Kiranga anatoa sadaka na anaamini stori za majini lakini haamini uwepo wa Mungu

Sadaka ni tamko maalumu halitumiki bila kuhusianisha au kufungamanisha na Mola, sababu tamko hili hufungamana na matarajio ya malipo toka kwa Mola.

Nilichokiona hapo, hujui maana ya tamko "Sadaka" ila umelitumia kwa ujinga tu.
Sawa basi, kwa tafsiri yako hiyo, nimekosea kutaja sadaka. Weka kama nimetoa msaada.

Ushafurahi?

Na kutaja majini si kuamini majini, kama vile kumtaja James Bond 007 si kuamini yupo.
Wwewe hujui kusoma kwa ufahamu na hujui tafsida, huwezi kuelewa.

Also, usipende kick kwa kutumia jina langu.

Stay off my dilsnick.
 
Sadaqah or Sadqah (Arabic: صدقة, Urdu: صدقہ, IPA: [sˤɑdæqɐ],[n A] "charity", "benevolence",[1] plural ṣadaqāt صدقات) in the modern context has come to signify "voluntary charity".[2] According to the Quran, the word means voluntary offering, whose amount is at the will of the "benefactor".[3]

'Sadaqah' literally means 'righteousness' and refers to the voluntary giving of alms or charity
 
Correct analysis
 
Kwa hivyo mtu asiyeamini Mungu hawezi kuwa benevolent, hawezi kuwa charitable?
Unadili na watu ambao vitabu vyao walivyosoma tangu utoto wao ni biblia,quran na madaftari ya notisi za shule

Sasa unafikili atawaza nini nje ya mambo ya dini na kujua mji mkuu wa Rwanda ni Kigali

Hawa watu hawaamini kama kuna jema nje ya Ukristo na Uislamu

Hawaamini mpagani anaweza kuwa mwema

Hivyo ni kuwasamehe bure tu
 
Sawa basi, kwa tafsiri yako hiyo, nimekosea kutaja sadaka. Weka kama nimetoa msaada.

Ushafurahi?
Ulitakiwa ukomee hapo hapo, kwenye kukosea, mimi nimekukosoa hakuna suala la kufurahi wala kinyume chake. Hiki ulichokiongeza ni "Shadhi".
Na kutaja majini si kuamini majini, kama vile kumtaja James Bond 007 si kuamini yupo.
Wwewe hujui kusoma kwa ufahamu na hujui tafsida, huwezi kuelewa.

Also, usipende kick kwa kutumia jina langu.

Stay off my dilsnick.
Hili sijaligusia, ongeza umakini wa kutokujibu kisichohitajika.
 
Kwa hivyo mtu asiyeamini Mungu hawezi kuwa benevolent, hawezi kuwa charitable?
Naona ukaenda Wikipedia, ulitakiwa utafute Kamusi ya Kiarabu yenyewe ufaidike na maana ya tamko hilo, sababu tamko hilo lina asili ya Kiarabu. Sijui kwanini hamsomi vijana ?
 
Unadili na watu ambao vitabu vyao walivyosoma tangu utoto wao ni biblia,quran na madaftari ya notisi za shule

Sasa unafikili atawaza nini nje ya mambo ya dini na kujua mji mkuu wa Rwanda ni Kigali

Hawa watu hawaamini kama kuna jema nje ya Ukristo na Uislamu

Hawaamini mpagani anaweza kuwa mwema

Hivyo ni kuwasamehe bure tu
Shida yenu hamjui wapi mshike, hakuna aliyekataa kama mpagani hawezi kuwa mwema.

Hoja ipo katika matumizi ya tamko "Sadaka". Unatoa sadaka kwa ajili ya nini na kwa nani ?

Kingine hamjui hata wapi pakuchukua maana za maneno, mwenzako akaenda Wikipedia au huko alikochukua, nikajua amepita kwenye Kamusi ya Waarabu wenyewe hata moja akachukua maana ya tamko hilo, sababu hata "tabasamu" nalo ni sadaka, lakini utaulizwa kwa nani na kwanini ?

Sasa nina uhakika mimi nimesoma vitabu vingi nje ya dini kukuzidi wewe. Msifikiri sisi wajinga kama nyinyi, sisi kila kitu tunakirudisha kwa watu wake.
 
Back
Top Bottom