makontena

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa: Makontena ya Makinikia yanayosafirishwa nje ya nchi ni halali

    Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa amewatoa hofu Watanzania kuhusiana na kuwepo kwa makontena yenye makinikia ambayo yameonekana yakisafirishwa kwenda nje ya nchi kuwa makontena hayo yanasafirishwa kihalali. Waziri Mkuu amesema hayo bungeni Mkoani Dodoma wakati akijibu maswali ya papo kwa hapo kwa...
  2. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mnataka tuendelee kuwa na Rais wa miundombinu? Ingekuwa miundombinu ndiyo kipaumbele cha mtu wachina wasingekamatwa kwenye makontena wakizamia Ulaya

    Huyu mgombea ambaye ndiye Rais amalizaye muda wake na anaomba tena watanzania wampe tena miaka mingine 5 ili aendeleze kipaumbele chake kwenye kununua ndege, kujenga madaraja, kujenga reli, kujenga viwanja vya ndege na yanayofanana na hayo. Lakini hebu tujiulize ameyafanya hayo miaka yote 5...
  3. tikatika

    JamiiForums Tanzania Makontena ya Makonda: TRA wanatuhujumu au BANDARI wametuhujumu

    kila nikitizama picha na kuunganisha dot juu ya mnada wa makontena ya makonda na hatima yake naona kuna kamchezo pale!! mnada unashindikana kwa mara ya pili kwanini unashindikana?? sababu kubwa ni watu kutofika bei elekezi kutoka TRA. kwanini hawafiki bei? jibu ni moja mzigo hauna thaman...
  4. Ketoka

    JamiiForums Tanzania Makonda: Atakayenunua makontena yangu atalaaniwa yeye na kizazi chake! Atoa onyo kwa atakayethubutu kununua

    Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda jana alifanya ibada maalum kanisani kwa ajili ya makontena yake yenye samani za shule yanayoshikiliwa na TRA Katika ibada hiyo Makonda alionya watakao nunua makontena yake watapata laana kali Pia aliwarushia dongo TRA akisema ni watu wabaya wasio na...
  5. JoJiPoJi

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Bandari amtaja ‘mwizi’ wa makontena

    NA FARAJA MASINDE MKURUGENZI wa Mamlaka ya Bandari nchini (TPA), Mhandisi Deodatus Kakoko, amedai kuwa kampuni ya PMM Estates (2001) Ltd, inashiriki katika vitendo visivyofaa vya kuficha makontena. Mhandisi Kakoko alitoa hayo wiki iliyopita katika mahojiano maalum na RAI, ambapo alisema...
Back
Top Bottom