Tipwa Tipwa wamebaki kwa ajili ya burudani tu za kutolea stress za mihangaiko.
Wengine Unakutaga wanahagaika in their 20s, wanauza utu kwa ajili ya starehe na pesa za kuhongwa, wakishafikia 35 sasa ndio wanaanza kutafuta mabwana na kuja na nyuzi humu wakitafuta wazee wa miaka 50 maana wanajua...
Hii ni screenshot kutoka kwenye ukurasa wa IG unaotumiwa na Gerson Msigwa ambaye ni Msemaji Mkuu wa Serikali na Karibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo👇👇
Mapaka saa 6 na nusu mchana wa leo post ilipendwa na watu 907, huku watu 676 wakitoa maoni yaa.
Wengi waliotoa maoni wanaonesha...
Bwana Yesu alipokuwa Gethsemane alisema,"Baba,kama ikiwezekana,sitaki kukinywa hiki kikombe cha mateso. Lakini Mapenzi yako yatimizwe,siyo utashi wangu.".
Sasa hapa kuna ubishi kwamba hiyo haki ya kupiga kura kistaarabu Mamlaka iombwe au watu wanapaswa kuchakarika?
Bila shaka hii ni baada ya ku saini.
Kwamba?
Walisema wajaluo better late than never, ngoja tuone.
Bila shaka kwa kila "yallah ..," yumkini lile jiwe la utosini, mja litakuwa limemfika vilivyo!
Pia soma: Pre GE2025 - Wapongezwe CHADEMA kwa kutosaini kwa uchaguzi kama na hili la kutohoji...
Kitendo cha Chadema kukataa kushiriki kusaini kanuni za maadili uchaguzi 2025 ni ishara njema.
Hii ni ishara kubwa kuwa hii sio Chadema ya waganga njaa ambo wapo kwa ajili ya matumbo yao.
Kama viongozi waandamizi wa CCM kama Diallo , Nape na yule Disii aliyetimuliwa walitamka wazi kuwa CCM...
Wakisali ni makelele makubwa sana, mpaka unashangaa, hivi haiwezekani wakiomba waombe kwa Sauti za kawaida tu na sio kupayukapayuka?
Wakianza kuabudu sasa, muziki utawekwa full blast, buzuki kubwa sana halafu ndani ya kanisa unakuta wako watu wanne tu wa familia Moja, hapo watapiga makelele...
Baada ya kufanikiwa kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Mbeya, Elias Mwanjala amewahakikishia wana Mbeya na wapenzi wa soka kiujumla kushirikiana na serikali ili kuufanyia marekebisho makubwa Uwanja wa Sokoine hususani eneo la kuchezea (pitch) kwani Uwanja huo si...
Matatizo mapya makubwa Tanzania ni
1. Rushwa. Rushwa ya uongozi hata kwa viongozi wa usalama ndiyo sababu ya wizi wa kura na mambo ya namna hiyo. Kutokuwa na adhabu kwa walarushwa wa serikali za kutosha na wanasiasi kununua hata wapinzani nayo ni rushwa.
2. Uongozi mbovu Mama Samia kashidwa...
Hili swali la kiufundi sana. Kwamba tunazuia uchaguzi kwa kuwa huko watu wanakufa, hatutaki waendelee kufa.
Lakini tunataka kuwatumia watu hao hao kupambana na majeshi ya nchi kuzuia uchaguzi. Hiyo ni akili au matope? Obvious watadhurika watu wengi.
Miaka ile ya 90 shuleni ilikuwa walimu wakiona tunasimamisha sana minara usiku gizani wala hawahangaiki nasi. Kesho yake utakuta chakula cha mchana kinanuka mafuta ya taa. Jioni kinanuka mafuta ya taa.
Wapishi wanafanya uzembe wanamwagia mafuta ya taa kwenye maharage. Utaenda kushtaki hakuna...
Hapa kuna makundi ya wahamiaji yenye mafanikio zaidi nchini Marekani, kulingana na kipato, elimu, na taaluma:
1. Wahindi wa Amerika
• Kipato cha Kati cha Kaya: ~$150,000 (cha juu zaidi)
• Elimu: ~79% wana shahada ya kwanza au zaidi
• Taaluma: Sayansi ya kompyuta, tiba...
Ikiwa bado unajikuta kwa shida za kifedha, soma hii kwa makini. Wengi wanaishi umaskini si kwa bahati mbaya, bali kwa TABIA ZA KIBOVU.
Haya ndio makosa makubwa ambayo yataendelea kukufanya uwe maskini milele:
1️⃣ UNATUMIA ZAIDI YA UNAPATAPATA
Unapata ₦50K, lakini maisha yako yanahitaji...
Amani kwenu wakuu
Iran kashasoma nyakati yupo kama hayupo na mimi pia namwombea akae kwa kutulia hivyo hivyo, maana wale wababe wa Dunia wana mtafuta kwa nguvu nyingi sana
Anapitia majaribu makali sana lakin hana budi kunyenyekea na kutulia na kuutazama msalaba
Atulie hivyo hivyo...
Jana kuna sehemu nimeenda, nikakuta ndala zile kandambili za 2000 zinauzwa 5000, kuuliza haipungui nkaambiwa haipungui alafu muuzaji akaendelea kujisnap.
Kuna maduka ukienda, bidhaa ambayo kariakoo kwa mchina unaipata labda kwa 5000 huko unaikuta 10,000 haswa maduka ya sinza.
Unaenda lodge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.