makubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Serikali ikomeshe biashara ya wizi wa mafuta kwenye magari makubwa maeneo ya Manyoni na Singida

    Wilaya ya Manyoni mkoani Singida inakabiliwa na tishio kubwa la kiusalama na kiuchumi kufuatia kushamiri kwa mtandao hatari wa wizi wa mafuta unaofanywa na baadhi ya madereva wa magari makubwa ya masanduku na yale ya kusafirisha mafuta kuelekea mikoa ya jirani na nchi za nje. Uchunguzi na...
  2. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya fundi mechanic magari makubwa

    Tunatafuta Fundi Magari Makubwa mwenye uzoefu wa kutengeneza Engine na Gearbox za malori na magari makubwa, hususan yale ya Kichina. Sifa zinazohitajika:
• Uwe na uzoefu wa kutengeneza engine za malori na magari makubwa.
• Uwe na uwezo wa kufanya matengenezo na overhaul za gearbox.
• Uwe...
  3. JamiiForums Tanzania Twende na ukweli haujawahi ku-date na mdada mwenye makalio makubwa zaidi ya miezi 7

    average ya muda mdada mwenye makebo makubwa kukuvumilia ni miezi mitatu hadi sita, kuongeza na mwezi mmoja wa wewe kulia lia ili mrudiane ni miezi 7. Ukiona mdada mwenye makebo makubwa yupo na wewe mwaka mmoja hadi miwili ujue ana pata uhuru wa wewe kutomfatilia na yeye kuridhika na mfuko wako...
  4. JamiiForums Tanzania Madhara makubwa zaidi ya bawasiri ni hali ya bawasiri kubadilika na kuwa seli Za KANSA

  5. S

    JamiiForums Tanzania Jiandae mabadiliko makubwa sana ya kiuchumi yanakuja duniani kati ya sasa na kuendelea

    Kwanza kabisa niseme kuwa hayo niliyoandika hapo chini ni summary kwa mujibu wa yale ambayo Mungu anawaonyesha watu wake katika ulimwengu wa roho na kwa hiyo sifa heshima utukufu arudishiwe Mungu na si mwanadamu awaye yeyote yule. Ni upendo mkubwa sana wa Mungu kuwa hutujulisha wanadamu yale...
  6. JamiiForums Tanzania Prisoner’s dilemma” na siasa za madola makubwa

    Katika nadharia ya mchezo (game theory), mojawapo ya mifano maarufu zaidi ni “mtanziko wa wafungwa” (Prisoner’s Dilemma). Mfano huu unaonyesha jambo la msingi: mataifa au watu wawili wanaweza kushirikiana ili wote wanufaike, lakini hofu ya kusalitiwa huwafanya wachague kujilinda wenyewe, hata...
  7. JamiiForums Tanzania Sherehe na maandano makubwa ya Mashoga Duniani yamefanyika Tel Aviv Israel baada ya kusimama kwa miaka miwili

    Moja kwa moja. Hatimaye jana Tarehe 12 /6 /2026 lile parade kubwa na maarufu zaidi la Mashoga Duniani "Pride Parade" limefanyika Tel Aviv , baada ya October 7 kutokana na tishio la kiusalama tamasha Hilo kubwa la LGBTQ halikufanyika limekuja tena kufanyika mwaka huu na inakadiwa watu takribani...
  8. JamiiForums Tanzania Kama hayati JPM kwa miaka mitano alifanya makubwa taifa lake, je angekaa miaka kumi ingekuwaje? Angekuwepo Bandari ya Dar isingebinafishwa kwa Mwarabu

    Hili halipingiki hata kidogo nalipo dhahiri na wazi kabisa. Cha kwanza kabisa alihakikisha anakusanya fedha na fedha zitumzwe kwenye mfuko wa taifa ili mafisadi wasikwapue kama huko nyuma. Fedha za umma zilitumika ipasavyo bila ujanja ujanja. Miradi ya kimkakati ilisimamiwa ipasavyo Mfano Sgr...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Tanzania kati ya mataifa 10 yenye madeni makubwa Afrika

    Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi 10 zenye madeni makubwa katika Bara la Afrika ikishika nafasi ya nane kwa kuwa na deni kubwa la nje, huku nchi ya Misri ikiongoza kwa kuwa na deni la zaidi ya dola bilioni 7.2 (Sh 18.76 trilioni). Taarifa iliyotolewa na Shirika la Utangazaji la Uingereza...
  10. JamiiForums Tanzania Nitajie nchi za Afrika tokea kupata uhuru au sehemu nyengine urusi ilivyounga mkono nchi zikawa na maendeleo makubwa ya kutisha

    Sawa ni super pawa ila sijawahi kuona sehemu urusi anapounga mkono pakawa salama zaidi ya watu kupitia mateso,vita visivyo kuwa na ukomo,maendeleo yanakuwa kwenye jeshi tu na watawala wala sio wananchi. Tukiwachekea hawa tuna ungana na historia za wengine.
  11. JamiiForums Tanzania Kwa masikitiko makubwa naandika huu uzi

    Nimeamua rasmi kuondoka JF.🙏🏼 Nimegundua ninapoteza muda mwingi sana humu ndani, nitawamiss sana Wakuu. 👋 Nitarudi baada ya dakika 10
  12. X

    JamiiForums Tanzania China yaingia rasmi soko la memory chip (DDR5) na gaming GPU. Samsung, SKhynix, Nvidia, Micron na AMD tumbo joto

    Hivi karibuni China imeandika historia mpya ya teknolojia duniani. Kwa miaka mingi Marekani, South Korea na Taiwan zilikuwa The Big 3 Cartel walitawala GPU na memory chips. Wakiamua supply, wakipandisha bei, na dunia nzima ikalazimika kufuata. Sasa China imevunja ukuta huo. Enzi ya kutegemea...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Ulega: Serikali imejenga zaidi ya Kilometa 1,495.45 za Barabara kiwango cha lami na madaraja makubwa 18 ndani ya Miaka 5

    Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imefanikiwa kujenga kilometa 1,495.45 za barabara kwa kiwango cha lami pamoja na madaraja makubwa 18 ndani ya kipindi cha miaka mitano, hatua iliyoelezwa kuwa mafanikio makubwa katika sekta ya miundombinu nchini...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwa familia nyingi au ni chache tu nazozijua yule mtoto aliekuwa hapewi mategemeo makubwa ndie anakuwa tegemezi hapo baadae.

    Huenda walikuwa watundu sana, au wakaonekana wenye kiburi, au wazazi waliwapuuza hata walipokuwa watiifu na wenye heshima. Lakini ukubwani, mambo yanakuwa tofauti, unakuta wanabeba mizigo ya familia kuanzia uchumi hadi usimamizi wa kila jambo.
  15. X

    JamiiForums Tanzania Safari ya Trump yaonyesha Marekani inaihitaji sana China

    Kwa China kila goti litapigwa. Trump yuko safarini kuelekea China kukutana na the most powerful person in the world Xi Jinping. Trump amebebana na CEOs wa makampuni makubwa ya Marekani kwenda China, haijawahi kutokea. This is absolutely insane. Elon Musk, Tesla and SpaceX CEO Jensen Huang...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Unahisi kukija kuwa na maandamano mengine makubwa ni kipi kitabadilika kuwa tofauti na October 29 ?

    Kwa upande wako unaona ni kipi kinaweza kubadilika
  17. JamiiForums Tanzania Huwa nashangaa sana ila kila mdada mwenye makebo makubwa lazima awe na besti yake huyo mwembamba ambae ni kama waziri wake wa ulinzi na mawasiliano

    Ukimuita tu dada mwenye makebo makubwa uanshangaa yeye lazima aje wa kwanza utafikir umemuita yeye, kila sehemu unakuta anamshika mkkono ila tu auze nae sura na kumpa ushauri wa kila mwanaume anaemtaka. Looh! Yeye ndio haji manara wake, yanj muda mwingine unajikuta unakosa fursa ya kutafuna...
  18. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kweli kuwa wale wanaume wenye makebo makubwa ni masuala la hormones?

    Wakuu, inasemekana kuwa mwanaume mwenye makebo makubwa Kunauwezekano mkubwa kuwa amasharuhusu wahuni kuzama gentani mwake. Watu wengine wanadai kuwa huenda mwanaume kuwa na makebo makubwa husabanishwa na masuala la hormones. Watu wengine wanasema ulaji wa hovyo; kubugia chipsi, ni Moja ya...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wenye asili ya uweusi wanapendelea wadada wenye makebo makubwa ila vijana wa ngozi nyeupe wanapendelea wadada wenye maanabeli makubwa?

    Ni ishu ya DNA au tu mazoea. Maana huku kwetu wadada wenye makebo mapana ndio habari ya mjini ila wazungu ni mabinti wenye maanabeli mapana.
  20. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanawake wenye makebo makubwa wanazidi kuongozeka kwa kasi tanzania? Kuna wakati wanawake waliokuwa nayo kawaida au flat kabisa

    Najjiuliza ni genetics, diet,? Ama nini? Kwa maana wadada wenye mishepu inazidi kuwa kwa kasi kulko miaka ya 90, 2000 huko
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…