majina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tuziangalie Sheria za Uchaguzi zisiwanyime haki wanaokosea kuandika majina yao

    Rais Samia Suluhu Hassan ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Tanzania anapoakea ripoti ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 2020, Ikulu Dar. Katika Uchaguzi huo, Mgombea wa CCM Hayati Rais John Magufuli akiwa na Samia Suluhu kama Mgombea mwenza walishinda Rais Magufuli alipofariki Machi 2021, aliyekuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Tukumbushane Majina (nick names) ya timu za taifa mpira wa miguu

    Sio mbaya leo weekend tukakumbushana majina mbadala ya timu za mpira wa miguu hasa za bara letu la Afrika. Itapendeza Ukataja bila kuzama Google we taja ukikosea watakuja wengine kufanya marekebisho ukitwambia na maana yake itapendeza zaidi,kwa kuwa mfano naanza Mimi. Taifa Stars - Tanzania...
  3. JamiiForums Tanzania Vitu kupewa jina la Nyerere imetosha tuvipe na majina ya viongozi wengine

    Pamoja na kuwa baba wa Taifa ila vitu vingi sana vimepewa jina lake Nashauri imetosha tuwape na wengine maana sasa historia inakuwa kwa mtu mmoja kama wengine hawakuwepo tu hebu tazama Mwalimu nyerere memorial academy Mwalimu nyerere international airport Nyerere hydroelectric power Nyerere...
  4. JamiiForums Tanzania Unaunga mkono hoja hii ya majina ya barabara

  5. N

    JamiiForums Tanzania Staili ya Mwigulu ya kuchora majina yake kwenye mawe na miti kutumika na CHADEMA kumtetea Mbowe

    Kumekuwa na mkakati mkali wa BAVICHA na BAWACHA kupata fedha na kuwalipa vijana wa vijiweni mikoa yote ili waandike maneno MBOWE si GAIDI kwenye mawe na miti mikubwa mikubwa pembezoni mwa barabara kama alivyofanya Mwigulu wakati akitafuata Urais wa nchi hii mwaka 2015. Hii mbinu ninaona italeta...
  6. JamiiForums Tanzania Mafyongo Ikulu: Wakurugenzi wawili wameteuliwa sehemu mbili tofauti

    1. Lutengano George;- kateuliwa Wilaya ya Bukombe-Geita na Wilaya ya Misungwi-Mwanza (21&108) 2. Dollar Rajab Kusenge naye kateuliwa Wilaya ya Kasulu -Kigoma na Wilaya ya Njombe- Njombe-. (46&115) Ikulu hawako serious. Zaidi, soma: News Alert: - UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi wa Wakurugenzi...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Haya majina ni coincidence au ndivyo ilivyo

    Kuna majina ya hawa watu wawili, mmoja ni mwanasiasa Kwa maana ya DC na mmoja ni mwanadiplosia. Haya majina ni Godwin Gondwe na Godwin Gonde. Haya majina nimekutana nayo na kidogo yamekuwa yananichanganya.
  8. J

    JamiiForums Tanzania SoC01 Fahari ya majina yetu ya asili Tanzania imekwenda wapi?

    Hivi sasa watanzania tulio wengi majina yetu hayana asili yoyote ya Tanzania, sana sana tumebakisha majina ya mwisho kuwa ya asili na yale ya mwanzo kuwa ya Kizungu ama Kiarabu. Mfano mzuri ni mimi hebu tizama jina langu hapo juu. Natambua fika kuwa majina haya tulio wengi tumepewa na wazazi...
  9. JamiiForums Tanzania Mfumo wa usajili majina ya biashara BRELA

    Wakuu habari zenu, Nimeanza jana kujaribu kusajili Jina la biashara kwa mfumo wa Brela ORS. Nimejisajili vizuri tu ili kuendelea na hatua inayofata, sasa shida ndio imeanzia hapo.. Kila nikijaribu kupakia taarifa ili kuendelea na hatua inayofuata, wao hunigomea. Wanadai kuna taarifa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mbatia ataka majina ya waliofisadi mabilioni ya Benki kuu yawekwe hadharani, asema wale waliosimamishwa Hazina ni dagaa tu

    Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi James Mbatia ameitaka serikali kutaja hadharani majina ya waliofisadi mabilioni ya fedha za benki kuu yaliyotajwa katika ripoti ya CAG. Mbatia amesema kuwasimamisha maofisa wachache wa wizara ya fedha waliogawana fedha hizo kama posho haitoshi, wale ni dagaa tu...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Aina tofauti za nyumba na majina yake

  12. JamiiForums Tanzania Herufi za mwanzo za majina na mahusiano kuwa mazuri

    Sijui ni coincidence au lah ila nimenotice kuna watu huwa naelewana nao sana. Sijawai kudate wanaume wengi seriously ila sometimes kuna ile unajoke tu haupo serious wanawake wenzangu watanielewa. Ila nimenotice urafiki wangu na watu wenye herufi A kina Alex, etc huwa amaizing sana sana pia...
  13. JamiiForums Tanzania Mwaka huu ( 2021 ) Israeli Mtoa Roho anaupiga mwingi sana kwa wenye Majina yao nchini Tanzania

    Nimekutana na bonge la Foleni Daraja la Kijazi wakati nikitokea Stendi ya Magufuli ili niwahi kupita Daraja la Mfugale kuelekea Nyumbani tayari kwa Kujiandaa na Safari yangu ya kwenda Mkoani Dodoma Kesho ili nikatembelee pia Soko la Ndugai ambalo nasikia kutokana na lilivyoharibika japo...
  14. JamiiForums Tanzania Tazama hapa majina ya Waliochaguliwa TAMISEMI Afya na Elimu

    Selection hizi hapa
  15. JamiiForums Tanzania Majina ya walimu na watumishi wa kada ya afya waliopata ajira 2021

    Muda wowote kuanzia sasa serikali kupitia kwa katibu mkuu. OR-TAMISEMI itatangaza orodha ya waombaji waliofanikiwa kupata ajira za ualimu na afya 2021. ========= UPDATES=======
  16. JamiiForums Tanzania Majina ya wajumbe waliochaguliwa kuliwakilisha bunge kwenye taasisi mbalimbali

    MAJINA YA WAJUMBE WALIOCHAGULIWA KULIWAKILISHA BUNGE KWENYE TAASISI MBALIMBALI (A). TUME YA UTUMISHI WA BUNGE Wajumbe wanne wanaingia kwa mujibu wa nafasi zao ambao ni Spika (Mwenyekiti wa Tume), Naibu Spika (Makamu Mwenyekiti wa Tume), Waziri anayeshughulikia masuala ya Bunge na Kiongozi wa...
  17. JamiiForums Tanzania Utafiti niliofanya hapa kanda ya ziwa unaonyesha wakati wengi wa hapa hawataki daraja la Kigongo-Busisi liitwe daraja la Magufuli,wataka majina asilia

    Nimepita maeneo haya na kufanya mahojiano na wakazi kadhaa wa hapa, wanasema wangependa jina asilia la maeneo hayo ndio liwe jina la daraja ili kulinda uasili. Wanapendekeza daraja liitwe KIGONGO BUSISI
  18. JamiiForums Tanzania Job Ndugai anajisikiaje Tundu Lissu akilipwa stahiki zake?

    Habari za mchana huu wakuu, Moja kati ya habari zinazogagaa mitandao mbalimbali ni suala la aiyekuwa mbunge wa zamani Tundu Lissu kuonekana katika majina ya watu wanaotakiwa kulipwa stahiki zake. Je, Job Ndugai atajisikiaje maana alikuwa anaongoza hadharani kumkashifu Tundu Lissu ilihali...
  19. JamiiForums Tanzania Kariakoo na Dar es Salaam: Wanahistoria tendeeni haki Historia za majina hayo

    Tafiti ndogo tu, yangu binafsi na isiyo na shaka kabisa niliyoifanya kuhusu jina la jiji letu kuu "Dar Es Salaam" na jina la soko letu kuu "Kariakoo" ninaihitimisha kwa ufupi (summary) hapa chini kwa kusema wanahistoria hususan wa hapa Tanzania hawayatendei haki hayo majina kwa kutuaminisha...
  20. JamiiForums Tanzania Wasanii ambao mziki ulisababisha wapoteze majina yao ya asili

    Imekuwa ni kawaida kwa kampuni, taasisi na mashirika makubwa duniani kote kubadili majina kutokana na sababu za kibiashara, kubadilishwa kwa lengo la uanzishwaji wake au kuuzwa kwa mmiliki mwingine. Hilo pia hujitokeza kwa wasanii wa muziki, filamu na mitindo kwa lengo la kuimarisha chapa zao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…