N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 8,261
- 12,661
Wanabodi leo ni Juni 1, 2025. Nusu ya mwaka imekatika.
🎯 Malengo Yako Mwaka 2025 – Je, Upo Njia Sahihi?
Tukumbushane wanabodi.
Muda hausubiri mtu; na uzee ndiyo unasogea.
Ni wakati mzuri wa kujipima, kujikagua na kujisukuma zaidi.
✅ Jiulize Maswali Haya:
- Niliweka malengo gani mwezi Januari?
- Ni lipi limefanikiwa? Liko hatua gani?
- Nimejifunza nini hadi sasa?
- Ni tabia gani zinanikwamisha?
- Nifanyeje kwa miezi 6 ijayo ili kufikia kilele au hata robo au nusu ya safari?
Mambo unapaswa kufanya sasa:
○Usikate tamaa,
○Badili Gia: Boresha mpango wa utekelezaji
○ Fanyia kazi udhaifu uliouona
○ Pata mshauri au mshirika wa kukuinua (kama ni lazima kufanya hivyo, vinginevyo jifunze kwa kuona na kufanya utafiti-tumia intaneti kupata taarifa sahihi za jambo lako)
○ Tambua mafanikio madogo – yasherehekee
MY TAKE
Nusu ya mwaka si mwisho, ni ukumbusho kuwa bado unaweza kufanikisha kila lengo ulilolichora na kulipangilia. FOCUS & WEKA PEMBENI VITU VINAVYOKUPOTEZEA MUDA. UKIWEZA HAMISHA GOLI.