Barabara Jangwani yajaa maji, yafungwa

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,305
24,194
March 19, 2020
Dar es Salaam, Tanzania.

Barabara Jangwani jijini Dar es Salaam Tanzania yajaa maji, yafungwa. Ingawa mvua haijanyesha leo lakini eneo hilo lililo katika ya vitongoji maarufu vya Magomeni na Kariakoo jijini Dar es Salaam hali imekuwa tete ktk bonde hilo la Jangwani.

Source : ITV Tanzania
 
Jana Mvua imenyesha Sana Maeneo ya Kibaha.
 
March 19, 2020
Dar es Salaam, Tanzania.

Barabara Jangwani jijini Dar es Salaam Tanzania yajaa maji, yafungwa. Ingawa mvua haijanyesha leo lakini eneo hilo lililo katika ya vitongoji maarufu vya Magomeni na Kariakoo jijini Dar es Salaam hali imekuwa tete ktk bonde hilo la Jangwani.

Source : ITV Tanzania

Tunanunua midege,tunajenga sgr ka majigambo huku tunashindwa kudhibiti mafuriko katikati ya jiji kuu la nchi yetu. Bora ukose mali upate akili
 
Leo mchana imenyesha kubwa maeneo ya Kifuru na Pugu
March 19, 2020
Dar es Salaam, Tanzania.

Barabara Jangwani jijini Dar es Salaam Tanzania yajaa maji, yafungwa. Ingawa mvua haijanyesha leo lakini eneo hilo lililo katika ya vitongoji maarufu vya Magomeni na Kariakoo jijini Dar es Salaam hali imekuwa tete ktk bonde hilo la Jangwani.

Source : ITV Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunanunua midege,tunajenga sgr ka majigambo huku tunashindwa kudhibiti mafuriko katikati ya jiji kuu la nchi yetu. Bora ukose mali upate akili
Hawa Lumumba ni kama sie tu!
Tunajimwambafy kwa jerojero na mia mbili mbili za misukule wakati chama kinalamba mamilioni ya ruzuku kila mwezi hata kaofisi hatujajenga.
 
Back
Top Bottom