maji

  1. JamiiForums Tanzania KERO Responded Stendi ya Magufuli Mbezi Mwisho hakuna huduma ya maji kwenye vyoo na sehemu nyingine siku ya tatu sasa

    Taarifa Jamii Forums hali ni mbaya kwenye Stendi ya Mabasi makubwa iliyopo Mbezi Luis maarufu kama Mbezi Mwisho, hakuna huduma ya maji kwa muda wa siku tatu sasa. Kuanzia juzi Machi 26, 2023 hadi ninavyoandika muda huu asubuhi ya Machi 28, 2023, mamlaka zitusaidie Kwenye vyoo napo mambo si...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikataza maji na umeme kukatika

    Pamoja na mvua kunyesha maeneo ya Pwani bado maeneo mengi hakuna maji; it's like kuna mgao zaidi ya mwezi sasa. Ila magari yakuuza maji yanaongezeka mjini that means wapo watu wanahujumu juhudi za serikali kusambaza maji ili wao wauze maji. Matokeo yake ni haya kila siku Bomba limepasuka ...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Hiki ni ni kiumbe gani kwenye maji ya mvua?

    Mvua imenyesha hapa nilipo leo asubuhi,maji yake yamekuja na viumbe vyenye mikia Kama vinavyoonekana ndani ya chombo!Hivyo ninini?Vinatoka wapi?Maji ya mvua huwekewa dawa Gani?
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Aweso, huku ni wapi? Miaka 61 baada ya Uhuru ndiyo tulikofikia?

    Aweso Angalia hii video utuambie miaka 61 baada ya Uhuru ndipo tulikofikia?
  5. JamiiForums Tanzania Songea Kunufaika na Mradi wa Maji wa Bilioni 145

    NW MAJI ENG. MARYPRISCA MAHUNDI ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA - SONGEA KUNUFAIKA NA MRADI WA MAJI WA 145 BILLIONI Naibu Waziri wa Maji Mhe. Eng. Maryprisca Mahundi (Mb) tarehe 10 Machi, 2023 akiwa Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma ameshuhudia utiaji saini mkataba mradi mkubwa wa Maji wenye...
  6. JamiiForums Tanzania Nilitegemea baada ya Watanzania kupitia Ukame na Maji yakawa ni Mgawo sasa tungekuwa busy Kuvuna Maji tusijetaabika tena

    Matokeo yake tumeshajisahau na kama Kawaida yetu tuko busy na Kumsifu Mtu kila Saa ( kwa kile ambacho mpaka sasa GENTAMYCINE sijaona alichofanya ), tuko busy Kutongozana na Kubanduana, tuko busy na Suala la Fei Toto, tuko busy na Mambo ya Mpira, tuko busy na Mabadiliko ya Mawaziri, Makatibu na...
  7. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Maji atoa wiki 2 kwa mkurugenzi, Rais Samia apigilia msumari ''hi kero nisiikute''

    ENG. MARYPRISCA MAHUNDI - NAIBU WAZIRI WA MAJI ATOA WIKI 2 KWA MKURUGENZI, RAIS SAMIA APIGILIA MSUMARI ''HI KERO NISIIKUTE'' Mhe. Eng. Mahundi akiwa Usa River Ausha amesema kuwa Wizara ya Maji imepeleka neema ya miradi ya Maji ili kutimiza dhamira njema ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  8. JamiiForums Tanzania Biashara ya Maji yashamiri jijini Dar es Salaam. Maji yanatoka siku tatu halafu yanakatika mwezi mzima

    Napita Kinyerezi watu na ndoo kichwani. Nauliza vipi naambiwa mara ya mwisho maji yalitoka January hadi Leo tar 5 March 2023 hayajatoka. Maboza yanakimbizana njiani kupelekea watu maji majumbani kwao, nimeuliza wanauza maji shilingi ngapi? Naambiwa wanaanzia kuuza lita 2,000 kwa shilingi 30,000...
  9. JamiiForums Tanzania Mradi wa maji Butimba umekwama, wafanyakazi wagoma

    Mradi wa maji Butimba umekwama, wafanyakazi wagoma Wafanyakazi 200 katika mradi wa chanzo cha maji Butimba wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza wamegoma kwa kile kinachotajwa wameshindwa kulipwa mishahara yao. Mradi huo unaojengwa kwa gharama ya zaidi ya shilingi bilioni 60, lakini wafanyakazi...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Korogwe vipi suala la maji?

    Ni siku ya 18 Sasa maji hayatoki kabisa hapa Korogwe! Lakini ukiangalia kwa karibu Kuna mto uko hapa ambao haukauki lakini Maji ni mtihani! CCM oyee
  11. R

    JamiiForums Tanzania TANGAUWASA fuateni ratiba ya mgao wa maji mlioueka

    Fine mmeweka ratiba, ifuateni basi. Leo 24/2 maeneo kama yalivyooneshwa kwenye ratiba hakuna maji kabisa. Everything is in shamble!
  12. JamiiForums Tanzania Mtambo wa kuzalisha Maji wa Ruvu Juu umezimwa tena kwa Matengenezo

    Kwa mujibu wa Taarifa ya Mamlaka ya Majisafi na Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) mtambo huo umezimwa kuanzia leo Februari 23, 2023 hadi saa 6 usiku Februari 24, 2023 Maeneo yanayoathirika ni Chalinze, Mboga, Ruvu Darajani, Ruvu JKT, Vigwaza, Mlandizi, Mbwawa, Visiga, Maili 35, Misugusugu...
  13. O

    JamiiForums Tanzania Goba hatuna maji wiki ya tatu sasa

    Habari zenu wanaJF, Mtendaji mkuu wa DAWASA habari za jioni. Tuna muda wa wiki tatu sasa hatuna maji kabisa hapa Goba, mimi nakaa Goba mitaa ya kwa Morgan na week ya tatu hii hatuna maji! Kikawaida hua tunapataga kwa wiki mara moja lakini kwa kipindi cha hivi karibuni tunakaa hadi wiki 3 ndo...
  14. JamiiForums Tanzania Maji ya maiti, kiungo muhimu katika kutengeneza limbwata

    Duniani kuna mambo mengi ya ajabu! • Unatambua kuwa maji ya maiti ndo uwaga kunatoka dawa inayoitwa mnyonshe(au shuntama) daa ni huzuni ili jambo sio pouwa maji ya maiti (ndo maji pekee wanayotumia waganga wa kienyeji kutengeneza dawa ya kuwatuliza wanaume ili wasiwe na neno ndani ya nyumba...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa maji Tanga; Rais Samia tusaidie, Waziri Aweso ameshindwa kuingilia kati

    Siku ya kumi hakuna maji (ukiacha sehemu ndogo za "wakubwa"). Hatuna maji. Almost the whole of Tanga city is with no water! Dar yalipokosekana, viongozi waliandamana kwenda Ruvu. Hapa hakuna lolote wala taarifa hawatupi kuna nini
  16. E

    JamiiForums Tanzania Vuna maji ya mvua

    Habari Jku. Kwa wale waliofanikiwa kujenga na watakaojenga, baada ya nyumba kukamilika, huwa kunawekwa bomba za kukinga maji ya mvua, zinaitwa gutters. Kipindi mvua inaponyesha hizi gutters ndio zinakinga maji na kuyaelekeza mahara pa kwenda. Asilimia ya nyumba nyingi utashuhudia maji haya...
  17. JamiiForums Tanzania Mradi mkubwa wa maji wenye thamani ya bil 17.5 wasainiwa jijini mbeya, barabara ya njia nne kuanza kujengwa upesi

    Katika harakati za Mh.rais Samia za kumtua mama ndoo kichwani, leo mradi mkubwa wa maji utakao maliza kabisa tatizo la maji jijini mbeya na viunga vyake umesainiwa mbele ya waziri wa maji Mh.Jumaa aweso huku mbunge wa jimbo hilo Dr. Tulia akidokeza kuwa ujenzi wa barabara ya njia nne kuanza...
  18. JamiiForums Tanzania Simulizi ya Vita: SHADOWS OF WATER (Maji Maji)

    CHAPTER 1 South Tanganyika, Early 1899 An early morning, I think it was probably way too early than usual for me since the sun was barely out and shining through the thick tree that surrounded our village made up of probably fewer than fifteen households living in straw houses with...
  19. JamiiForums Tanzania kifo cha lazima kwa Stanley Meyer mgunduzi na baba wa gari inayotumia maji na umeme leo kwa jina magari ya umeme (water fuel cell)

    Ni vigumu sana binadamu kuamini ya mbele sana kuliko yale wanayo yatumia kwa mda huu. ulishawai kusikia kuna mgunduzi aligundua gari inayotumia maji na sio mafuta ila kimaelezo ilipewa kipaumbele maji basi jina lake ni water fuel cell (Seli ya mafuta ya maji ). Seli ya mafuta ya maji ni muundo...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Huduma za visima vya maji imeboreshwa

    Habari Jf . Tumekuwa tukitoa huduma za uchimbaji wa visima, pampu za maji na bomba kwa muda mrefu sasa. Huduma tumeboresha ili kuwafikia watu wengi zaidi. Gharama za kufanya underground water survey zitafidiwa kwenye gharama ya kuchimba kisima. Gharama ya kufunga pump( installation cost)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…