malalamiko

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kutolipwa Pesa za Kujikimu kwa Watumishi wa Ajira Mpya (Idara ya Afya) Manispaa ya Kigoma/Ujiji

    Sisi watumishi wa Idara ya Afya tulioajiriwa tarehe 23 Juni 2025 katika Manispaa ya Kigoma/Ujiji, tunatoa malalamiko yetu rasmi kuhusiana na kutolipwa kwa pesa zetu za kujikimu ambazo kisheria na kiutaratibu zilipaswa kulipwa mara baada ya kuajiriwa. Hadi kufikia sasa, tumetumikia kwa kipindi...
  2. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Wadau Kesho naenda Vatican City kumpelekea malalamiko Papa. Kitendo alichofanya Padre kimenikwaza sana

    Padre ananiambia niache uzinzi, anahubiri anasema mimi ni mdhambi sababu nawatolesha Mimba mademu ambao nawagegeda kisha wakipata mimba solution ni moja. Toa. Haya mambo ni kupangiwa na mabeberu wananionea wivu sababu mimi ni kidume cha mbegu. Wanataka waafrika tuwe wachache wao wawe wengi...
  3. opondo

    JamiiForums Tanzania Nimepanga nisome open university degree ya ICT, Lakini malalamiko ya watu humu ni Mengi je ni uhalisia?

    Mimi ni mtumishi, Nilipata ruhusa ya kwenda masomoni lakini sikwenda kwasababu ya ukiritimba uliopo halmashauri kwamba ukienda masomoni basi uwezi kupanda daraja, na Mimi napanda daraja Mwakani, nimetimiza miaka mitatu ya ajira Sasa, naona nikasome kitu kingine, passion yangu ni Mambo ya...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Makato ya Mkopo na kutorejeshewa fedha

    Mahali pa Kazi: Wilaya ya Meru, Mkoa wa Arusha Ninatoa malalamiko yangu hadharani dhidi ya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) kuhusiana na makato ya mkopo yaliyofanyika kimakosa na kutorejeshewa fedha hadi sasa. Historia ya Masuala ya Elimu na Ajira: Mwaka 2010, nilichaguliwa kujiunga na...
  5. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Kama waumini kupeleka malalamiko yao Vatican ni ulofa, njaa na upumbavu, kwanini Kanisa Katoliki linahangaika kujisafisha?

    Friends and Our Enemies, Kanisa Katoliki kupitia kiongozi wao Ruwaichi limeingia kwenye vita kali ya maneno na majibizano na waumini wake mara baada ya waumini hao kuandaa maandiko na kuyapeleka VATICAN ambako ni makao makuu ya kanisa hilo kuwashitaki viongozi wa kanisa hilo wa hapa nchini kwa...
  6. Damaso

    JamiiForums Tanzania Malalamiko ya Malofa kwa Papal Nuncio

    Ni takribani siku nne, kumekuwa na mjadala mzito umeibuka baada ya taarifa kuwa vijana wawili wanaodai kuandika barua ya malalamiko kwa Balozi wa Vatican (Papal Nuncio), Archbishop Angelo Accatino wakimshtaki Padre Charles Kitima. Tukio hili limeibua maswali makubwa si tu juu ya madai yenyewe...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Songea: Baada ya malalamiko ya Wananchi, RC wa Ruvuma afanya ziara kukagua Soko la Bombambili na masoko ya Manzese A

    Baada ya Wananchi na Wafanyabiashara kulalamika kuhusu hali duni ya mazingira katika Soko la Bombambili, Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Abbas Ahmed Abbas amefanya ziara ya kukagua soko hilo pamoja na masoko ya Manzese A na B yaliyopo Manispaa ya Songea. Katika ziara hiyo, Mkuu wa...
  8. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania ICPC yapokea malalamiko kutoka Aliko Dangote dhidi ya CEO wa NMDPRA

    Tume huru ya kuzuia rushwa na makosa mengine yanayohusiana (ICPC) inapenda kuthibitisha kuwa leo jumanne tarehe 16 desemba, 2025 imepokea rasmi malalamiko (petition) kutoka kwa alhaji aliko dangote kupitia wakili wake. malalamiko hayo yanamlenga mtendaji mkuu (CEO) wa nmdpra, Alhaji Farouk Ahmed...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Malalamiko ya Wananchi kuhusiana na Uongozi, Uchaguzi na Rasimali za Taifa

    Malalamiko ya Wananchi wa Taifa hili siku zote imekuwa kutokuwa na Haki katika chaguzi, uongozi mbovu wa KUSIMAMIA RASIMALI za nchi ili ziwanufaishe wananchi Lakini huyu Shetani mla damu za watu mkatili anajidanya sikio la kufa hasikii na Wala hataki kumsikiliza wananchi wake yeye anachojua ni...
  10. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Magereza yajibu malalamiko ya CHADEMA kuzuiliwa kumuona Lissu gerezani

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema viongozi wake wamezuiwa kumwona mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu aliyepo katika Gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam. Lissu yupo mahabusu kwa kesi ya uhaini inayomkabili kwa takriban miezi minane sasa, tangu alipokamatwa Aprili 2025...
  11. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Malalamiko ya Serikali na majibu ya EU

    SERIKALI IMEENDA KULIA BUNGE LA ULAYA INAOMBA HAKI YA KUSIKILIZWA. Hii ni barua rasmi ya wasiwasi iliyoandikwa na Balozi wa Tanzania mjini Brussels tarehe 25 Novemba 2025, ikielekezwa moja kwa moja kwa Bunge la Ulaya. Jambo kuu: Tanzania inapinga vikali mjadala uliopangwa kufanyika tarehe 26...
  12. uhuruborn

    JamiiForums Tanzania Kwako Greson MSIGWA Wajibu wa Serikali ni Kutoa Ukweli na Siyo Malalamiko

    Tulitarajia kuona Serikali ikitoa ushahidi wa kina hasa picha za satelaiti 🛰️, vielelezo vya kitaalamu, na maelezo ya kiuchunguzi ili kuonesha kwamba madai ya mauaji yaliyotolewa na CNN, BBC, Al Jazeera hayahusiani na Tanzania bali na maeneo mengine kama Sudan. Lakini badala yake, tunachokiona...
  13. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Msigwa alisema serikali inachunguza video kisha itatoa ufafanuzi lakini imekuja na malalamiko ya kutangazwa kimataifa tu na sio ufafanuzi wa video

    Msigwa alisema serikali inachunguza video kisha itatoa ufafanuzi lakini imekuja na malalamiko ya kutangazwa kimataifa tu na sio ufafanuzi wa video. Aidha vyombo vya kimataifa vili itafuta serikali kabla ya kuripoti ili kutoa ushirikiano lakini serikali iliingia mitini kwa siku takribani 25 sawa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 TEC: Hasira za wananchi zimechangiwa na kukosekana kwa sehemu ya wao kupeleka malalamiko pindi haki zao za msingi zinapokiukwa

    Kanisa Katoliki Nchini, kupitia kwa Rais wa TEC Askofu Wolfgang Pisa limetoa tafakuri ya pamoja ya Maaskofu wa Kanisa hilo, kufuatia tafakari na sala walizofanya kwa takribani siku nne (4) kuanzia Novemba 11 hadi 14, 2025 Wamesema kuwa hasira za wananchi zimechangiwa na kukosekana kwa sehemu ya...
  15. Zehoes

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mimi na Mke wangu tunatishiwa kuuawa kwa tuhuma za uongo

    Mimi, mwalimu katika Shule ya Sekondari Likongowele, Wilaya ya Liwale, kwa heshima kubwa napenda kuwasilisha malalamiko haya kwa mamlaka husika kuhusu hali ya usalama wangu pamoja na familia yangu. Kwa muda mrefu sasa tumekuwa tukikabiliwa na tishio kubwa la usalama (hata kuuwawa) kutokana na...
  16. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwana CCM amuandikia Msajili wa Vya Siasa barua ya Malalamiko ya UKIUKWAJI wa taratibu za kupata Mgombea Urais wa CCM

  17. O

    JamiiForums Tanzania Nini kimewapumbaza Watanzania hadi wakaamini kwamba Rais Samia atasikiliza maoni, ushauri na malalamiko yao!?

    Katika kipindi hiki cha utawala wa Samia, ushauri kwake umekuwa mwingi mno na matarajio kwa wananchi yamekuwa makubwa sana. Wengi wamekuwa wakiamini atabadilika: mara “Mama rekebisha hili,” mara “Mama sikiliza hili,” mara “Usiwategemee washauri wako wanakupotosha,” mara “Mama, jichunguze vizuri...
  18. R

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Fatma Karume: Upinzani unahitaji wadau siyo Malalamiko

    Fatma Karume kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa X-Twitter ameandika kuwa " Vyama vya Upinzani vinapaswa kujenga uhusiano thabiti na wadau wakubwa wa ndani ya nchi ili kupata nguvu na rasilimali za kuendesha harakati zao. Kuishambulia CCM pekee si mkakati wa ushidi angalieni mfano wa Trump...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO Katavi (hasa Mpanda) wanakata umeme bila taarifa, ni kawaida kukatika asubuhi kisha unarudi jioni

    TANESCO wamekuwa na kawaida ya kukata umeme bila mpangilio, hali ambayo inasababisha wanaunguza vitu vyetu, hiyo imekuwa tabia yao hawasemi tatizo, wanaporudisha wanaweza kuendelea na "mchezo" wa kukata na kuwasha ndani ya muda huohuo, hii inakera sana. Kuna wakati ratiba zao za kukata umeme...
  20. Last sentinel

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Bado tunapata changamoto ya kupata AVN namba, NACTE wanajibu kwa lugha mbaya

    Hellw jf,kuna shida bado tunapata.Bado tunapata changamoto ya kupata AVN number na matokeo yametumwa,ukifika nacte kuongea nao wanakujib vibaya wakitumia lugha mbaya.Ni sawa ni taasis ya serikali lakin customer care yao na jinsi wanavyojib wateja sio vizuri.
Back
Top Bottom