makosa

Makossa is a Cameroonian style of urban music. Like much other late 20th century music of Sub-Saharan Africa, it uses strong electric bass rhythms and prominent brass. In the 1980s makossa had a wave of mainstream success across Africa and to a lesser extent abroad.
Makossa, which means "(I) dance" in the Douala language, originated from a Douala dance called the kossa. Emmanuel Nelle Eyoum started using the refrain kossa kossa in his songs with his group "Los Calvinos". The style began to take shape in the 1950s though the first recordings were not seen until a decade later. There were artists such as Eboa Lotin, Misse Ngoh and especially Manu Dibango, who popularised makossa throughout the world with his song "Soul Makossa" in 1972. The chant from the song, mamako, mamasa, maka makossa, was later used by Michael Jackson in "Wanna Be Startin' Somethin'" in 1983. Many other performers followed suit. The 2010 World cup also brought makossa to the international stage as Shakira sampled the Golden Sounds popular song "Zamina mina (Zangalewa)".
Makassi is a lighter style of makossa.

View More On Wikipedia.org
  1. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Ukituliza Akili Utagundua Kuna Makosa Tulikuwa Na Nafasi Ya Kuyaepuka Ikiwemo Haya Makosa Matatu

    Niko Kilomita zaidi ya elf nane (8, 000 km) kutoka jiji langu la Dar lenye pilika nyingi zinazoninyima nafasi ya kuandika mawazo yangu yawe mchango kwa wengine wanaopambana kama mimi kuwa bora kiuchumi, kiafya, kiimani na kifamilia au kijamii kwa ujumla. Nikiwa hapa Guangzhou (China) kusaka...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zilizofuta Adhabu ya Kifo kwa Makosa yote

    1981 - Cape Verde 1990 - Msumbiji, Namibia, Sao Tome 1992 - Angola 1993 - Guinea-Bissau, Seychelles 1995 - Djibouti, Mauritius 1997 - Afrika Kusini 2000 - Ivory Coast 2004 - Senegal 2007 - Rwanda 2009 - Burundi, Togo 2010 - Gabon 2015 - Congo-Brazzaville, Madagascar 2016 - Benin 2017 - Guinea...
  3. McCord

    JamiiForums Tanzania Hakuna kabisa dawa ya makosa yakututakasa ila damu yake Yesu

    Anayeijua hii tenzi anisaidie kwa kuipata na kama ana link ya audio anisaidie
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa bado sijaona makosa ya Hayati Magufuli labda kosa alilonalo ni kuipenda Tanzania kwa maisha yake na huo ndio upendo wa kweli.

    Mpaka sasa najaribu kutafuta makosa ya Hayati JPM nikiri kusema sijaona makosa yoyote labda pengine macho yangu yameamua kuangalia yanayopendezwa nayo au kwa sababu nyingine yoyote ila sijaona. Nakumbuka Hayati aliwahi kusema alikuwa anafuatwa na makandarasi na kumuahidi mabilioni ya shilingi...
  5. KENGE 01

    JamiiForums Tanzania SoC03 Makosa yetu ndio maradhi yetu, Afya ni mtaji

    MAKOSA YETU NDIO MARADHI YETU UTANGULIZI Wasomaji Nawasalimu kwa jina la JMT,Kazi iendelee. Kwanini nasema makosa yetu ndio maradhi yetu?Kwasababu makosa mengi tuyafanyayo kwa kujua au kutokujua ndio yanatuletea maradhi na Magonjwa.Jamii inawatu mbalimbali wanaoishi maisha ya kutofautiana...
  6. Mcqueenen

    JamiiForums Tanzania Makosa ambayo watu wengi hufanya katika kujenga au kujibu hoja humu jukwaani

    Kupitia mijadala mingi humu jukwaani,nimegundua watu wengi hawajui kujadiliana na mara nyingi hoja zao huwa na makosa,kasoro au upotofu. Ni tofauti na mijadala ya Quora au reddit inavyoenda. Kasoro za kimantiki ni makosa yanayotokea wakati hoja au maelezo yanayotolewa hayafuati misingi ya...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Makosa ya Musiba, hayalingani na tamaa ya Membe!

    Sitetei chochote kuhusu yaliyojiri kumhusu mh Membe yakimhusisha mmiliki wa magazeti ya Tanzanite kumdhalilisha mh Membe kwa kumchafua, na sipangani na sheria yoyote ya nchi iliyotumika, ila naiona tamaa kubwa isiyo na mantiki kutoka kwa mh Bernard Membe ya kutaka ujira mkubwa usiolingana na...
  8. econonist

    JamiiForums Tanzania Tusirudie tena Makosa Kwenye mchakato wa Katiba Mpya

    Waziri wa katiba na sheria ameshatangaza rasmi kwamba mchakato wa katiba mpya utaanza mwezi wa Saba mwanzoni. Nilikuwa na ushauri kwamba makosa yaliyopelekea mchakato wa katiba mpya mwaka 2014 kukwama yasijirudie. Nimeanisha makosa Kama yafuatayo: 1. Tume ya katiba ndio ipewe mamlaka ya...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa JATU PLC aomba kukiri Makosa kwa DPP

    Peter Gasaya (33) anayekabiliwa na mashtaka mawili likiwemo la kujipatia Tsh. Bilioni 5.1 kwa njia ya udanganyifu, amemwandika Mkurugenzi wa Mashitaka Tanzania (DPP) barua ya kukiri na kuomba apunguziwe adhabu. Gasaya alishtakiwa kwa makosa ya kujipatia fedha hizo kutoka katika Saccos ya JATU...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Master Nabi anabaki kuwa mmoja tu, arudii makosa mara mbili, kawaonyesha Rivers leo

    Kocha Nasridine Nabi ni kocha wa viwango, ni kocha asiyetabirika, ni kocha master sana wa kuusoma mchezo na kumalizia kazi yake kwa uweledi mkubwa, Leo kaingia uwanja wa Uyo na back 3 akijua rivers watakuja kwa kasi sana kwenye goli la yanga kutafuta mabao hivyo akaweka viungo wa shoka, baada ya...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mhasibu wa Chuo cha Nyuki Tabora ashtakiwa kwa makosa 9 ikiwemo Uhujumu Uchumi

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambambana na Rushwa (TAKUKURU) imemfungulia kesi Leonard Wilson Chishomi katika Mahakama ya Wilaya ya Tabora mkoani humo kwa makosa ya kutumia nyaraka kwa lengo la kumdanganya mwajiri kinyume na Sheria. Makosa mengine ni Ubadhirifu na Ufujaji wa Mali ya Umma kinyume na...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwenu ACT Wazalendo, msifanye makosa yaliyofanywa na CHADEMA ya kuratibu maandamano na migomo. Jikiteni kwenye mikakati na mipango

    Ushauri huu ni mahususi kwa ajili ya ACT Wazalendo na vyama vingine vyenye muelekeo kama huu wa kuratibu maandamano na 'attention seeking' na nimetumia neno 'attention seeking' kwa sababu za ushiriki wao wa siasa za matukio ,kunapokuwa na tukio Chama kinaibuka na baadae kinapotea. Kwa mazingira...
  13. Engager

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume unaemkataza mkeo kufanya kazi unafanya makosa makubwa

    Pengine wewe ni mwajiriwa ama umejiajiri. Unauwezo kifedha. Umemzuia mkeo kufanya kazi kwa sababu wewe unamtimizia haja zake zote kifedha. Unahudumia familia, na yeye as an individual unamhudumia. Pengine zaidi ya hata angefanya hiyo kazi. Kazi kwa maana ya shughuli yoyote inayoweza kumfanya...
  14. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Ni makosa na dhambi kubwa chuo cha walemavu kugeuzwa mradi wa watu binafsi

    Nikisema niandike hapa ukurasa hautoshi, Chuo pekee Dar cha walemavu Yombo Kiwalani kinapiga Uturn badala ya kusonga mbele tangu Nyerere alipokijenga na Mzee Mengi akawa anafadhili na akajenga madarasa. Cha kusikitisha kuna mama anaitwa Mariam Chilangai yeye anakaimu ukuu wa Chuo sasa kwa miaka...
  15. O

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ukosefu wa ajira, makosa ni ya Serikali, Jamii au mtu mwenyewe?

    Katika jamii na taifa kwa ujumla kuna tatizo kubwa la ukosefu wa ajira. Watu wengi: waliohitimu mafunzo na wenye taaluma pamoja na wasio wahitimu pia wasio na mafunzo, hawana kazi za kufanya. Kwa vyovyote vile, hali hii si nzuri kwa ustawi wa mtu mmoja mmoja, jamii au taifa. Suala la kazi au...
  16. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Makosa yanayofanywa na wanaume wengi kwenye kumvutia mwanamke

    Kuamini kuwa na mwanamke anavutiwa sana na mwonekano tu Kwa sisi wanaume tunavutiwa na mvuto zaidi, lakini mwanamke anavutiwa nawe kutokana na vile anavyojisikia akiwa nawe. Akijisikia amani, usalama kujiachia kwako basi unampata/ kumtunza kirahisi. Lakini usipomfanya mwanamke ajisikie usalama...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Kwa namna Gerson Msigwa alivyofanya propaganda issue ya mabehewa ya TRC naamini soon ataondolewa kwenye nafasi yake; alikosea Sana kushabikia makosa

    Nadhani wasemaji wa serikali katika sekta mbalimbali waanze kuwa wachunguzi kabla ya kutoka kusema. Issue ya mabehewa Gerson alikuwa na uwezo wakuwaachia TRC wapambane nayo kupitia Afisa habari wao lakini yeye alibeba Bango nakuwa mstari wa mbele. Leo hii Yale yaliyosemwa na jamii ndiyo...
  18. pantheraleo

    JamiiForums Tanzania Sabaya amekiri makosa yote yaliyokuwa yanamkabili na Uhujumu Uchumi. Walionyanyaswa na Sabaya waende wapi Kushitaki?

    Anaandika Malisa GJ Sabaya amekiri makosa yote yaliyokua yanamkabili. Uhujumu uchumi ameomba "plea bargaining" na ametakiwa kulipa faini ya milioni 5. Yani fedha zote alizodhulumu kwa wafanyabiashara, watu binafsi na taasisi, faini yake ni milioni 5 tu. Makosa mengine Mahakama imempata na hatia...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Chanzo zcha ajali za mabasi ya abiria ni abiria wenyewe

    Ajali za barabarani zinaepukika ukiachilia mbali matatizo ya kibinadamu. Kuna sababu nyingi sana zimekuwa zikitajwa, lakini mimi niseme mbali na sababu zote hizo zinazotajwa chanzo kikubwa ni abiria wenyewe. Sijui ni ukosefu wa elimu ya kwa Watanzania au kudharau au kuona muda wote Mungu yupo...
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya aibu sana kwa Utawala wa Hayati Magufuli baada ya Sabaya kukiri alikuwa akitumwa kutekeleza uovu

    Sabaya alikuwa anatamba kwamba misheni zake alikuwa anatumwa na jiwe. Leo amekiri, kwa hakika ni siku ya aibu sana kwa utawala wa Hayati Magufuli. Mimi kama mfuasi wa Jiwe, Leo nimekuwa na siku mbaya sana baada ya Sabaya kukiri uhalifu mbele ya mahakama. Alikuwa anafanya uhalifu na kikosi kazi...
Back
Top Bottom