makazi

  1. L

    Mbona watu wengi wanapenda kuhama usiku tu?

    Wakuu, Nina hoja fupi hapa, hivi mbona wakazi wengi wa Dar es salaam na miji mingine wanapenda kuhama usiku usiku tu? Mtu anatoka Keko anahamia Mbagala lazima atahamisha vitu usiku tu. Hivi kunani hapa? Wanaficha nini? Kwanini wasihame mchana au asubuhi? Wakuu karibuni hapa mtujuze
  2. Naitaji Kiwanja cha makazi na biashara Dodoma

    Salaam. Jaman naitaji Kiwanja kwa matumizi ya makazi na biashara Mjini dodoma Ningependa Sana ukubwa wa kiwanja uwe Sq m 1500 to 2000. Na maeneo ambayo naitaji ni ilazo, Nkuhungu, au nje ya mji kidogo njia ya kwenda Dar au Iringa. Kwa yeyote ambae anauza au anamjua anaeuza basi anijulishe...
  3. D

    Wakati nchi ikiwa uchumi wa kati, mradi wa anwani za makazi "Post Code" ukamilishwe haraka

    Nimesikia Mkoa wa Kagera umezawadiwa kuhusu utekelezaji wa mradi wa anwani za makazi mwaka huu nikapata hamasa kutoa maoni yangu kuhusu umuhimu wa kukamilisha mradi huu nchi nzima kwa haraka iwezekanavyo ili kuchochea ukuaji wa uchumi. Mradi huu unaonekana kwenye macho ya wananchi kama ni kitu...
  4. Uchimbaji na ujenzi wa shimo la choo la kisasa kwa bei rafiki

    Hello, Watanzania habari? BYRA TOILET CONSTRUCTORS Tunachimba na kujenga shimo la choo kwa mfumo wa kisasa usiojaa maji taka wala kutoa harufu kwa mda mrefu sana..kwa gharama zifuatazo: 1,200,000/= kwa mkoa wa Daresalaam 1,500,000/= kwa mikoa mingine Note: KWA BEI HIYO KILA KITU NI JUU YETU...
  5. Kuna mtu anae wafahamu makazi investment

    Refer heading above, Kuna Hawa jamaa wanaji ita makazi investment Wana project za kuuza plot Kigamboni Kiluvya Chanika Kuna yeyote mwenye abc Kuhusu Hawa jamaa Wapo ki halali mfano mtu akilipa 30% Then analipa kidogo kidogo KWA miez minane Kuna mtu yeyote amewai kununua ENEO au anazo...
  6. K

    Ninauza kiwanja Cha makazi Kiegeya Morogoro Manispaa

    Habari wanna jamii. Ninauza kiwanja ambacho kina ukubwa wa sqm 558, Kiegeya Morogoro mjini,tayari kina misingi ya nyumba mbili,mmoja una vyumba 3 ikiwemo master bedroom, sitting room,stoo jiko na choo, msingi wa pili Ni wa vyumba viwili, ikiwemo master bedroom, sitting room jiko na choo.
  7. Pepo/jini hawezi kutoka bila kumtafutia makazi salama

    Kuna wakati Mitume wa mungu aliwahi kuwaamuru mapepo wamtoke mtu waliokuwa wameweka makazi kwake.. Wakamuuliza tukitoka tutaenda wapi? Akawaamuru waende kuingia kwenye kundi la nguruwe... Nao kwa kasi ya ajabu wakawaingia wale nguruwe na nguruwe nao wakakimbilia baharini.... Huko hawakupona...
  8. Vyama vya Siasa ndio wawakilishi na watetezi wa wanyonge. Fikirieni suala la makazi nafuu mijini

    Vyama vya Siasa ndiyo wawakilishi wa wananchi, ndiyo sauti ya wengi. Katika sera zenu wengi wameongelea Afya ya Jamii, maji, umeme, elimu, kilimo, biashara, nk. Wananchi ambao ni wapiga kura wenu, hasa wanaokaa mijini wengi ni wenye kipato chini ya Tsh 500,000 kwa mwezi. Wengi wako kwenye...
  9. GE2020 Ilani ya Uchaguzi ya NCCR Mageuzi: Vipaumbele ni Katiba Mpya, Elimu, Muafaka wa Kitaifa, Afya na Ustawi wa Jamii, Mazingira na Makazi

    UTEKELEZAJI WA HII ILANI NA SIFA ZA KIONGOZI Serikali itakayoongozwa na NCCR-Mageuzi itaweka mkazo katika kuimarisha mifumo ya kiutendaji ya serikali kuu na serikali za mitaa ili ufuatiliaji wa utekelezaji wa Ilani uwe wenye tija kwa umma wa watanzania. Serikali itahakikisha usimamizi wa miradi...
  10. Ugiriki: Maelfu ya wakimbizi wameachwa bila makazi baada ya moto mkubwa kuunguza mahema

    Maelfu ya wakimbizi wameachwa bila makazi baada ya moto mkubwa kuunguza mahema katika kambi kubwa zaidi ya wakimbizi barani Ulaya ya Moria iliyopo katika kisiwa cha Lesbos nchini Ugiriki, kisiwa chenye uwezo wa kuhifadhi wakimbizi 3,000 lakini chenye idadi ya wakimbizi 13,000. Chanzo cha moto...
  11. Hivi ile amri ya kutopiga mziki karibu na makazi ya watu limefutwa?

    Habarin Wadau Kama kichwa cha Habari kilivyo hapo juu. Kumbu kumbu yangu inanikumbusha awali iliwahi kutolewa katazo la kupiga miziki karibu na makazi ya watu sikumbuki exactly ni mwaka gan lkn ni ndani ya awamu ya sasa ila ajabu kwa sasa naona mambo vice versa ni miziki inavurumishwa kuanzia...
  12. Precision Air yafuta Safari zote za kwenda Kenya licha ya Kenya kuruhusu Safari zake

    MY TAKE: Lazima baba wa familia ya EA ajulikane na heshima iwepo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ____________ Shirika la Ndege la Precision Air limetangaza kusitisha kurejeshwa kwa safari zake za Nairobi nchini Kenya kutokana na uhitaji mdogo. Taarifa iliyotolewa na Shirika hilo imesema...
  13. G

    Plot4Sale Kiwanja cha makazi kinauzwa maeneo ya Chanika Mwisho - Dar Es Salaam

    Eneo: Chanika mwisho mtaa wa zogoali kwa wambili. Bei: Tsh. 950,000/= Umeme Upo na maji visima vipo karibu Ukubwa : mita 13/13 au miguu 18 kwa 18 Hakuna Dalalii Piga namba 0627864823 Huduma za kijamii kama shule na zahanati zipo karibu. DEAL DONE!
  14. Kampeni ya "Piga kazi, Boresha Makazi" yasaidia nyumba bora na za kisasa kujengwa Koromije, Mondo Misungwi Mwanza

    Kampeni ya Piga kazi boresha Makazi yasaidia nyumba bora na za kisasa kujengwa Koromije, Mondo Misungwi Mwanza Nyumba bora na za Kisasa zimejengwa katika vijiji viwili vya Koromije na Mondo Wilayani Misungwi mkoani Mwanza. Wakazi wa vijiji hivyo vya Mondo na Koromije wilaya ya Misungwi mkoa wa...
  15. Ijue NGULELO -Arusha eneo linalosifika kwa makazi ya Wahalifu wastaafu

    Inasemekana kuwa kwa wale wakazi wazoefu wa Arusha wanaifahamu Ngulelo ambayo inakaribiana na kwa Mrefu. Haya maeneo yanasifika kuwa makazi ya majambazi au wahalifu baadhi yao wakiwa majambazi wastaafu. Hebu tuongezee sifa zaidi za eneo hili ndani ya Jiji la Arusha.
  16. House4Sale Njoo nikujengee nyumba ndogo flat ya makazi au biashara, nakupa na bajeti yake

    Wakuu mko salama! Ninaweza kukujengea nyumba kama utanipa ramani au nitakupa mimi ramani pamoja na kukuandalia bajeti kwa kila hatua. kuanzia msingi mpaka finishing. Nikisema flat nina maana ya kujenga nyumba ambayo siyo ghorofa bali ni single roofing, isiyo na many floor. Mfano nina design...
  17. G

    Plot4Sale Kiwanja cha makazi kinauzwa maeneo ya Chanika Mwisho - Dar es Salaam

    Eneo: Chanika mwisho mtaa wa zogoali kwa wambili. Bei: Tsh. 950,000/= Umeme Upo na maji visima vipo karibu Ukubwa : mita 13/13 au miguu 18 kwa 18 Hakuna Dalalii Piga namba 0627864823 Huduma za kijamii kama shule na zahanati zipo karibu.
  18. G

    Plot4Rent Kiwanja cha makazi kinauzwa maeneo ya Chanika Mwisho - Dar es Salaam

    Eneo: Mtaa wa kwa wa mbili - Zogoali Bei: Tsh. 1,300,000/= Umeme Upo na maji yapo Ukubwa : mita 13/13 au miguu 18 kwa 18 Hakuna Dalalii Piga namba 0627864823
  19. Niombe sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022, zichukuliwe takwimu kubaini ni klabu gani ya mpira yenye mashabiki wengi Tanzania

    Habari za wakati huu wadau wa JF. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Mara nyingi katika vyanzo mbalimbali vya habari na tambo za mashabiki wa mpira nchini, kumekuwa na majivuno baina ya mashabiki wa timu mbili hapa nchini (Yanga & Simba) ambao hujitapa huku kila shabiki akidai kuwa...
  20. N

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa, Mkundi Morogoro, 945 meter square

    Hello
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…