malengo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    Natafuta Binti mzuri kwa ajili ya urafiki na uhusiano wenye Malengo

    Wapendwa nawasalim. Katika hali ya u serious natafuta binti makini kwa ajili ya urafiki na ikipendeza kua nae kwenye mahusiano yenye future. Itapendeza sana muhusika akiwa na miaka 24 - 29. Na awe anajishughulisha na kazi halali. Binafsi niko serious 30yrs nimeajiriwa na ninajitegemea...
  2. Fungua Milango ya Mafanikio: Hatua Muhimu za Kutimiza Malengo Yako

    Ndugu zangu wa Jamii Forums, Leo nimeamua kuanza safari ya kushirikiana nanyi kuhusu mafanikio na jinsi mtu anaweza kufikia malengo yake. Mara nyingi tunasikia watu wakisema "nataka kufanikiwa," lakini wengi hawajui wanapaswa kuanzia wapi au ni nini cha kufanya ili kufika kule wanakotamani...
  3. Nina wazo la kuanzisha social site lakini nakosa washirika wa ku push hili kwa pamoja na kufikia malengo

    Nina wazo la kuanzisha social site lakini nakosa washirika wa ku push hili kwa pamoja na kufikia malengo.
  4. Malengo yangu nitakayoyatimiza nikifikisha miaka 40

    Ndoa stable kabisa ambayo iliyopitia magomvi kadhaa lakini haijawahi kuwa na tishio lolote la kuachana. Watoto wa 4 huku wa kwanza wao akiwa na miaka 18,yaani wawili wa kike na wawili wa kiume. Nyumba yangu iliyozungukwa na eneo lenye ukubwa wa hekari 1 na humo ndani nitakuwa nifanya maendeleo...
  5. TRA yaweka Rekodi Mpya. Yakusanya Trilioni 7.79 kati ya Julai na Septemba 2024

  6. L

    Ikulu: Rais Samia afanya mazungumzo na Mkuu Wa Jeshi la Polisi Nchini, Camillius Wambura

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Amefanya Mazungumzo Mazito Sana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camillius Wambura Ikulu ya Dar es salaam. Hii ni baada ya kupita siku chache alipotoa hotuba nzito sana katika...
  7. Israel yajitwisha mzingo mwengine wa malengo ya vita. Huu ni mzito zaidi kuliko ya Gaza

    Watu zaidi ya laki moja waliohamishwa kaskazini ya Israel kwa hofu ya Hizbullah sasa wamekuwa ni ajenda kubwa inayojadiliwa na viongozi wa nchi hiyo. Kwanza watu hao wamekuwa mzigo kwa uchumi kwani wamewekwa kwenye maeneo kama hoteli kwa malipo ya serikali.Vile vile maeneo yaliyohamwa ni...
  8. PPAA yatoa elimu kuhusu majukumu, malengo na mafanikio yake kwa Umma kwa Wadau zaidi ya 1,000

    Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imeshiriki katika Kongamano la 16 la Ununuzi wa Umma la Afrika Mashariki Jijini Arusha. Kongamano hilo lilianza tarehe 9 – 12 Septemba 2024. PPAA imeshiriki pia kufanya maonesho ya kutoa elimu kuhusu majukumu, malengo na mafanikio yake kwa umma na...
  9. N

    NBC imenipotezea malengo yangu

    Salaam moja kwa moja kwenye mada! Wiki mbili zilizopita nilipata bahati ya mzigo kwa bei rahisi! Basi nikawa na pesa nusu ya kuulipia na nusu iliyobaki nikaona nikope hii NBC! Na kumuahidi muuzaji ndani ya siku tano tu nitamalizia nikiwa na uhakika na hii bank hasa baada ya kuamini matangazo yao...
  10. Jiwekee Malengo yatakayokufanya uamke asubuhi kuyatimiza

    Nafahamu kuwa kila mtu ana malengo yake. Lakini watu wengi wameshindwa kutimiza malengo yao kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo kusubiri kusaidiwa ama kushikwa mkono na watu. Hata Serikali huwa inasaidia pale ambapo wananchi wameonyesha nguvu zao hasa kwenye kata. Wewe umeonyesha nini au...
  11. Wataalamu wa Blender3D: Tukutane Hapa kwa Malengo ya Pamoja!

    Natumai ujumbe huu unakukuta salama. Nia na madhumuni ya kuweka bandiko hili ni kutafuta watu wenye ujuzi wa Blender3D 3D Artists kama modelling, animation, CGI VFX etc. Lengo ni ku organize ili ku achieve na kufikia malengo na kutimiza ndoto kupitia 3D. Natafuta watu wenye ujuzi wa Blender3D...
  12. Serikali imewataka wananchi kufanya maamuzi mazuri ya matumizi ya kifedha kulingana na malengo waliyojiwekea, ikiwemo kuweka akiba

    ELIMU YA FEDHA: KUIBUA MABADILIKO YA KIFEDHA KIGOMA Na Chedaiwe Msuya,WF, Kigoma Serikali imewataka wananchi kufanya maamuzi mazuri ya matumizi ya kifedha kulingana na malengo waliyojiwekea, ikiwemo kuweka akiba, kupanga matumizi, na kudhibiti deni, ili kuepuka changamoto za kifedha...
  13. A

    SoC04 Namna ya kufikia malengo ya melinia

    NAMNA YA KUFIKIA MALENGO YA MAENDELEO YA MILENIA Malengo ya maendeleo ya milenia ni seti ya malengo yanayolenga kuboresha maisha ya watu duniani kote.ingawa malengo yenyewe yamebadilishwa na malengo endelevu ya maendeleo (SDGs),bado tunaweza kujifunza na kuweka mikakati jengefu kufikia malengo...
  14. Kama Kompany ameweza kuwa kocha wa Bayern basi tambua hata wewe una nafasi ya kufikia malengo yako tu kwa viwango usivyotarajia

    We pambana pambana tu, mishe huzaa mishe nyingine kukuletea mishe nyigine kutoka katika mishe nyingine.
  15. Tanzania kujenga jengo la biashara Kinshasa

    Kwa wale ambavyo angalau ngeri inapanda hebu pitieni kidogo hicho kipande cha gazeti. === Serikali inaanza mradi kabambe wa kujenga majengo ya makazi, rasmi na biashara katika nchi kadhaa kwa lengo la kuongeza mapato kwa ajili ya Wizara ya Mambo ya Nje. Akiliomba Bunge kupitisha bajeti ya...
  16. Fanya kwa kusudi na ongozwa na malengo ili kujenga utajiri mkubwa

    Rafiki yangu mpendwa, Hadithi za kulala masikini na kuamka tajiri zimekuwa zinapendwa sana na watu wengi. Wengi hudhani kuna njia ya mkato ya kupata utajiri, ambayo wakiweza kuipata tu basi wanakuwa wameagana na umasikini kabisa. Lakini ukweli ni kwamba hakuna utajiri mkubwa wa kudumu...
  17. Nimempa ujauzito msichana nisiye na malengo naye

    Mwezi Mmoja umepita baada ya kumtumia, lakini yeye pia alichangia ni msichana anae onesha kunipenda sana. katengeneza mazingira Hadi nikaingia mkenge wa kuzini nae marakadhaa. Ndio kwanza namaliza chuo sifaham majukumu ni nini. Hili swala linanipa mawazo Hadi nashindwa ku focus na masomo...
  18. Hii ndio sababu kubwa kwa nini ujiwekee malengo yasiyowezekana kwenye maisha yako

    Kama unaamini Mungu ni wa Yasiyowezekana, alafu wewe unavimalengo vinavyowezekana, au unaogopa kukusudia jambo kubwa linaloumiza kichwa, humuamini huyo Mungu. Malengo au lengo lisilowezekana katikati ya malengo yako litakusaidia kwanza wewe ubadilike ili litokee. Wewe kabla ya kutekeleza na...
  19. Malengo ya Mbio za Mwenge yabadilishwa, Sasa hivi wanauzungusha tu na kufanya Matamasha

    Jambo hili jipya limeonekana Msimu huu baada ya mbio hizo kujaza Wasanii na matapeli maarufu kutoka D'Salaam kila unapokuwepo Mwenge huo Katika uchunguzi wetu hatujaona miradi yoyote inayozinduliwa na mwenge huo unaoitwa wa Uhuru , zaidi ya kuona sare zenye picha ya Rais na gwaride la Askari...
  20. Che Malone:Ni ndoto ya kila mchezaji duniani kote kushinda mataji na kucheza kwenye timu kubwa yenye malengo makubwa

    Nakutakia kila la kheri Kaka.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…