makosa

Makossa is a Cameroonian style of urban music. Like much other late 20th century music of Sub-Saharan Africa, it uses strong electric bass rhythms and prominent brass. In the 1980s makossa had a wave of mainstream success across Africa and to a lesser extent abroad.
Makossa, which means "(I) dance" in the Douala language, originated from a Douala dance called the kossa. Emmanuel Nelle Eyoum started using the refrain kossa kossa in his songs with his group "Los Calvinos". The style began to take shape in the 1950s though the first recordings were not seen until a decade later. There were artists such as Eboa Lotin, Misse Ngoh and especially Manu Dibango, who popularised makossa throughout the world with his song "Soul Makossa" in 1972. The chant from the song, mamako, mamasa, maka makossa, was later used by Michael Jackson in "Wanna Be Startin' Somethin'" in 1983. Many other performers followed suit. The 2010 World cup also brought makossa to the international stage as Shakira sampled the Golden Sounds popular song "Zamina mina (Zangalewa)".
Makassi is a lighter style of makossa.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ukosefu wa ajira, makosa ni ya Serikali, Jamii au mtu mwenyewe?

    Katika jamii na taifa kwa ujumla kuna tatizo kubwa la ukosefu wa ajira. Watu wengi: waliohitimu mafunzo na wenye taaluma pamoja na wasio wahitimu pia wasio na mafunzo, hawana kazi za kufanya. Kwa vyovyote vile, hali hii si nzuri kwa ustawi wa mtu mmoja mmoja, jamii au taifa. Suala la kazi au...
  2. JamiiForums Tanzania Makosa yanayofanywa na wanaume wengi kwenye kumvutia mwanamke

    Kuamini kuwa na mwanamke anavutiwa sana na mwonekano tu Kwa sisi wanaume tunavutiwa na mvuto zaidi, lakini mwanamke anavutiwa nawe kutokana na vile anavyojisikia akiwa nawe. Akijisikia amani, usalama kujiachia kwako basi unampata/ kumtunza kirahisi. Lakini usipomfanya mwanamke ajisikie usalama...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kwa namna Gerson Msigwa alivyofanya propaganda issue ya mabehewa ya TRC naamini soon ataondolewa kwenye nafasi yake; alikosea Sana kushabikia makosa

    Nadhani wasemaji wa serikali katika sekta mbalimbali waanze kuwa wachunguzi kabla ya kutoka kusema. Issue ya mabehewa Gerson alikuwa na uwezo wakuwaachia TRC wapambane nayo kupitia Afisa habari wao lakini yeye alibeba Bango nakuwa mstari wa mbele. Leo hii Yale yaliyosemwa na jamii ndiyo...
  4. JamiiForums Tanzania Sabaya amekiri makosa yote yaliyokuwa yanamkabili na Uhujumu Uchumi. Walionyanyaswa na Sabaya waende wapi Kushitaki?

    Anaandika Malisa GJ Sabaya amekiri makosa yote yaliyokua yanamkabili. Uhujumu uchumi ameomba "plea bargaining" na ametakiwa kulipa faini ya milioni 5. Yani fedha zote alizodhulumu kwa wafanyabiashara, watu binafsi na taasisi, faini yake ni milioni 5 tu. Makosa mengine Mahakama imempata na hatia...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Chanzo zcha ajali za mabasi ya abiria ni abiria wenyewe

    Ajali za barabarani zinaepukika ukiachilia mbali matatizo ya kibinadamu. Kuna sababu nyingi sana zimekuwa zikitajwa, lakini mimi niseme mbali na sababu zote hizo zinazotajwa chanzo kikubwa ni abiria wenyewe. Sijui ni ukosefu wa elimu ya kwa Watanzania au kudharau au kuona muda wote Mungu yupo...
  6. JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya aibu sana kwa Utawala wa Hayati Magufuli baada ya Sabaya kukiri alikuwa akitumwa kutekeleza uovu

    Sabaya alikuwa anatamba kwamba misheni zake alikuwa anatumwa na jiwe. Leo amekiri, kwa hakika ni siku ya aibu sana kwa utawala wa Hayati Magufuli. Mimi kama mfuasi wa Jiwe, Leo nimekuwa na siku mbaya sana baada ya Sabaya kukiri uhalifu mbele ya mahakama. Alikuwa anafanya uhalifu na kikosi kazi...
  7. JamiiForums Tanzania Guinea: Madaktari wafungwa miaka 35 kwa makosa ya Kubaka, Kuua na Kutoa Mimba

    Mahakama Nchini #GuineaBissau imetoa adhabu hiyo baada ya kubaini kuwa Madaktari hao walihusika na matendo hayo dhidi ya M'Mah Sylla, aliyebakwa akiwa Hospitali na kuhamishiwa kutibiwa Nchini Tunisia mwaka 2021. Waliohukumiwa ni Daniel na Patrice Lamah ambao wamepea kifungo cha miaka 15 jela na...
  8. JamiiForums Tanzania Marekani: Donald Trump ashtakiwa kwa makosa 34

    Licha ya kufunguliwa mashtaka hayo ya kughushi nyaraka za biashara ikiwemo malipo haramu ya Dola 130,000 kwa Staa wa filamu za ngono Stormy Daniels, Trump amewaambia wafuasi wake kuwa hana hati. Akizungumza akiwa nyumbani kwake Florida baada ya kutoka Mahakamani Jijini New York, Trump amesema...
  9. JamiiForums Tanzania Historia ya TANU siku zote imeandikwa na makosa

    ''Mwalimu Nyerere na Historia'' (1980) Kitabu cha Prof. G.A. Mhina Kitabu hiki nimekuwancho kwa miaka mingi sana. Lakini kwa kuwa ni kitabu cha picha nilikisoma mara moja tu katika miaka ya 1980 na kikabakia Maktaba. Sikukigusa tena. Jana nimeona picha za TANU katika mtandao na haraka...
  10. JamiiForums Tanzania RC Mtaka ataka wanafunzi wanaofanya makosa wafukuzwe shule

    Mtaka ni kama ana serikali yake ambayo haiendani na ya CCM na Samia, hivi mtoto unamfukuza shule ili iweje? Kwanza ni mtoto, anahitaji malezi na maangalizi. Kwa aina ya waalimu tulio nao, hivi unawapa mamlaka yote hayo? Mtaka ni moja ya members wazuri wa magrupu ya Chadema, na huwa mchangiaji...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kutofanya kumbukizi ya Magufuli ni makosa yataigharimu CCM

    Amekufa na ila mnataka kujifanya hakuwepo wala hamkumbuki. Haya good move kwakweli.... Who is chadema who is ccm
  12. JamiiForums Tanzania Watoto wa siku hizi hawajui kabisa enzi zetu uliweza kuchapwa kwa sababu zifuatazo...

    Watoto wa siku hizi hawajui kabisa enzi zetu unaweza kuchapwa kwa sababu zifuatazo: 1. Unalia sababu umechapwa, utachapwa tena 2. Umechapwa ukulia utachapwa tena 3. Ukijililia tu bila kupigwa, utachapwa 4. Kusimama wakati wazee wameketi, utachapwa 5. Ukiketi wakati wazee wamesimama. utachapwa...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Makosa ya miaka mitano ya Hayati Magufuli yanasahihishwa sasa. Hongera CHADEMA kwa kuongoza hili kwa ufundi mkubwa

    Kumekuwa na mijadala mikubwa ikiendelea nchini sasa kuhusu yale yanayoitwa maridhiano ya kisiasa. Kimsingi ni maridhiano kati ya chama tawala na vyama vya upinzani. Lakini haikupaswa kuwa hivyo tu, wapo watu binafsi, mashirika na makampuni binafsi na hata baadhi ya nchi ambazo kipindi cha...
  14. JamiiForums Tanzania Mbeya: Ndani ya Februari – Machi 2023 makosa 284 ya ubakaji yameripotiwa

    Makosa ya udhalilishaji na ukatili yaliyoripotiwa Februari hadi Machi 2023 Mkoani Mbeya jumla ni 284, yakiwemo ya 70 ya ubakaji na Ulawiti matukio 37. Mchanganuo wa takwimu hizo ndani ya kipindi hicho, Makosa ya Ubakaji; Mbeya Jiji ni 70, Mbalizi (37), Chunya (77), Rungwe (33), Kyera (34) na...
  15. JamiiForums Tanzania Maono yangu kuhusu ushoga na jinsi ya kukomesha

    Duniani SIRI hakuna tena, kila kitu kipo wazi hata na uliyemtumia meseji kapiga screen shot siku ukijisahau akuumbue. Usiri ulikuwa unaepusha vitu vingi sana,(Walikuwa wanaumia wacache kuliko sasa hivi ukiweka SIRI wazi ndo inaumiza zaidi kuliko ungetoa habari kwa SIRI au ukaacha). sasa hivi...
  16. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi hukosa wapenzi kwa kufanya makosa haya wanapokutana mara ya kwanza (first date)

    Umekutana na mwanamke ukapata namba yake na mkapanga mkutane mara ya kwanza mahali ili muongee/ mle/ mpate kinywaji. Kuna muda hili jambo linatia mawazo sana. Unajiuliza utafanyaje ili umpate kabisa umuweke ndani Kukutana na mwanamke mara ya kwanza huwa ni kwa ajili ya kujuana zaidi. Sio kwenye...
  17. JamiiForums Tanzania Feisal kutoheshimu maamuzi ya TFF anaendelea kufanya makosa ya kiufundi yatakayomgharimu wakati Yanga wakiendelea kumlipa mshahara kama mtego

    Baada ya Fesal kuangukia pua tena kwenye Review ya hukumu iliyotolewa kati yake dhidi ya mwajiri wake klabu ya Young Africans sasa twende Moja kwa moja kwenye mada. Klabu ya Yanga inaendelea kumlipa Feisal mshahara kama mtego wa kiufundi utakaokuja kumgharimu baadaye kama hatotaka kutumia...
  18. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wameharibu mahusiano yao bila kujua kwa kufanya makosa haya

    Ni muhimu kujua makosa ili usiyarudie/usiyafanye. Ukishaondoa makosa, kinachobaki ni vitu vizuri. Pia kuna makosa yatakayomfanya mwanamke wako kupoteza mvuto kwako. Ataanza kujitenga nawe. Nawe utaanza kulazimisha penzi mwisho wa siku anakublock, anakunyima penzi au anakuchunia kabisa. Hivyo...
  19. JamiiForums Tanzania R. Kelly ahukumiwa kifungo cha miaka 20 kwa uhalifu wa Kingono

    R. Kelly amehukumiwa kifungo kingine cha miaka 20 huko Chicago kwa kesi yake ya uhalifu wa ngono ya mtungo. Mwimbaji huyo alikuwa katika mahakama ya shirikisho huko Illinois ambapo miaka 19 kati ya miaka hiyo atatumikia kifungo sawa na kifungo anachotekeleza sasa. Waendesha mashtaka...
  20. JamiiForums Tanzania LATRA mtoe adhabu inayomhusu mhusika, mabasi mliyoyafungia hayana makosa, igeni wafanyavyo trafiki

    Trafiki hawawezi kulifungia gari kwa kosa la kutowasha taa usiku, watamuadhibu dereva. Mabasi mliyoyafungia hayana hitilafu yoyote tatizo ni madereva walizima ving'amuzi, hivyo madereva wangeadhibiwa. LATRA hayo mabasi yapo barabarani kwa mikopo benki na wamiliki wanatakiwa wailipe hiyo mikopo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…