malalamiko

  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Misri yawasilisha malalamiko rasmi FIFA kupinga uamuzi wa waamuzi dhidi ya Argentina

    Shirikisho la Soka la Misri limewasilisha rasmi malalamiko likitaka kufanyika kwa uchunguzi kuhusu maamuzi ya waamuzi katika mchezo wao wa Kombe la Dunia dhidi ya Argentina uliomalizika kwa kipigo kwa Misri. Rais wa Shirikisho hilo, Hany Abo Rida, ameamua kupinga uamuzi wa mwamuzi wa Ufaransa...
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Malalamiko ya CAG kwa nini TRA wasiwekwe kuwa waendesha miradi.

    Kaka Pascal Mayalla umeeleza kuhsu TRA. Ila mda unavyozidi kwenda mimi nawazo kuhusu ufanisi wa TRA wanavyoweza kuona kila mfanyabiashara anapata faida. kwa nini hii miradi na pesa zinazopotea mfano mashirika mengi ya serikali pesa zinapotea wasiwe wao kama ndio wanafanya hii kazi. Ili pato...
  3. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Hii nchi vipi, imekuaje Kila Kona ni malalamiko na vilio?

    Aisee imekaaje hii, mbona Kila kitu kimekua hovyo. Vilio Kila Kona imekaaje hii?
  4. Kijukuu cha Tanzania

    JamiiForums Tanzania Mbunge Eric Shigongo Asema Atayafikisha Mahakamani Malalamiko ya Watumiaji Kuhusu Bando za Intaneti

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ametangaza dhamira ya kulifikisha mahakamani suala la malalamiko yanayoendelea kutolewa na watumiaji wa huduma za intaneti kuhusu bando kuisha au kukatwa kabla ya muda wanaotarajia. Hatua hiyo imekuja baada ya kusambaa kwa video ya Niffer akielezea changamoto...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa BCEG Mbezi Beach tunashukuru Mamlaka Kufanyia Kazi Malalamiko yetu

    Siku chache zilizopita tuliwasilisha malalamiko kuhusu changamoto tulizokuwa tunakumbana nazo katika eneo letu la kazi la BCEG Mbezi Beach, ikiwemo madai ya makato ya michango ya NSSF kutowasilishwa pamoja na masuala mengine ya ustawi wa wafanyakazi. Hoja ya awali ~ Waziri wa Ujenzi na RC wa...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nauli za Daladala Arusha: Tsh. 1,000 badala ya Tsh. 700?

    Kuna malalamiko sana kuhusu nauli za dadadala mjini Arusha. Daladala zinatoza nauli Tshs 1000 badala ya nauli elekezi ya Tshs 700. Mamlaka zipo kimya kwenye hili. Simu zikipigwa hawapokei. Je hii ni sahihi? Tunaziomba mamlaka zilitazame hili jambo limekuwa mwiba mchungu kwa wanachi wa...
  7. konrad

    JamiiForums Tanzania KERO Kwanini cheti cha kuzaliwa kutoka RITA kifanyiwe uthibitishaji kila unapohitaji huduma katika taasisi tofauti za serikali?

    Mimi changamoto yangu ni utaratibu huu mpya wa RITA wa kuhitaji uthibitishaji (verification) wa cheti cha kuzaliwa kila mara unapohitaji huduma katika taasisi za umma. Mfano, unapohitaji huduma kutoka Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB), NHIF au NIDA, unatakiwa kufanya uthibitishaji wa cheti...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini joto Malalamiko ya Muungano linapanda sasa?

    Katika kipindi cha wiki za hivi karibuni, mjadala kuhusu mustakabali wa Muungano wa Tanzania umeibuka kwa nguvu ndani ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar, huku masuala ya uhuru wa kifedha, ajira kwa wazawa na upatikanaji wa huduma za kijamii yakichochea mijadala mipya kuhusu uhusiano kati ya...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko yangu kuhusu Kampuni ya Ulinzi ya Rampart iliyopo Nyakato, Mwanza juu ya kazi, mishahara na mazingira

    Ninafanya kazi katika kampuni hii kwa zaidi ya miaka mitatu, lakini hadi sasa bado ninadai mishahara ya kipindi kilichopita ambayo sijalipwa. Mbali na kucheleweshwa kwa mishahara, hivi karibuni uongozi wa kampuni ulifanya kikao na kutangaza kuwa wafanyakazi waliokuwa wakilipwa mshahara wa...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded NACTVET wana huduma mbovu katika kuwasiliana na wateja wao

    Nina malalamiko yangu kwa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) kuhusu huduma ya mawasiliano kwa wateja. Kumekuwa na changamoto kubwa ya kutopokelewa simu tunapowasiliana na ofisi zao kwa ajili ya kupata msaada au ufafanuzi wa masuala mbalimbali. Mara nyingi...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Isamilo, Mwanza: Wakazi wa mtaa wa Maendeleo tunasumbuliwa na wanaoegesha malori kwenye mageti yetu

    Sisi wakazi wa Isamilo, Mtaa wa Maendeleo, tunawasilisha rasmi malalamiko yetu kuhusu kero kubwa inayotukabili katika eneo letu la makazi. Kuanzia mwezi Aprili, 2026, jirani yetu mmoja amefungua gereji isiyo rasmi (garage bubu) ndani ya mtaa huu wa makazi, na ameigeuza kuwa sehemu ya kupakia na...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mpimbwe: Watumishi tulioajiriwa JUNI 2022 hatujapandishwa madaraja wala kulipwa Malimbikizo ya Mishahara

    Watumishi walioajiriwa mwezi Juni 2022 katika Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe tunaomba haki yetu ya msingi itendeke. Pamoja na kutimiza wajibu wetu wa kazi kwa uaminifu, hadi sasa wengi wetu hatujafanyiwa utaratibu wa kupandishwa madaraja kama sheria na taratibu za utumishi wa umma...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko ya Kuachwa na Basi la Katarama Luxury T 431 EHW Licha ya Kuwahi Kituoni – Naomba Kurejeshewa Nauli

    Nilikata tiketi online tarehe 08 Mei 2026 kwa ajili ya safari ya tarehe 09 Mei 2026 kutoka Dar es Salaam kwenda Kahama. Kituo nilichopangiwa kupandia ni Mlandizi. Nilifika kituoni mapema saa 14:15 nikisubiri basi, lakini basi lilichelewa kufika na lilifika baada ya saa 1:30. Cha kusikitisha...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mirathi yetu inacheleweshwa kulipwa bila sababu za msingi na Kitengo cha Malipo ya Mirathi

    Hivi, Hela ya mirathi inapocheleweshwa kulipwa na mahakama wakati hatua zote zimefatwa, na wakati huo umeshafikisha malalamiko mpaka kwa mkuu wa malipo ya mirathi na bado mnazungushwa, ni hatua gani ya kufata ama ya kufanya? Ni muda mrefu pesa yetu ya mirathi tunazungushwa kulipwa na sababu...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ukatili Shalom Center, Kisongo - Arusha

    Napenda kuwasilisha malalamiko rasmi kuhusu hali ya watoto wanaolelewa katika kituo cha watoto yatima kinachojulikana kama Shalom Center, kilichopo Kisongo, Arusha. Kwa masikitiko makubwa, kuna taarifa zinazoonyesha kuwa watoto katika kituo hicho wanakumbana na vitendo vya ukatili na...
  16. Little Fingers

    JamiiForums Tanzania Malalamiko Katika Kura za Maoni kwenye Uchaguzi Mdogo Jimbo la Isimani, Iringa

    Baadhi ya wajumbe walioshiriki katika kura za maoni za uteuzi wa Mgombea Ubunge Jimbo la Isimani kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) wameibuka na malalamiko wakidai kutoridhishwa na mchakato uliotumika kuwashindanisha wagombea hao. Wajumbe hao wamesema kuwa kuna viashiria vinavyoibua wasiwasi juu...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko ya Nyongeza ya Ada ya EXTENSION kwa Wanafunzi wa Shahada ya Umahiri (MASTERS) – UDSM

    BARUA YA WAZI KWA WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA NA TUME YA VYUO VIKUU TANZANIA (TCU) KUHUSU MALALAMIKO YA NYONGEZA YA ADA YA EXTENSION KWA WANAFUNZI WA SHAHADA YA UMAHIRI (MASTERS) – CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM YAH: MALALAMIKO KUHUSU NYONGEZA YA ADA YA EXTENSION KWA WANAFUNZI WA...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kuhusu ucheleweshaji wa kurejeshewa fedha za tiketi za safari zilizoahirishwa kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC)

    Tunapenda kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu ucheleweshaji wa kurejeshewa fedha za tiketi za safari zilizoahirishwa kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC) kwa kutumia reli ya kisasa (SGR). Kwa muda wa zaidi ya miezi minne sasa, bado hatujarejeshewa fedha zetu. Kila tunapowasiliana na huduma kwa...
  19. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mwigulu, malalamiko ya Wananchi kuhusu ukosefu wa Dawa na Takwimu zisizo na ukweli yasipuuzwe

    Katika Mkutano wako uliwahi kuhoji kwanini takwimu zinasema utoshelevu wa dawa ni 95% kwenye vituo huku asilimia 90 ya wananchi wanalalamika hakuna dawa. Mkutano aliofanya Mchengerwa ulikuwa ni mkutano wa kujisafisha na yeye ndio waziri mwenye dhamana, as we speak, hapaswi kuendelea kuwa...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko juu ya wahudumu Cashiers wa Mwendokasi Kimara

    Kiukweli Mimi hii hali ya wakatisha tiketi wa mwendokasi kituo cha kimara kuweka salio kwenye kadi tofauti na kiasi cha fedha inanikata sana. Mara ya kwanza nilidhani ni bahati mbaya lakini mpaka sasa ninathibitisha kua ndo michezo yao, kwanza hawatoi risiti, Mara ya pili nilitoa elfu tatu...
Back
Top Bottom