makato

Makato, officially the Municipality of Makato (Aklanon: Banwa it Makato; Hiligaynon: Banwa sang Makato; Tagalog: Bayan ng Makato), is a 4th class municipality in the province of Aklan, Philippines. According to the 2015 census, it has a population of 27,262 people.In 1948, the arrabal of Tangalan, comprising the barrios of Tondog, Jawili, Dumatad, Afga, Baybay, Dapdap, Pudyot, Tagas, Tamalagon, Panayakan, Vivo, Lanipga, Napatag and Tamoko, was separated from Makato to form the municipality of Tangalan.

View More On Wikipedia.org
  1. Superbug

    JamiiForums Tanzania Makato ya kutuma Shilingi milioni moja ni nauli ya kutoka Morogoro Mjini mpaka Mwanza

    Hebu tuwe serious na maisha nyie Wana ccm hivi mnaona sahihi haya MAKATO ya MIAMALA? Imagine nikitaka kufanya transaction ya milioni moja ni 40,000/= hii ni nauli ya Msamvu mpaka Nyegezi stand au stand ya Nato.
  2. Kasomi

    JamiiForums Tanzania TANESCO na TRA Huu ni wizi wa kiwango cha lami

    Kwenye kulipia Umeme kwa nini TANESCO hawatoi mchanganuo kua hela zimeendaje huu ni wizi wa kiwango cha lami. Rejea hapa. LUKU 37212843355 990022123320138178 1.5KWH 0029 2493 0496 3524 7260 Cost 409.84 VAT 18% 73.77 EWURA 1% 4.10 REA 3% 12.29 Debt Collected 4,500.00 TOTAL 5,000.00 Kweli Umeme...
  3. Zero Competition

    JamiiForums Tanzania Makato ya kodi ya majengo kupitia LUKU hayana tofauti na 'service charge' ya kila mwezi

    Ile service charge iliyoondololewa kipindi kile na watu tukashangalia nadhani ndo hii imerudi tena in style. Mana kila mwezi watakua wanakata kwahiyo lazima uwawekee bajeti yao kila mwanzo wa mwezi kwahiyo binafsi naona ni kama ile service charge imerudi ila kwa style tofauti.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kuamini hiki ninachokisoma kuhusu haya makato ya LUKU

    Ameandika Evans Rubara I have just paid for Luku from @tanescoyetu this evening. Now @TRATanzania tell me what debt you have with me. This is fricking idiotic. Ndg. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania @SuluhuSamia tuambie kama umeshindwa kuongoza hii nchi kwa busara alizokupa Mwenyezi Mungu.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kodi ya majengo kuanza kukatwa kwenye Luku kuanzia Agosti 20, 2021. Je, Serikali imekosa Dira, mbinu zimewaishia?

    Naomba kuuliza maswali machache. Ni sababu ipi hasa ya msingi iliyopelekea kutoka mfumo wa malipo wa zamani kuleta mfumo wa sasa? Kwa hiyo kwanzia agost 20 kodi ya jengo inalipwa na mpangaji? Vipi kuhusu nyumba ambazo kila chumba kina mita yake? Vipi kususu mpangaji mmoja ambaye kapanga...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Vipi matumizi ya solar power na makato ya kodi ya nyumba?

    Vipi matumizi ya solar power na makato ya kodi ya nyumba? Serikali naona imeamua kufanya jambo lenye faida huku likiwa na uonevu uliokithiri! Hivi inakuaje kwa mmiliki mwenye vijumba vidogo mfano vitatu kwenye hati moja ya nyumba! Ambayo alirahisisha kwa ku-request meter luku zaidi ya moja...
  7. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Makato na tozo yamefika pabaya, wahusika fanyeni hima mrekebishe hali

    Mimi ni mteja wa NMB Bank. Katika kurahisisha huduma zangu za kibenki, nimejiunga na huduma ya NMB Mobile Banking. Huwa nafanya miamala yangu kutoka na kwenda benki yangu. Juzi, nilitaka kufanya muamala wa kutoa pesa benki kupeleka kwenye tigopesa. Kila nikijaribu kuingia kwenye menu ya NMB...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kuwaelewa Vodacom

    Jana nimetuma 170000 pamoja na ada ya kutolea. Nimekatwa ada ya kutolea 3650 mpesa ada 1000 na tozo 2530. Mpokeaji baada ya kutoa (katoa 174000 sababu alikuwa na akiba ya 11000 kabla ya mimi kumtumia) nae kakatwa ada ya kutolea 3650 na tozo 2530. Kwa hiyo ada ya kutolea imekatwa mara mbili...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Serikali kwa hili la tozo za miamala mmechemka na kukosa ubunifu

    Serkali inatakiwa kutambua kuwa watanzania wako tayari kuchamgia lakini tatizo ni viwango vya makato mfano: Mtu akitoa 10,000 anatozwa makato ya serkali wastani wa shilingi 320 lakini serkali ingeweza kukata shilingi 100 kwenye makato ya kuanzia mtu anapotoa 1,000-10,000 Mtu akitoa 100,000...
  10. flulanga

    JamiiForums Tanzania Tozo za Miamala: Mawakala hatuna majibu tukiulizwa na wateja kuhusu kurudisha makato ya zamani

    Mawakala tunalia hatuna majibu ya kuwapa wateja wetu pindi waulizapo 'vipi bado hawajarudisha makato ya zamani?' Mawakala tunabaki tunatoa macho na kujibu 'BADO' Tozo ya mihamala imeathiri kwa kiasi kikubwa wananchi na shughuli nzima ya biashara ya mihamala na biashara nyingine ndogo ndogo...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Makato ya miamala ya simu

    MAKATO YA MIAMALA YA SIMU Kwa kipindi cha hivi karibuni suala la makato ya simu limekua gumzo nchini na kuibua sitofaham na kauli za utata kutoka kwa baadhi ya viongozi, huenda walioanzisha tozo hizo hawakua na lengo baya ila naweza sema kwamba hawakufanya upembenuzi yakinifu pamoja na...
  12. tpaul

    JamiiForums Tanzania Ikiwa makato kwenye miamala ya simu, LUKU na mabenki hayatabadilika nini kifanyike?

    Jambo wakuu? Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kupepesa macho wala kutikisa masikio. Ni ukweli usiopingika kwamba makato kwenye miamala ya simu, LUKU na mabenki yanawaumiza kichwa wananchi wanyonge, hasa ukizingatia kwamba watu wenye uwezo mkubwa wa kifedha kama Rais, Makmu wa Rais, Waziri...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mbali na kuikosoa serikali kuhusu Makato; lakini kiukweli Watanzania kwenye kulipa Kodi tuwagumu sana

    Kwema Wakuu! Kama nilivyoeleza kwenye heading hapo, suala la ulipaji Kodi Kwa sisi Watanzania ni kipengele. Watanzania wengi wetu Kama sio wote hatupendi kulipa Kodi. Hata wanaolipa Kodi ni kutokana na hawana jinsi mazingira yanawabana tu. Ila Kama wangeambiwa kwa hiyari yao nakuhakikishia...
  14. balimar

    JamiiForums Tanzania Walimu bado wanawindwa kimakato kwenye Mishahara yao

    Wadau Habari!! Leo tulikuwa na kikao cha Maafisa Elimu Kata na Walimu wakuu kujadili Mambo mbalimbali ya kuboresha taaluma wilayani kwetu Mwenyekiti wa CWT wilaya alipopewa nafasi ya kuongea alielezea swala la Bodi ya Kitaalamu ya walimu na sintofahamu ya Makato. Kitu kilichosikitisha ni yale...
  15. Joshua Deus

    JamiiForums Tanzania Makato miamala ya fedha mitandao simu yazua vilio

    Na Joshua Deus Wahenga wanasema usipo Jenga ufa uatajenga ukuta,sekta ya Mawasiliano ni moja wapo ya sekta ambazo zinaingiza Pato la taifa nchini,Tanzania ili kukuza Pato la taifa inahitaji jitihada kubwa. Miongoni ni changamoto ambazo Zina changia kuporomoka kwa sekta ya Mawasiliano...
  16. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Tozo mpya miamaka ya simu: Serikali wekeni bayana mipango ya maendeleo, wekeni viwango vya makato vinavyotabirika

    Rais Samia Suluhu Hassan Asubuhi ya leo, magazeti mengi yalikuwa na vichwa vya habari vinavyoonyesha hofu ya umma inayohusiana na tozo katika miamala ya simu ambazo zilianza jana. Tozo hizo kupitia miamala ya kidijitali sio mpya nchini Tanzania. Shughuli za elektroniki zinazohusiana na ununuzi...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Makato ya mamala yapo poa, yanawiana na Uchumi wa kati

    MAKATO YA MIAMALA YAPO POA! YANALANDANA NA UCHUMI WETU WA KATI Kwa Mkono wa, Robert Heriel Nimefurahishwa na mambo yaendavyo, mwaka Jana tulipigiwa mbiu kuwa tumeingia uchumi wa Kati. Watu walifurahia hasa wenye mrengo wa kuishabikia CCM na Wanachama wa CCM pamoja na Watanzania WA kipato cha...
  18. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Baada ya hizi nauli mpya na Tozo tunasemaje kuhusu Mama?

    Kwa Haya mambo ndugu Watanzania tunasemaje? MAMA BADO ANAUPIGA MWINGI? NAULI MPYA ZILIZOPANGWA NA SUMATRA ZA MABASI YA KWENDA MIKOANI KUTOKEA DAR: BEI ZOTE NI KWA SHILINGI YA TANZANIA.; DAR - ARUSHA; å Basi la kawaida 22,700/-. å Semi luxury bus 32,800/-. å Luxury bus 36,000/- DAR -...
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Ada mpya za kutuma na kutoa pesa kwa Tigo Pesa

  20. N

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la mishahara Vs makato ya miamala, kuna shida mahali

    Watanzania nawasalimu, Nimejaribu kuwaza ni wapi tunakoelekea nimekosa majibu. Viongozi wetu na watanzania wote ni mashuhuda kuwa tumeambiwa kuwa kuhusu nyongeza ya mishahara tusubiri uchumi uimarike kidogo. Lakini Leo hii huyu huyu mtu anaeomba kuongezewa mshahara kutokana na kuongezeka kwa...
Back
Top Bottom