ππ RAIS SAMIA NI DADA YETU, WATU WA KANDA YA ZIWA - MWENEZI MAKONDA
"Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi ni dada wa kanda ya Ziwa. Tuna wajibu wa kumuombea, kumlinda na kumtetea kwa sababu kaka yetu Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ndiye aliyetutambulisha na kutuambia...