makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. Makonda atoa bima ya afya kwa watoto 625

    MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amegawa kadi za bima ya afya za Mfuko wa Jamii (CHF) kwa watoto yatima na waishio kwenye mazingira magumu 625. Akizungumza wakati wa kutoa bima hizo, Makonda alisema anatoa zawadi ya sikukuu za Christmas, mwaka mpya na Maulid baada ya kubaini...
  2. Sasa ni rasmi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul C. Makonda ana Akili, Elimu na Ufahamu mkubwa kuliko Watanzania wote

    Kama kuna Mtu ambaye nilikuwa nabisha na nakataa kabisa kuhusu ‘ Dhihaka ‘ za Watanzania wenye Akili nyingi dhidi ya Uelewa na Uwezo wa Maarifa aliyonayo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Paul C. Makonda basi nilikuwa ni Mimi GENTAMYCINE ila kwa nilichokisikia leo na Mimi sasa rasmi...
  3. Makonda atangaza siku za tano ukaguzi bure wa magari Dar

    Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametangaza siku tano, kuanzia Desemba 10 hadi 15, 2019 kwa wenye magari kufanya ukaguzi ili wasafiri salama kwenda mikoani kwa ajili ya mapumziko ya sikukuu za mwisho wa mwaka. Makonda ametangaza ukaguzi huo leo Alhamisi Desemba 5...
  4. Mh Makonda: Mkandarasi barabara ya Makongo shida nini!

    Ni takribani mwezi mmoja sasa umepita Tangu mlipokuja na magreda na magari mengi kuzindua ujenzi wa barabara ya MAKONGO "tarehe 1 November" Sasa tunaanza kukosa matumaini tena maana mlipoondoka siku hiyo na magari hayo nayo yakaondoka, tunaendelea kula vumbi kama kawaida! hakuna hata dalili...
  5. Kwanini wazazi wa Makonda wasijitokeze hadharani ili kuthibitisha jina halisi la mtoto wao?

    Fedheha anayoipata mtoto wao iliyosababishwa na tuhuma za kuiba jina la mtu kutokana na kufeli masomo yake ya awali ni kubwa sana. Hata kama anatengeneza hela hata za haramu lakini kwa kweli tuhuma hizi ni aibu kubwa sana kwake na kwa wazazi wake. Wanyakyusa wa Kyela wana kamsemo kao haka...
  6. Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda awaapisha Wajumbe wa Mabaraza ya Ardhi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amewataka wajumbe wa mabaraza ya Ardhi kuwa makini na watu watakaokuwa wanawasimamia, katika kutatua migogoro na kuleta usuluhishi kwa kuwa mkoa huo, umejaa watu wajanja na wanaojifanya kujua kila kitu. Hayo ameyabainisha leo Novemba 23, 2019, mara...
  7. J

    Paul Makonda akutana na Viongozi wa madhehebu na Taasisi za dini, asema anayoyafanya Rais Magufuli yanazidi maelekezo ya ilani ya CCM

    Ni katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere. Karibu! Kardinali Pengo na Sheikh wa mkoa kwa niaba ya Mufti wanauombea mkutano huo. Sasa viongozi wa dini wanaangalia mkanda wa video unaomuonyesha RC Makonda akitolea ufafanuzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo. ====== Mkuu wa Mkoa wa Dar...
  8. W

    Rais, tengua hii amri ya Makonda kuhusu unywaji pombe, inatesa wakazi wa Dar

    Ni mara ya pili sasa nakuja DSM bado nakutana na amri tata ya Mkuu wa Mkoa wa DSM ya katazo la unywaji wa hadi saa kumi jioni. Kwakweli wenye kufaidi hili katazo ni Polisi kwani wamekuwa wakitesa wananchi hasa siku ya Ijumaa kwani wakikuchukua usipotoa laki mmoja utakaa hadi Jumatatu.Kwakweli...
  9. Mshituko: Rais Magufuli, agoma kumsalimia kwa mkono Mkuu wa Mkoa wa Dar ndugu Paul Makonda

    Heshima wakuu, Katika hali ya kushangaza na kushitua, Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, J Magufuli, amegoma katakata kutabasamu wala kumpa mkono rafiki na mtumishi wake mpendwa ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Mheshimiwa Paul Makonda. Je, rais Magufuli ameshashitukia yale mambo...
  10. Makonda aungwe mkono kusaidia watoto

    MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amekuwa na kampeni ya kusaidia watoto wenye matatizo ya ugonjwa wa moyo. Kupitia kampeni hii kwa kushirikiana na wadau wengi, Makonda ameweza kusaidia watoto 45 kufanyiwa upasuaji katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete. Huu ni msaada mkubwa ambao...
  11. Makonda akabidhi Sh mil 34 upasuaji wa moyo watoto

    MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amekabidhi Sh milioni 34.5 Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete kwa upasuaji wa moyo watoto wanaotoka familia masikini. Fedha hizo zilitolewa na msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul maarufu Diamond akishirikiana na wasanii wenzake ili kuunga...
  12. RC Makonda atembelea mradi wa ujenzi wa njia nane kutoka Morocco hadi Mwenge

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo ametembelea na kukagua mradi wa ujenzi wa barabara nne mpya kutoka Morocco hadi Mwenge ambapo kukamilika kwa njia hizo kutafanya idadi ya barabara kufikia nane jambo linalotarajiwa kupunguza na ikiwezekana kumaliza tatizo la foleni kwenye...
  13. RC Makonda aagiza Kampuni ya Ujenzi ya Nyanza kutopewa mradi wowote ndani ya Dar

    Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda amewapiga marufuku Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS) kuipa mradi wowote Kampuni ya Ujenzi ya Nyanza ndani ya mkoa wa Dar RC Makonda ametoa maagizo hayo baada ya Kampuni hiyo kutumia miezi 12 kujenga Barabara ya Kilometa 3.2 ya Kitunda-Kivule ya kiwango cha...
  14. Video: Makonda aumbuka , uongo wake dhidi ya Mdee kuhusu barabara ya Makongo wakwama

    Mh Halima Mdee alishapeleka maombi ya kujengwa kwa barabara hiyo bungeni , katika vikao vilivyoongozwa na Naibu Spika Tulia Ackson. UKIWA MUONGO JITAHIDI USIWE MSAHAULIFU Jionee mwenyewe
  15. A

    Mkuu wa mkoa Paul Makonda, na sisi wakazi wa Mpigi Magoe tunaomba utukumbuke, barabara yetu ni mbaya haswa

    Mheshimiwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, kwanza nakupongeza kwa juhudi kubwa ulizonazo katika kumsaidia Mheshimiwa Rais wetu kipenzi Dr. John Pombe Magufuli. Leo naomba kuja kwako na ombi moja la barabara ya kutokea mbezi mwisho kupitia mbezi high school mpaka Mpigi Magoe. Barabara hii ni kati...
  16. Mayalla Paschal bado unaamini kuwa Paulo Makonda bado ni Presidential material?

    Nitangulize kwa kusema kuna baadhi ya mambo ayafanyayo huyu kiumbe anayeitwa Paulo Makonda ana mikono michafu a.k.a Bashite nakubaliana nayo. Baadhi ni vita dhidi ya mihadarati na kusaidia vijana wasiojiweza na baadhi ya maamuzi ya kuwasaidia wenye umasikini. Huko nyuma kuna thread iliyoletwa...
  17. Picha ya Rais: RC Makonda amtaka Msanii Idris Sultan kujisalimisha kituo cha Polisi

    Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam, Paul Makonda kupitia ukurasa wake wa Instagram, kwa jina la Baba_Keagan amepakia ujumbe unaosema ''Naona mipaka ya kazi yako huijuwi. Nenda sasa hivi kituo chochote Cha polic uwambie Makonda kaniambie nije utakuta ujumbe wako'' Kupitia ukurasa wake wa Twitter...
  18. J

    Sheikh wa mkoa wa DSM asikitishwa na kitendo cha RC Makonda na wasaidizi wake kutohudhuria kongamano la Uchaguzi

    Shehe wa mkoa wa Dsm Alhad Salum amelalamikia kitendo cha RC Makonda na wasaidizi wake kushindwa kuhudhuria kongamano la Uchaguzi, amani na uchumi wa viwanda licha ya kupewa mwaliko Alhad Mussa Salum amewataka viongozi wa mkoa wa Dsm kutoa ushirikiano kwa kamati ya amani kwani majukumu yao...
  19. J

    Kushabikia siasa za upinzani Tanzania yakupasa uwe na moyo kama wa Mwendawazimu

    Mosi, hakuna Tume huru ya uchaguzi Pili, uchaguzi wa madiwani unasimamiwa na makada wa CCM Tatu, matumizi ya ruzuku kwa vyama vya upinzani hayaeleweki Nne, vyama vya upinzani havifanyi uchaguzi wa viongozi wao mfano Wenyeviti ni kama wa kudumu. Tano, ukiwa mbunge ni lazima kuchangia fedha za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…