majukumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. dr namugari

    Mbunge wa viti maalumu ana majukumu gani kwenye Jimbo

    Wakuu kwema ! Heri ya mwaka mpya Moja kwa moja kwenye hoja Nataka kuambiwa haraka sana Mbunge wa viti maalumu ana majukumu gani ktk Jimbo ? Nauliza hvyo kwa sabqbu nimemuona Mbunge wa viti maalumu kwa jina la Sigrada Mligo akimfokeaa sijui mkurugenzi na waatalamu kwa kuwambia kuwa kbla ya week...
  2. Fbn

    Hivi JWTZ imeshakuwa na majukumu ya kulinda mali za viongozi wa CCM.

    Kuna sehemu sita taja ila nimeona wao ndio walinzi wa mali za mkubwa masaa 24. Majukumu yao yamegeuka walinzi wa mali za CCM.
  3. Mafyangula

    Polisi Morogoro: Tumefanya mahojiano na Rasel Mpuya muhadhiri chuo cha SAU, Tumemruhusu aendelea na majukumu yake, uchunguzi ukiendelea

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro katika kutekeleza majukumu yake ya kuzuia na kutanzua uhalifu limefanya mahojiano na Rasel Mpuya Madaha (49), mhadhiri wa chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine na mkazi wa Morogoro. Soma Pia: Polisi Morogoro wamemkamata Muhadhiri wa Chuo kikuu cha SUA Prof. Rasel...
  4. Kitimoto

    Utekelezaji wa Majukumu ya Msingi ya JWTZ: Tathmini za Shughuli Wanazozifanya Sasa Mitaani

    Majukumu haya ya msingi ya JWTZ (Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania) ni muhimu sana kwa ustawi wa taifa letu na usalama wa raia. Lakini, ni vyema tujitahidi kutafakari kwa undani kuhusu utekelezaji wake katika mazingira ya sasa. Hebu tuangalie kila kipengele kimoja kimoja: 1. Kulinda...
  5. Waufukweni

    Majukumu ya Waziri Mkuu wa Tanzania kwa mujibu wa Katiba

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari ameyaweka wazi majukumu makubwa ya Waziri Mkuu wa Tanzania kama yanavyoelezwa katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Majukumu hayo na mengine ndiyo yanayotarajiwa kutekelezwa na Dkt. Mwigulu Nchemba aliyeteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan...
  6. M

    Video: Polisi Dar wakiwa katika kutekeleza majukumu yao ya kulinda raia na mali zao

    Oktoba 2025 haitafutika kwenye historia ya Tanzania
  7. Richard

    Ifahamu Wizara ya Usalama wa taifa ya China na majukumu yake kwa nchi hiyo kubwa Duniani

    https://www.youtube.com/watch?v=j1UH7Yn6gSg Hii ni makala ya pili inozungumzia nchi ambazo zina wizara kamili inoshughulikia Usalama wa taifa. Wiki ilopita nilizungumzia umuhimu wa raisi ajae kufikiria kuanzisha wizara ya Usalama wa taifa ambayo itashughulikia usalama wa nchi na mipaka yake na...
  8. Msanii

    Tukumbushane: Dhima, Dira na Majukumu ya JWTZ

    Niwatakie siku yenye baraka tele
  9. kyagata

    Kwanini mtu ukiwa unatekeleza majukumu yako ya kiofisi unaonekana ni mwenye kiherehere?

    Kufanya kazi na Watanzania ni changamoto sana kwa kweli. Labda mnisaidie kuelewa, muda si mrefu nimeingia ofisini hapa kuanza majukumu yangu ya siku. Nimefika tu, kuna chawa wangu mmoja akaniletea kaumbea kuwa kwenye kikao chao cha idara yao huko, kuna mtu amenizungumzia kuwa nawabana sana na...
  10. Pdidy

    Mnawakumbuka tigo??wazee wa pikpik waliitutesaa sana wakaanza kubeba majukumu ya traffic kabla hawajatolewa resi loh

    n mda sasa leo nimewakumbuka wazee wa tigoo walikuwa wanakamata pikpik na wengine walijilimikisha kabisa mishahara vs bodaboda yaan wakifika kijiweni boda incharge anakuwa ashakusanya mafao wanawapa haitoshi wakanza kuvamia na magari yetu Mungu fundi walifanya matukio kadhaa machafu wakapigwa...
  11. Vincenzo Jr

    Wazazi mnaowapeleka Boarding school watoto wadogo

    Mnawezaje kumtelekeza mtoto mdogo Shule ya awali mpaka msingi) shule ya boarding? Yaani na nafsi zinakuwa huru kabisa ?
  12. Manyanza

    Majukumu ya TAKUKURU yahamihishiwe Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ)

    Wakuu asalaam ! Kwa mujibu wa sheria, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) iliundwa kwa lengo la kuchunguza, kuzuia na kupambana na vitendo vya rushwa nchini Tanzania. Inatakiwa iwe nguzo ya haki na mwanga wa matumaini kwa kila raia anayetafuta msaada dhidi ya dhuluma na...
  13. The Burning Spear

    Tujikumbushe jinsi Hayati Magufuli alivyokataa pesa za Matajiri akiwemo Mzee Mengi katika kampeni zake

    Wazungu wanamsemo wao unasema " Scratch my back I Scratch yours " hii kwa kiswahili inaitwa nipe nikupe. Hicho ndo maCCM wanafanya dhidi ya matajiri. Je watakuja kulipa nini. Wakikwepa kodi or whatever watawafanyaje? Wafanyabiashara wa kiafrika wanamakandokando mengi sana ukiwachekea...
  14. Echolima1

    Mara 100 mnizuie kuingia Ulaya yote kuliko kunizuia kutekeleza majukumu yangu ya kikatiba na nchi yangu Israel!!!

    "Hata wakinipiga marufuku kuingia Ulaya yote, nitaendelea kuchukua hatua kwa ajili ya nchi yetu," alisema Waziri wa Usalama wa Taifa Itamar Ben-Gvir. Kauli hiyo ilikuja kujibu serikali ya Uholanzi kumzuia Ben-Gvir na waziri mwenzake wa mrengo wa kulia wa baraza la mawaziri la Israel Bezalel...
  15. Y

    Kubadilishiwa majukumu kutokana na ugonjwa

    Habari Umejaribu kutafuta matibabu?
  16. I

    NAMNA YA KUREJESHA NYWILA ILIYOSAHULIKA KWENYE WINDOWS – KIUNDANI NA KWA MAJUKUMU HALALI TU Na Goodluck Maleko J

    “Umekwama Kwenye Windows? Njia ya Kisomi, Kisheria na Kiufundi ya Kurejesha Password Kusahau nenosiri (password) ya kuingia kwenye kompyuta ya Windows ni moja kati ya changamoto zinazoathiri watumiaji wengi — iwe ni nyumbani, kazini, au katika mazingira ya kielimu. Wengine huingia kwenye hofu...
  17. Dennis Robert Shughuru

    Majukumu ya wakurugenzi wapewe wabunge

    Ukiangalia asilimia kubwa ya wabunge wetu ni tourist nikimaanisha wako kwenye comfort zone kubwa sana na fedha wanazozipigania bungeni zikija jimboni mamlaka nazo sio sawa hata kidogo Kama nchi kuna haja gani ya kuwa na wakurugenzi mda huo huo kuna wabunge hii inapelekea wabunge wengi kutumia...
  18. Equation x

    Wanaume tuamke tusihonge sana kwa michepuko, mbele tuna majukumu mazito.

    Baba ni baba tu Baba ni kichwa cha familia, na mama ni shingo katika familia. Kichwa kazi yake ni kuongoza, na shingo kazi yake ni kuzungusha kichwa kutazama kulia, kushoto, mbele na nyuma. Kuwa na watoto katika familia ni jambo la muhimu sana, na linaimarisha uwepo wa uzao wako hapa duniani...
  19. Mwambawetu

    Hakika sekretariat ya Ajira inajitahidi katika majukumu yake

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bw.Juma Mkomi ameipongeza Sekretarieti ya Ajira kwa kuendesha mchakato wa ajira kwa ufanisi. Bw.Mkomi ametoa pongezi hizo jijini Dodoma katika kikao kazi kilichowakutanisha Sekretarieti ya Ajira pamoja na wadau...
  20. Dalton elijah

    HESLB na NIDA kushirikiana kuwatambua waombaji mikopo kupitia NIN

    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) leo Ijumaa Mei 16, 2025, wamefanya kikao na waandishi wa habari katika ofisi za HESLB Kanda ya Mashariki zilizopo Dar es Salaam kwa lengo la kuutarifu umma kuhusu kuanza kushirikiana kuwapatia namba...
Back
Top Bottom