makato

Makato, officially the Municipality of Makato (Aklanon: Banwa it Makato; Hiligaynon: Banwa sang Makato; Tagalog: Bayan ng Makato), is a 4th class municipality in the province of Aklan, Philippines. According to the 2015 census, it has a population of 27,262 people.In 1948, the arrabal of Tangalan, comprising the barrios of Tondog, Jawili, Dumatad, Afga, Baybay, Dapdap, Pudyot, Tagas, Tamalagon, Panayakan, Vivo, Lanipga, Napatag and Tamoko, was separated from Makato to form the municipality of Tangalan.

View More On Wikipedia.org
  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Tazama hapa makato ya kutuma na kutoa pesa kwa Vodacom (M-Pesa) kuanzia Julai 15, 2021

    KUMBUKA • Hakuna makato yoyote unapoweka pesa kwenye akaunti yako kupitia wakala wa M-Pesa • Hakikisha taarifa zako za M-Pesa ni sahihi vinginevyo fika katika duka la Vodacom lililopo karibu nawe kuhakiki taarifa zako • Unaweza kutuma hadi Tshs 5m kwa siku au kuwa na hadi Tshs 10m kwenye...
  2. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Hili la makato mapya ya miamala ya simu ni "jipu lililo ndani ya ubongo"

    Sifa kubwa ya hili jipu ni kwamba lazima liende kuwa kansa, na sifa ya kansa sote tunaijua huwa inaua kidogokidogo tena kwa maumivu makali. Lakini mbali na hili jipu kuwa kansa, likifanikiwa kupasukia humo ndani basi muhusika lazima apate kiharusi/stroke. Hivyo kumuweka muhusika katika hatari...
  3. logan007

    JamiiForums Tanzania Msaada: Makato ya NSSF kwa wafanyakazi wenye basic salary ya Tshs. 300,000

    Habari, Naomba kujuzwa kwa anaejua, je kiasi gani kwa mwenye basic salary 300,000 anakatwa na NSSF?
  4. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Makato makubwa ya Airtel Master Card

    Leo kwa mara ya kwanza nimetumia Airtel Master card baada ya kuwa ninatumia M-Pesa Master Card kwa muda. Nilichogundua Airtel wana makato makubwa yaani more than twice ya M-Pesa. Nilikuwa nalipia kitu Google Play kina thamani ya 9000 ambapo nikitumiaga M-Pesa naweka 11000 na change inabaki ila...
  5. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu ninaomba ufafanuzi wako kidogo juu ya Makato ya Vocha

    DKT MWIGULU, WAZIRI WA FEDHA NINAOMBA UFAFANUZI KIDOGO JUU YA MAKATO YA VOCHA. Na Elius Ndabila 0768239284 Kwanza Mhe Waziri nikupongeze kwa hotuba YAKO nzuri ya Bajeti. Mimi si mchumi, lakini niliisikiliza na nimeisoma nimeona ni bajeti ambayo inagusa maisha halisi ya Mwananchi. Ni bajeti...
  6. S

    JamiiForums Tanzania TANESCO mbona makato mengi sana? Anayejua ni ya nini anijuze

    Hii Trans fee ni nini? Au makato ya fee ya barabara imeanza hata kabla ya budget? ===== VAT EWURA REA TRAN FEE??? Ni nini hiki?
  7. 666 chata

    JamiiForums Tanzania NMB haya makato yenu kwenye mobile app ni makubwa sana na wizi uliovuka mipaka. Ushahidi huu hapa

    Siku zote nimekuwa nikitoa hela kwa kutumia application ya NMB Mobile Bank na mara zote hizo sikuwai kuwa makini na masuala ya ada ya makato ambayo inachukuliwa na hawa NMB, mpaka pale nilipoamua niangalie huwa wanachukua shilingi ngapi ndipo niliposhangazwa zaidi. Nilianza kutoa laki moja na...
  8. Chomo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kufahamishwa kiwango cha makato ya ATM card benki ya NMB

    Binafsi natumia account ya nmb chap chap, ambayo tulifunguliwa kwa msaada wa kampuni mahala tunapofanyia kazi. Maafisa wa benki wakati wanaipigia chapuo tender hii walituambia makato ya nmb chapchap ni kwa kiwango cha sh,1150 pasi na malipo ya mwisho wa mwezi ukilinganisha na account zingne...
  9. Area 56

    JamiiForums Tanzania Kwanini makato ya Sim Banking yapo juu?

    Yaani unalipia Dstv kifurushi cha bomba elfu kumi na tisa na mia tisa (19,900) afu gharama za kufanya malipo hayo ni elfu tano (5,000). Kwanini gharama ipo juu hivi? Nilikuwa sijawahi kujua, huu ni wizi wa mchana kweupe.
  10. W

    JamiiForums Tanzania Kama CRDB wana Makato Kwa mwezi huwa ni kiasi gani?

    .
  11. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atangaza kupunguza kodi 1% ya makato ya Mishahara ya wafanyakazi kutoka 9% mpaka 8%..

    Asante mama
  12. T

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo HESLB waanza kuwakata watumishi wa TGTS B kabla hawajabadilishiwa muundo wa utumishi

    Ikumbukwe kwamba mtumishi ngazi ya cheti anaanza na TGTS B, akijiendeleza akapata shahada anatakiwa kubadilishiwa muundo na kufikia TGTS D ambayo ni mshahara ngazi ya degree. Kwa wale waliojiendeleza wakati wa awamu ya tano (certificate na diploma) na wameshamaliza shahada zao na wakati wa...
  13. xavieen

    JamiiForums Tanzania Kampuni ipi inakata makato madogo?

    Wazoefu naomba kuelekezwa ni kampuni ipi ambayo huwa inacharge makato madogo iwe 0.0% au 0.5% wakati wa kulipia bidhaa au kutumia kwenye ishu za kibiashara kutoka mitandao hii ya simu. Baadhi nilizowahi kutumia SELCOM wanakata 1% MLIPA wanakata 3% LIPA KWA MPESA 0.5% (hii nmeitumia zaman kidogo...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Makato ya mkopo lazima yamuache Mfanyakazi na kiasi kinachomtosha kujikimu

    Kwa mujibu wa ripoti ya CAG, utaratibu uliopo, mfanyakazi anayekopa kwa makubaliano ya kukatwa mshahara wake ni lazima abakiwe na kiasi kinachomtosha kujikimu mahitaji yake Sheria ya Kurejesha Madeni ya mwaka 1970, mfanyakazi hatakiwi kukatwa zaidi ya theluthi mbili ya mshahara wake ghafi...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha makato ya mikopo ya elimu ya juu kinakiuka sheria ya marejesho

    Ripoti ya CAG ya Mwaka 2019/20 imejibu kilio cha wanufaika wengi wa Mikopo ya Elimu ya Juu kupitia (HESLB) Ripoti imebaini makato hayo ni makubwa sana na yanavunja Sheria ya Marejesho
  16. Grand Canyon

    JamiiForums Tanzania Makato ya CRDB Bank ni makubwa

    Sikuwahi kujishughulisha kujua makato ya kutoa pesa kwa wakala wa CRDB. Leo nimeenda kwa wakala kutoa Tsh 120,000 nikapewa kimashine nijihudumie baada ya kuweka kadi, Nimeshtuka kuona makato ni Tsh 2,966. Je, ATM ni nafuu zaidi ili niachane na mawakala au ni yale yale?
  17. M

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhari nakatwa makato na Chama cha Walimu Tanzania wakati sio mwanachama wao

    Jamani pesa yenyewe dongo ila CWT tena wananikata wakati mimi nipo chama kingine jamaani tunakufa na huyu cwt msaada ndugu rais utusaidie afisa utumishi wanatunyonya wakishirikiana na ofisi ya cwt
  18. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo (HESLB) na makato yao ni maumivu makubwa sana

    Let's assume mtu aliyesoma sayansi na kupata mkopo 100% ambao jumla ni kama milioni kumi (10,000,000) akakaa mtaani miaka saba, akapata ajira ya ualimu mshahara wa mtu laki tano. 🇹🇿Huyo atakua na penati ya 10% kwa miaka mitano = 10,000,000*10%*5=5,000,000 🇹🇿 Mwisho wa mwaka atapigwa value...
  19. Ruyama

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kukopa milioni 9, makato yakoje?

    Habari, Ninahitaji kujenga nyumba simple mshahara wangu laki 5 je nikisema nijilipue NMB au CRDB nivute mkopo wa million 9 nitakuwa nakatwa shillings ngapi? Msaada please [emoji120]
  20. S

    JamiiForums Tanzania Unaomba kusamehewa madeni, halafu wewe unaongeza makato ya HESLB kutoka asilimia 8 mpaka 15

    Ugumu mnaopata nyinyi kulipa madeni, ndio huo huo wanaoupata wananchi wa kawaida wenye madeni lukuki kwenye salary slip zao, ila hamkujali mkawaongezea makato ya Bodi ya Mikopo kutoka asilimia 8 mpaka 15 ya Basic salary. Kwahiyo, leo mnapoomba kupunguziwa madeni, kwa hakika sisi wengine...
Back
Top Bottom