malezi

Malezi School is a private educational institution based in Nairobi, Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Mwanamke sahihi wa kuoa: mapenzi yenu 10%, Malezi 80%, zinazobaki ni utimamu wa akili

    Ushauri huu nilipewa na rafiki yangu ambae ni mtu wa india wakati bado tupo vijana, mwanamke sahihi wa kuoa sio yule unaempenda sana, lakini mapenzi lazima yawepo angalau kwa asilimia kumi, ukiangalia katika nchi ambazo zina ndoa nyingi zinadumu sana basi india ndo inaongoza duniani, japokua kwa...
  2. Oscar Wissa

    JamiiForums Tanzania Wahenga Wafikiri Upya Kuhusu Malezi

    Katika kizazi hiki cha Generation Z na Alpha, Mtoto anaweza kutangulia kuona jua kuliko mzazi, kupitia AI, Coding, Robotics, Media Literacy, Digital ethics, Financial literacy. Wahenga wamepigwa na butwaa.
  3. Damaso

    JamiiForums Tanzania Big Yes ama Big No

    Huyu single mama amezidi sasa ni muda atafute bwana. Hii ni form ya child abuse na sexually abuse tu. Hii sio kazi wala jukumu la kijana wako. Loh bora hizo zingine hii ya fan big NO.
  4. fact only

    JamiiForums Tanzania Marekani sio sehemu sahihi zaidi Kwa malezi

    Habari wakuu. Hapa kariakoo nina marafiki kadhaa ambao Kwa asilimia kubwa wameishi Marekani tabia/mwenendo yao inasikitisha na kutisha at the same time they have a Terrible/Awful/Terrifying/Horrible Behavior. Further more hata baadhi ya watoto wao wa huko nao ni vile vile mfano watoto wa Will...
  5. Bacteriophage

    JamiiForums Tanzania Athari zinazopatikana kwa mtoto alielelewa na Single mother

    Kuna baadhi ya wanawake (single mothers) ambao wao wanaamini ya kwamba wana uwezo wa kulea watoto Peke yao bila ya usaidizi kutoka kwa mzazi mwenza(baba). Na hii imekua ni sababu ya wanawake hao kukataa kuendelea kuishi kwenye maisha ya ndoa wakiamini ya kwamba wana uwezo wa Kusimama Peke yao...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa kuhamasisha maadili mema na malezi bora katika jamii

    Katika dunia ya sasa yenye changamoto nyingi za kimaadili, ni wajibu wa kila mzazi, mlezi na taasisi kuhakikisha watoto na vijana wetu wanalelewa katika msingi wa maadili mema, heshima, utu, na uwajibikaji. ✅ Maadili mema ni nguzo ya maendeleo ya jamii yoyote. Jamii isiyo na maadili hudhoofika...
  7. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Vigezo Vyakwamisha Usajili Baadhi ya Vituo vya Malezi ya Watoto

    Vigezo Vyakwamisha Usajili Baadhi ya Vituo vya Malezi ya Watoto
  8. c_alphonce

    JamiiForums Tanzania Malezi ya watoto

    Mtoto akiwa na hasira na wasiwasi hawezi kujifunza. kifuniko cha juu cha ubongo Cortex hujifunga katika mazingira ambayo mtoto anawasiwasi na hasira. Kwa hiyo katika hali hiyo hawezi kuelewa Chochote; mtoto hujifunza vema katika nyakati walimu na wazazi wamejenga mazingira rafiki na salama...
  9. Tanganian

    JamiiForums Tanzania Naomba kuchangia hoja aliyoleta Mheshima Dkt. Dorothy Gwajima , kuhusu kuchangia malezi ya watoto hasa mzazi wa kiume

    Kwanza nitangulize shukrani zangu za dhati kwa Mwenyezi Mungu . Pili ,kwa Mheshimiwa huyu kuwa karibu sana na jamii , napenda aendelee kuwa katika nafasi hii kwa vile anajua wajibu . Naomba kutambua mchango wa wadau wote humu ndani kwa michango yao , kwa pamoja katika kuchangia hoja ...
  10. Donatila

    JamiiForums Tanzania Watoto wa 'single mama' kizazi cha Leo kisicho na malezi

    Habari wakuu, Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu... Jamani ukweli acheni na usemwe, kama Kuna watoto ambao hawana maadili huko mtaani basi kabisa ijulikane ni watoto ambao wamelelewa na single mama... Nasemaje hili kundi la wanawake ambao wamezaa tu bila kuwa na wanaume hao...
  11. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Hivi jamii ya sasa ya Tanzania kuna watu wana maadili, malezi bora, Imani na lugha za staha?

    Maadili ni neno pana ila linaloeleweka kiasi kwamba ukizungumza kuhusu maadili kikawaida mtu atafikiria moja kwa moja matendo mema Katika jamii ya sasa ya kitanzania sijui kama kuna watu wema wenye matendo mema, lugha za staha, malezi bora na mavazi ya heshima kama wapo ni asilimia chache sana...
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania Huyu fundi umeme kaacha alama kwenye nyumba hii

    Sija jua jina la fundi ila nimeona kaacha alama ndani ya jengo.
  13. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Wanaume na wazazi wenye watoto wa kiume, hii imeshawahi kuwatokea?

    Ulivyokua kijana na kipindi cha balehe (teen age), mahusiano yako na baba yako yalikuwaje? Nina watoto wa kiume wapo kipindi cha balehe na hawaivi kabisa na baba yao, japo hapo zamani walikua wana ukaribu sana. Ugomvi hauishi, kila kitu kidogo lazima watoto wapate mihemuko au wapate hasira na...
  14. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Jamvi la malezi: Wazazi tunatengeneza watu wakatili wenye kuumiza wengine ukubwani

    “Uwezekano wa binadamu aliyekulia kwenye mazingira yenye upendo, furaha na amani kuwa mbabe, katili anayefurahia na kukejeli maumivu ya wenzake ni sawa na sifuri. Ukatili si asili yetu. Nadra sana binadamu kuzaliwa katili isipokuwa inapotokea kazaliwa na hitilafu za kibaiolojia.” Mwisho wa...
  15. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Familia Kubwa, Changamoto Kubwa: Ukweli Usiosemwa Kuhusu Malezi ya Watoto Wengi

    Katika jamii nyingi za Kiafrika, ikiwa ni pamoja na Tanzania, kuzaa watoto wengi huonekana kama ishara ya baraka, fahari, na hata ujasiri wa kifamilia. Misemo kama “mtoto ni zawadi ya Mungu” au “familia kubwa ni hazina” husikika kila kona ya mtaa. Lakini katika zama hizi za mabadiliko ya...
  16. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania If I Were Not Who I Am Today! — Kama Nisingelikuwa Niliye Leo!

    Kama nisingekuwa niliye leo, huenda nisingeweza kuandika maneno haya kwa uhuru, kwa undani na kwa kujiamini. Huenda ningekuwa mtu wa kukata tamaa kwa urahisi, ningeishi maisha ya kuigiza, nikijaribu kufurahisha kila mtu isipokuwa nafsi yangu. Lakini niweza kukua, kujifunza, kuanguka, na kusimama...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Kizazi kipya kinaelimika zaidi lakini kimeharibika zaidi. Je, tatizo ni Elimu au Malezi?

    Leo hii tuna vijana wengi waliomaliza shule, wana vyeti, wanaweza kutumia mitandao kwa ufasaha—lakini nidhamu iko chini, maadili yameporomoka, na heshima kwa wazazi au jamii haipo kama zamani. Je, tatizo ni mfumo wa elimu unaotoa maarifa bila malezi? Au ni familia zinazokimbizana na maisha hadi...
  18. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Jinsi Malezi ya Wazazi Wanaweza Kumuunda Mwanamke Mzuri wa Kuoa

    Katika safari ya kutafuta mwenza wa maisha, jambo moja ambalo halipaswi kupuuzwa ni malezi aliyoyapata mwanamke. Ingawa kila mtu anaweza kujifunza na kubadilika, msingi wa tabia, maadili, na mtazamo wa maisha mara nyingi hujengwa kupitia malezi ya wazazi. Mwanamke mzuri wa kuoa mara nyingi...
  19. Uzalendo Club Tanzania

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa uanzishaji wa Taasisi ya Uzalendo na Malezi Tanzania (TUMT)

    TAARIFA RASMI | MCHAKATO WA KUANZISHA TAASISI YA KITAIFA YA UZALENDO NA MALEZI TANZANIA (TUMT) Kwa mujibu wa haja ya dharura ya taifa katika kujenga msingi imara wa maadili, uzalendo wa kweli, na malezi chanya ya kizazi kijacho, Klabu ya Uzalendo Wilaya ya Kibaha imeanza rasmi mchakato wa...
  20. Dr leader

    JamiiForums Tanzania Ukatili katika malezi

    UKATILI KATIKA MALEZI Katika sayansi ya saikolojia ya ukuaji wa mtoto, kuna ukweli mmoja usiopingika: mtoto huchukua sauti ya mzazi wake kama sauti ya dunia. Anaposikia matusi badala ya busara, anapopigwa kupita kiasi badala ya kuelekezwa, anapolaaniwa badala ya kufundishwa,mtazamo wake wa...
Back
Top Bottom