YASIYOSEMWA
Member
- Jun 1, 2026
- 68
- 149
Kumekuwa na malalamiko mengi sana katika jamii juu ya mambo Kadha wa Kadha:
1;kupungua Kwa uzalendo
2;Mmomonyoko wa maadili ambao hasa hasa unaonekana Kwa kuwa na talaka nyingi,ongezeko la masingle Maza,kutokujali haki ya kuishi
Ushoga hadharani
3;Uvivu na udhembe katika ufanyaji kazi katika ofisi ZA Umma na binafsi
4;Ukandamizwaji wa usawa wa kijamii,kiuchumi n.k
HAYA YOTE HAYAKUIBUKA GHAFLA
NI MAMBO YALIYOANZA MDOGOMDOGO HUKI JAMII IKIYAFUMBIA MACHO NA HATA PENGINE KUYASIFIA ilifikia kipindi wezi na wapiga dili waliitwa wajanja na watoto wa mjini
Sasa tunavuna matokeo...
RUSHWA,NEPOTISM NA UBINAFSI
"Mapinduzi YA kijamii yanahitajika"ili kuokoa maadili na hatima YA Kesho BoRA.