makini

Jully Makini (also known as Jully Sipolo) (born c. 1953 (age 64 in 2017)) is a Solomon Islander poet, writer and women's rights activist. The author of poems such as Civilized Girl (1981) and Praying Parents (1986), in June 2017 she received the International Women of Courage Award from the US Secretary of State for her work in promoting women's rights in the Solomon Islands.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Taasisi yoyote makini haiwezi kujiendesha kidemokrasia

    Duniani Taasisi yoyote ile iliyo makini haiwezi kukubali kuendeshwa kidemokrasia. Taasisi inayotaka kuwa imara haiwezi kuendeshwa kidemokrasia. Ndiyo maana majeshi hayaendeshwi kidemokrasia. Yanaendeshwa kwa uwezo. Katika nchi nyingi majeshi ndiyo huwa taasisi zenye ufanisi zaidi. Angalia...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Wakati Kinana anawapiga biti wanaccm waache kujipitishapitisha majimboni ninyi wapinzani pelekeni watu makini wafanye yao.

    Ccm inajaribu kuiambukiza nchi siasa za kisanii sana, yaani eti unamwambia mtu asifanye siasa hadi mwaka wa uchaguzi!? Sijawahi kamwe kuelewa mantiki ya jambo hilo. Nijuavyo mimi siasa ni maisha. watu wanaishi kwa hiyo. Mfano rahisi ni mataifa yaliyoendelea ambapo unakuja mara tu unapoisha...
  3. JamiiForums Tanzania Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu

    Tamko hilo limetolewa leo na Padri Kitima. Kwa Mujibu wa Padri kitime ,TEC imeamua kusimama na wananchi kwenye suala la bandari Padri kitime amesisitiza kwa sasa serikali inataka kuligawa Taifa kwenye pande mbili wanaokubaliana na wasiokubaliana,lakini wengi wanaokubaliana wanahofi tu kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Ni mambo gani muhimu ya kuzingatia uwapo Ugenini?

    Haya yatakusaidia maana kuna watu yamewahi kuwakuta wakajikuta wanatamani Dunia iwameze. 1. Ukiwa ugenini kama ni hivi vyoo vya kisasa kabla hujaanza jisaidia angalia kama kuna maji kwanza. Usifike tu na kuanza shusha mzigo. Utakuja jilaumu baada ya kumaliza. Njemba alienda ukweni akagonga...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi kuweni makini na Watanzania, wengi wao ni Wanafiki

    Asalaam Aleykum. Bila shaka wote mko vizuri na mnaendelea na kazi za ujenzi wa Taifa letu. Leo ninao wosia kwa viongozi wa nchi yetu kuwa makini na raia wao, maana ni ukweli usiopingika kwamba Watanzania wengi ni wanafiki. Mnafiki ni mtu anayejifanya vile asivyo. Kwa maneno mengine, mnafiki ni...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Hongereni Baraza la Maaskofu (TEC) kwa tamko makini na lenye kueleweka vyema!

    Tumeshazungumza mengi humu kuhusu mkataba wa kilaghai wa kuchukua Bandari zetu milele na kuwakabidhi Waarabu wa Dubai. Sa100 lazima aambiwe ukweli kwamba hata kama alikuwa na nia nzuri kuhusu uwekezaji katika Bandari lakini approach yake imekuwa ni njia isiyokuwa wazi ( hakuna ushindani ktk...
  7. JamiiForums Tanzania Dkt. Ananilea Nkya: IGP kusema Rais atapinduliwa ni kutweza utu wa Rais, kuonesha jeshi limeshindwa kumlinda

    Ipo script inazunguka mitandaoni inayojaribu kuonyesha waliokamatwa hawana tuhuma zenye kuhatarisha usalama wa serekali yetu. Nimeshindwa kuwaelewa zaidi pale wanapoona mtu / watu wanakamatwa kwa kauli zenye utata na hatari kwa taifa letu, Wao kazi yao huwa ni kukemea vikali waachiwe...
  8. JamiiForums Tanzania Watu wa Mbeya (Wanyakyusa) ni watu makini sana, akili kubwa na hawaogopi kitu

    Hawa watu ni wenye akili sana licha ya kwamba ndani mwao kuna michawa, ambayo kamwe haitakuja kuacha legacy yoyote kwenye uongozi wao. Boniface Mwabukusi: Mwanasheria msomi, mweledi, ambaye amediriki kuupinga kwa dhati hadi mahakamani mkataba mbovu wa bandari ametokea Mbeya. Dr. Ulimboka...
  9. JamiiForums Tanzania Tuwe makini na manabii/mitume wanaotaka fedha wakuombee

    Shalom, Kumezuka watumishi wa Mungu wanaotumia vibaya redio zetu badala ya kutoa neno la Mungu na kufanya maombi sasa kama utaahitaji maombi wanakulazimisha njoo ofisini aka kanssan asubuhi mapema tukuombee. Style wanayotumia ni hii Wanapokamata redio wanaanza andika msg, kwenda namba. Hizi...
  10. JamiiForums Tanzania Wanasiasa wanaweza vipi kuendesha wanajeshi? Swali makini

    Swali makini: Inawezekana vipi wanasiasa au mwanasiasa kuwaendesha wanajeshi kadiri anavyo taka bila wao kureact against him or her kwa namna yoyote ile?
  11. JamiiForums Tanzania CCM ni Chama pekee Makini Duniani

    Nakipenda Chama Cha Mapinduzi Kwa; 1. Sera makini (utekelezaji 100%), 2. Demokrasia, 3. Uwajibikaji Kwa walipa Kodi (wapiga kura). NB: CCM itatawala milele na milele. Asanteni
  12. JamiiForums Tanzania Walitufanyia utumwa baadaye wakatufanyia ukoloni na sasa wanatuwekeza! Malengo yao ni yale yale, tuwe makini

    Bara la Afrika ndiyo bara tajiri sana kuliko mabara yote duniani, kuanzia kwenye rasilimali watu (human resources) hadi kwenye rasilimali asili (natural resources). Ni bara kubwa lenye majitu yenye nguvu yanayo stahimili dhoruba mbali mbali kuliko watu wengine duniani. Ndiyo maana utaona...
  13. JamiiForums Tanzania UVCCM Chato: Hatutaruhusu kuona hata hatua moja ya Tundu Lissu ikikanyaga Chato. Tupo tayari kwa lolote

    Kumekucha. Mbwa ukimzoea sana atakufata hadi msikitini. Ndiyo yanayotokea Chato, umoja huo wa vijana Chato unatoa tamko bila hofu ya dola kuwa hawatakubali kuona Lissu anakanyaga Chato na watafanya lolote huku wakitumia jina la Rais Samia kama kinga ya uovu wao. Najiuliza, hivi UVCCM wamefikia...
  14. JamiiForums Tanzania Picha: Ualimu ni Wito

  15. JamiiForums Tanzania Jabiri kuwa makini na kauli zako za kidini/kibaguzi

    Rais wetu, ifike mahala watu wa aina hii wakamatwe na kushikishwa adabu haraka Napinga sana ubaguzi wa aina yoyote, udini na ukabila. Mwenyezi Mungu akuongoze mama yetu, na Watanzania wote kwa ujumla...wale wenye chuki dhidi ya waarabu/waislamu mtambue kuwa mnachokifanya sio sahihi, na...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali iwe makini wanaofundisha watoto kupigana na kutumia silaha sijui wanajiandaa na nini

    Vitengo vyetu vya usalama vifanye kazi kwa weledi msije shtuka wakati mmesha chelewa. Shule nyingi zinafundisha watoto kupigana ngumi, Karate na kutumia silaha za jadi na baadhi wanatoa hata maelekezo ya silaha za moto huenda. Sasa wanajiandaa na nini? Na maandalizi yao wapo very secret na...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya kuanza kutumia huduma za Startlink

    Naona majirani wamesharuhusu Starlink, sasa EastAfrica wapo Rwanda na Kenya. Ni nini shida na serikali yetu kushindwa kuruhusu hili ukiachana na vigezo alivyotoa Waziri visivyo na mashiko? --- Tajiri Elon musk Leo hii alasiri ameposti kwenye page yake ya Twitter aki confirm kwamba Kenya...
  18. JamiiForums Tanzania Nguzo za umeme za zege sasa ni hatari kwa maisha kuweni makini msikae karibu

    Kudondoka kwa nguzo za umeme za zege imekuwa kawaida kabisa. Mimi mwenyewe nimeshuhudia nguzo mbili Moja ikijeruhi mtu akiwa ndani ya gari. Wahusika wawataarifu wananchi wasisogelee hizi nguzo. Ni hatari hazina vyuma ndani yake. ikipata unyevunyevu tu inaanguka. Mimi nilishangaa engineers...
  19. JamiiForums Tanzania Nani anakumbuka ajali ya msafara wa Rais Hayati Mkapa dhidi ya lori kwenye kona ya Bwiru mkoani Mwanza

    Nakumbuka harakati za ubifsishaji enzi za Mkapa na mwamko uliokuwepo enzi zile dhidi ya mzee Mkapa hasa wakosoaji wakubwa wakiwa wastaafu hasa kundi la Nyerere, wananchi wa kawaida nao wakikomaa na kusema kuwa nchi yao inauzwa Mkapa akawa adui wa watu wengi hadi watu kuita umaskini eti "ukapa" ...
  20. JamiiForums Tanzania Naona wazi kabisa kukiwa na nchi ya Tanganyika Demokrasia itakuwa ni ndogo sana, nchi itaongozwa kimuseveni kwa mabavu zaidi

    Mzanibari pamoja na makando kando yake ila akiingia huwa kuna unafuu katika demokrwasia (hatujawai kuwa na demokrasia kamili) Tunapotoka kwenye awamu za uminyaji wa demokrasia basi mzanzibari akiingia ndio tunapata nafuu ya demokrasia kuanzia uhuru wa kutoa maoni, Vyama vya upinzani hupewa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…