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi
  5. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Uzi Mahsusi kwa Wadau wa Siasa (Chadema/CCM): Malezi na Madaraka, Kwa Nini Familia Yako Inaweza Kutabiri Mwelekeo wa Taifa

    Je, umewahi kujiuliza kwa nini baadhi ya mataifa yanafuata demokrasia, mengine yanapendelea udikteta, na mengine yana mfumo wa kijamaa? Kwa mtazamo wa haraka, tunaweza kudhani kuwa sababu kuu ni historia, uchumi, au hata ukoloni. Lakini, tafiti zinaonesha kuwa mizizi ya mifumo ya kisiasa...
  6. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa kiume malezi mnayowapa vijana wenu wa kike mtavuna mnachokitafuta

    Nimeona wababa wengi wa kisasa hasa hawa wenye vipato vya kubadilisha mboga aka middle-class wanawadekeza sana vijana wao wa kike (mabinti). Sasa nachowaambia endeleeni ivoivo majibu mtayapata bdae. Inajulikana, kiasili kijana wa kike anaenda sawa na baba kwa sababu ni ngumu au kuna uzito...
  7. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Malezi ya sasa hivi ni mabovu kabisa

    Kuna wazazi sasa hivi mnausasa wa kuwaacha watoto wajifanyie wanavyo taka wao yaani wanajifanyia maamuzi ndio maana sasaivi wasichana wengi wamezalia nyumbani na mmelizikia hivi ni kawaida mtoto wa kike kazalia nyumbani mtoto wa kwanza ukasema bahati mbaya na wa pili anazalia nyumbani na baba...
  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Suala la malezi kwa watoto limekuwa janga la Taifa. Wazazi mnapohangahikia pesa msisahau watoto wenu

    Kuna mtoto wa jirani mbali kidogo na nyumbani ila kwakuwa nyumba zetu ziko scattered tunaishi kama majirani. Mtoto huyu huwa anapenda kuja nyumbani hushinda nyumbani mara nyingi. Kwa siku hutumia masaa 4 mpaka 8 nyumbani kwangu hasa kipindi hichi cha likizo. Nimewahi kumtimua mara 2 kutokana...
  9. Knock life

    JamiiForums Tanzania Nilichogondua ni muhimu mzazi kuwa na Elimu ya sikolojia na malezi, watoto wengi wanaharibikia katika shule .

    Wakuu . Ukiachana na kuwa Tanzania Elimu yetu imekaa kimkakati Sana. Ila bado watoto wetu wanaharibikia mshuleni huko. Hapa nitatoa hints kadhaa kuhusu hili swala. Nina ndugu yangu yeye Ana watoto watano wakike wanne na wakiume mmoja. Watoto wake amekuwa akiwasomesha shule za boarding muda...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na huu ujumbe, vijana kazi ipo

    Hivi Sasa ni mwendo wa kuwindana, kila mtu anakula timing kwa mwenzie. Ila huu ujumbe unafikirisha sana
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kwa maisha ya mjini ukizembea malezi unakuja kuwa na hasara ya watoto mbeleni hasa watoto wa kike

    watoto wa mjini wanahitaji malezi serious sana vinginevyo ni hasara tupu mbeleni nakua disappointed sana kuona blunders za uswahililini hasa kwa dar kwa hawa watoto wakike ni ama wasome waje kua na kazi za maana au waolewe na wanaume wanajielewe vinginevyo wapo kwenye risk ya kua hasara ...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Wazazi waaswa kuzingatia kuwapeleka watoto wao shule zenye malezi bora

    Uongozi wa kituo maalum cha kulelea watoto cha Bero Kids (Bero Kids Day Care) kilichopo jijini Dar es Salaam wakiwa katika picha ya pamoja mgeni rasmi na wahitimu wa mahafali ya pili. Afisa Ustawi wa Jamii wa Manispaa ya Kinondoni Bi. Fatuma Juma akizungumza wakati wa mahafali ya pili ya kituo...
  13. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Kila Mtoto Ana Hadithi: Athari za Malezi Katika Safari ya Maisha ya vijana

    Malezi ni msingi wa ukuaji wa vijana na yana athari kubwa katika utu na maamuzi yao wanapokua. Kila mzazi ana mtindo wake wa malezi, lakini kwa mujibu wa wanasaikolojia kama Diana Baumrind, kuna mitindo mikuu minne ya malezi: Mabavu (Authoritarian), Mwenye Upendo Kupindukia (Permissive), Mwenye...
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Malezi mema ndio msingi wa maadili mema

    Jamii Imetakiwa Kuwa na Mashirikiano Katika Kulea Watoto Ili Kuwakuza Katika Maadili Mema. Ushauri huo umetolewa na katibu wa kamati za maadili kutoka Jumuiya ya Maimamu Zanzibar JUMAZA Abdallah Mnubi Abass wakati akizungumza na wanawake wa kiislamu huko tomondo mshelishelini Wilaya ya magharibi...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Safari ya Malezi Bora wakati huu wa likizo

    Wakati wa likizo ni fursa ya kipekee kwa mzazi au mlezi kujenga uhusiano bora na mtoto. Huu ni muda wa kumfundisha ujuzi muhimu kama vile usafi, kupika, kuogelea, au hata kutembelea maeneo ya kufurahisha. Mbali na hilo, likizo ni wakati wa kuonesha upendo kwa mtoto wako, kumfundisha kujieleza...
  16. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Malezi ya watoto sikuizi mabaya sana

    hellow weekend SIkuizi malezi yamekuwa mabaya sana sana sijui ni uzungu kipindi chetu nilikuwa naenda shule mwenyewe na narudi mwenyewe wakati uho nina miaka 6 na napajua nyumbani na najua majina ya wazazi wangu pia mtu maarufu pale mtaani najua Sikuizi watoto wanaenda shule wanapelekwa na...
  17. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa kiume anaweza kujisimamia mwenyewe, wa kike usithubutu utalia! Hii ni kweli kipindi hiki cha digitali?

    Wakuu, Katika uzi wangu uliopita niliuliza wazazi wapo kundi gani kwenye malezi ya watoto na digitali, kama wataruhusu watoto kutumia simu kwa kuwapo mwongozo au kuwa wakoloni na kuacha wakikua mpaka chuo ndio watumie simu. Nilishangazwa na baadhi ya majibu wakisema kwa mtoto wa kiume haina...
  18. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Je, Watoto wanaolelewa bila vipigo hawana maadili?

    Kwa nchi yetu Tanzania vipigo kwa watoto inaonekana ni jambo la kawaida sana, na huku baadhi wakipongeza jambo hilo kwa kuona ndio msingi bora wa malezi kwa watoto unaowafanya kuwa na maadili, hofu, kusikiliza na kutekeleza maagizo ya wazazi aidha kwa kutaka au kutokutaka kwa kuogopa kuadhibiwa...
  19. Jamaa Fulani Mjuaji

    JamiiForums Tanzania Wazazi tumefeli wapi katika malezi ya watoto wa "2000" tujisahihishe

    Wanajukwaa Nakuja Hapa kwa Moyo Mzito Sana Na Umejaa Majonzi Makali Mno Hasa Watoto wa Kike kwa Kizazi Hiki Cha 2000. Mabinti wengi Karibia 85% waliozaliwa 2000 Wameshaharibika naongea nikiwa na ushahidi Tosha na Asilimia Yote hiyo mabinti wanatumia "LAINI MBILI" au "WANAPIGA MIGUU YOTE" tena...
  20. Choosen Branch

    JamiiForums Tanzania Hili suala la malezi ya hivi limekaaje?

    Habari za muda huu wanajukwaa? Ipo hivi niliwahi kuwa kwenye mahusiano na mshichana mmoja anayetokea ukanda wa kaskazini, msichana huyo pia alikuwa akisoma chuo kimojawapo huko Arusha. Sasa kilichokuwa kikinishangaza licha ya tabia yake kuwa njema na mcha Mungu mzuri lakini bado wazazi wake...
Back
Top Bottom