Kolo warudia makosa yale yale ya usajili wa msimu uliopita

Algore

JF-Expert Member
Apr 26, 2020
2,097
3,362
Kolo aka mbumbumbu fc sijui ni lini watakuwa makini na usajili. Kila msimu ukitia ndani msimu huu, wameendelea kusajili magarasa tu. Sasa hivi wanahangaika na Djuma Shaban, Yanini Bangaiza, na Lomalinda. Hivi vibabu vitawafikisha wapi nyie kolowizadi?
 
Yule kocha aliewaita nyani amewashika pabaya, hawawezi kusajili
 
FB_IMG_1682646137959 (1).jpg
 
Sasa hivi wanahangaika na Djuma Shaban, Yanini Bangaiza, na Lomalinda. Hivi vibabu vitawafikisha wapi nyie kolowizadi?
Aisee! Ghafla tu Lomalisa ameshakuwa kibabu kuliko Mkude? Si tulikubaliana kwamba Simba imejaza wazee na Yanga imejaza vijana? Si vijana wa Yanga wanakwenda Simba na wazee wa Simba wanakwenda Yanga sasa?
 
Back
Top Bottom