maji

  1. JamiiForums Tanzania Shaka: Pamoja na Ukame unaondelea nchini ambao haujasababishwa na CCM wala Chama chochote Rais Samia anatekeleza miradi ya maji 1,194 kuukabili

    SHAKA HAMDU SHAKA ASEMA NI HAKIKA WATANZANIA WATAMPA RAIS SAMIA TUZO YA HESHIMA MWAKA 2025 KWANI ATAPATA KURA ZA MAFURIKO === Ampongeza kwa namna anavyochapa kazi bila mbwembwe wala zogo Asisitiza Chama kuridhishwa na juhudi hizo kwani matokeo yanaonekana Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Wahitimu vyuo Vikuu uzeni maji mtaani

    Ni fursa kubwa imejitokeza kutokana na uhaba wa maji. Ningeshauri muanze biashara ya kutembeza maji mtaani ndoo/dumu 5,000 TZS huku Bonyokwa. Kwa siku ukiuza 100x5,000=500,000 X siku 30 = 15,000,000 TZS. Mtaji: Mkokoteni, Madumu 6 na nguvu zako.
  3. JamiiForums Tanzania KWELI Mafuta ya taa, kitunguu na ndulele huweza kutibu tatizo la mdudu wa kidole (paronychia)

    Yapo madai ya kuwa dawa za asili kama ndulele, alovela na vitunguu swaumu ni dawa ambazo huweza kutibu tatizo la mdudu wa kidole. Aidha, wengine wanadai mafuta ya taa au maji ya betri pia huweza kutibu mdudu wa kidole. Ukweli ni upi?
  4. R

    JamiiForums Tanzania Lita 1,000 za maji kuuzwa mpaka Tsh 60,000 mgao wa maji mradi wa ‘watu wakubwa’ Serikarini?

    Kadri siku zinavyoenda mgao wa maji unazidi kuwa mkali, na kwa sehemu kubwa maji hayatoki kabisa zaidi ya wiki mbili na wengine mpaka tatu. Bei ya maji tunayouziwa mtaani inatisha, kwa jinsi gharama za maisha zilivyopanda tutafika kweli? Dumu moja la lita 20 linauzwa 1,000 mpaka 2,000, lita...
  5. JamiiForums Tanzania Kinachoendelea hapa Dar es salaam sio mgao wa maji, ni kwamba Dawasa imeshakufa

    Walianza kwa kusema kutakuwa na mgao wa maji na wakatoa ratiba lakini maeneo mengi ambayo nina ndugu jamaa na marafiki hapa Dar sasa ni zaidi ya wiki mbili hakuna maji. Ni vyema sasa serikali isitishe kulipa mishahara kwa wafanyakazi wa Dawasa kwasababu huwa wanalipwa kwa kutoa huduma ambayo...
  6. JamiiForums Tanzania Dubai: Maji yana bei kubwa kuliko mafuta

    "Kama imewezekana kutengeneza bomba la mafuta kutoka Uganda hadi Tanga inawezekana kabisa kutoa maji Ziwa Victoria kupeleka Mbeya, Morogoro na maeneo mengine sababu ni suala la bomba tu, nimeenda Dubai nimekuta maji yana bei kuliko mafuta. Kwanini tusitafute bomba kubwa linaloweza kutoa maji...
  7. JamiiForums Tanzania SI KWELI Maji ya madafu yanasababisha ugonjwa wa Mabusha

    Inaaminika kuwa ugonjwa wa mabusha husababishwa na unywaji wa maji ya madafu. Madai haya hupata mashiko makubwa zaidi kwa kuwa tatizo hili huwapata wanaume wengi wanaoishi Mwambao wa Pwani ya Bahari ya Hindi, ambako madafu hupatikana kwa wingi. Madai haya yana ukweli kiasi gani?
  8. N

    JamiiForums Tanzania Ninaomba shida ya maji Dar iongezeke mara dufu zaidi

    Dar ni Tanzania, Tanzania ni Dar. Hutaki hili basi utakuwa una matatizo makubwa ya kijinsia!!! Ukitaka kuona watu wa makabila yote Tanzania hapa basi fika Dar, Ukitaka kuona watu wa dini zote (unazozijua na usizozijua) basi nenda Dar, Ukitaka kuona ofisi zote kuu za vyama vya siasa basi nenda...
  9. JamiiForums Tanzania Kama watoto wadogo wanaweza piga mbizi na kwenda na kasia mpaka kwenye ndege ilozama wakati wana maji wakiogopa kusogelea Je tubadili mfumo wa Elimu?

    Nimejiuliza sana juu ya hivi Kwanini lisiwepo somo la self defense Kama Ulaya mtu ajue kuogelea na kujikinga na baadhi ya majanga? Simaanishi waliopata ajali ndo waogelee namaanisha mfumo wetu wa elimu wa ku kalili mambo ya kinjekitile kichwani bila msaada wowote bora Liwepo somo la uokoaji...
  10. JamiiForums Tanzania Morogoro: Hospitali yaikataa bili ya maji "hatujatumia maji ya milioni 1.8

    Mbunge wa Jimbo la Ulanga, Salim Alaudin Hasham amemtaka Mganga Mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya Ulanga kuangalia miundombinu ya maji katika hospitali ili kurekebisha maeneo yenye mivujo ya maji. Salim amesema hayo baada ya kufanya ziara ya kushtukiza katika hospitali hiyo na kuoneshwa bili ya...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Msaada wa namba za simu za Magari ya kuuza maji, Ubungo

    Mgao wa DAWASCO ni balaa, mwenye namba ya wauza maji na magari wanaopaki jirani na Ubungo anisaidie. Sina maji kabisa leo sijui nyumbani wanaishije.
  12. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM inatufanyia mbaya watanzania. Inatumia bil 733 kununua ndege wakati maji ya kunywa vijijini na mjini ni hakuna

    Hizi ndege haziwezi kumsaidia mwananchi wa kawaida. Hapa kuna siasa za kiswahili na uhuni uliokubuhu.
  13. JamiiForums Tanzania Movie ya Rango ilitabiri huu Mgao wa maji na Umeme utaisha lini

    Kuna watu wanahisi huu mgao labda ni kitu cha muda mfupi, yani labda by December mambo yatakuwa shwari. Hii imenikumbusha ile scene ya movie ya Rango ambapo Rango anakutanishwa na Mayor wa kijiji cha Dirt kwa mara ya kwanza. Kijiji cha Dirt kimekuwa kina shida ya ukame na watu hawana maji kwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hili ndilo chimbuko la maji duniani

    Mzuka Wanajamvi! Huko chini sana ardhini kuna miamba na hii miamba mda wote inacheza cheza na kutekenyana tekenyana masaa 24/7. Huko kutekenyana na kucheza cheza zinatoa jasho na hilo jasho ndio maji. JF CEO of water Source, Heritage and conservation. Masters John Hopkins
  15. D

    JamiiForums Tanzania Kikao cha kishirikina tunakaa leo jumapili, kupinga maji yasivuke mjini kabla ya wanakigamboni kusambaziwa

    Kigamboni hakuna maji ya bomba tangu Uhuru, neema ya kisima iliyopatikana inapelekwa mjini kabla ya wanakigamboni kupatiwa maji hayo kwanza! Malalamiko yamepelekwa kwa wahusika kwamba maji yasambazwe kigamboni kwanza kabla ya kupelekwa mjini, hawajatusikiliza! Tumeamua kufikisha ujumbe wetu...
  16. JamiiForums Tanzania Maji yapo, tatizo Uongozi

    Hili swala Maji ni Kama laana kwa viongozi wetu. Kiufupi, viongozi wamelaaniwa. Wala hawawezi kuelewa mambo ya msingi. Kwa teknolojia ya sasa Maji ya mto ni kwa matumizi ya kilimo cha umwagiliaji (Irrigation) sio matumizi ya maji ya kunywa. Mito hukauka. Maji ya kunywa yapo ardhini, baharini...
  17. JamiiForums Tanzania RC Makalla: Ng'ombe wamesababisha uhaba wa maji

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amesema mto Ruvu umacha kutiririsha maji kutokana na wananchi wa Mvuha, Dutumi na Kisaki Mkoani Morogoro kiwa na ng'ombe wengi. Makalla na timu yake waliufuatilia mto Ruvu ili kujua sababu ya kutopitisha maji ambapo wamegundua shughuli za kibanadamu...
  18. JamiiForums Tanzania Diamond atoa maji kwenye swimming pools zake zote

    Diamond platnumz ametoa maji ( drain) swimming pools zake zote wanapoishi wanae. Mind kadai sababu kubwa ya kufanya hivyo Ni kuongeza usalama kwa wanae. Amewaandikia barua watumishi wake wote wanaohudumia nyumba hizo.
  19. JamiiForums Tanzania John Heche Muongo, eti Misri mvua hainyeshi miaka 20 lakini hakuna mgao wa maji

    Kasema Tanzania kuna Ziwa Nyasa, Tanganyika, Ziwa Victoria lakini tunadai kuna upungufu wa maji na kuna mgao Dar na Mwanza. Eti Jangwa la Kalahari huko Botswana maji yapo hakuna mgao. Anasema Tanzania hakuna Viongozi wenye maono sababu wananunua Magari ya Bil 500 wakati Dar Bil. 200 inamaliza...
  20. JamiiForums Tanzania Ukame, Nchi jirani zote Maji, Umeme vyote vipo, Why Tanzania tu?

    Tunaambiwa hakuna maji wala umeme sababu ya ukame na kwamba hakuna mvua, nijuavyo mimi Nature haijui mipaka ya kibinadamu, sasa iweje ukame uko kwetu tu? Tena wengine kama Kenya hata ni semi desert lkn kwa nini Nairobi maji yapo? Kwa nini Uganda kwa patron Museveni umeme na maji vyote vipo? Kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…