Wanabodi leo ni Juni 1, 2025. Nusu ya mwaka imekatika.
🎯 Malengo Yako Mwaka 2025 – Je, Upo Njia Sahihi?
Tukumbushane wanabodi.
Muda hausubiri mtu; na uzee ndiyo unasogea.
Ni wakati mzuri wa kujipima, kujikagua na kujisukuma zaidi.
✅ Jiulize Maswali Haya:
- Niliweka malengo gani mwezi...